Kilimanjaro is Still in Kenya

Do not be overly surprised. Ignorance is more widespread than you realize. A week ago, I had to convince check-in attendants at two different international airports that Tanzania is not within South Africa. Supervisors had to be called in to confirm that flights from Johannesburg to Dar es Salaam are international.

As a matter of fact, a significant fraction of the world does not even know that Tanzania is a country, and that that country is in Africa. I know this to be the case, for I have had to explain it to educated-looking people many times.

Excellence in sports is what puts an otherwise insignificant country on the world map. Kenya and Ethiopia are well known. Everybody knows Cameroon. The best way for us to promote our ownership of Mt. Kilimanjaro, and to promote tourism in Tanzania in general, is to excel in sports. Another Filbert Bayi would promote us more that all the pleasure seeking ambassadors that we futilely rely on.
 
.

..i hope umewapiga email about this one,with that link in it!

DsL,
Miye nimejitahidi kuwaandikia yafuatayo
Whilst in support of Mrs. Jackson's effort to make her dream come true by climbing Mount Kilimanjaro in support of Mcmillan Cancer Support, I'm however pushed to say, her efforts to do so could prove futile if the travel arrangements are not checked. Since MOUNT KILIMANJARO IS IN TANZANIA AND NOT IN KENYA as your article above seems to suggest.

SteveD.
Number ya simu niliyotumia ni ile ya Tanzania High Commission: 442075691470 for obvious reasons.

Tatizo: Website yao inamatatizo hivyo ujumbe huo haukwenda kwenye ile feedback form yao kwenye hiyo article.

Kingine;

Nimesikitishwa sana kuona Tanzania Tourist Board website yao haina information za haraka haraka, kama vile number za simu au postal address, ni mpaka una vigate kujaza form ili kuwapelekea ujumbe.... kweli mtu atakuwa na muda huo?! Sikukata tamaa hata hivyo, nimejaza form yao kwenye TanzaniaTouristBoard.com, na kuweka link inayo point kwenye hiyo article.

Jamani, eti Tanzania Tourist Board ni dot com?!!! kwanini isiwe dot go.tz, au dot org? au basi dot co.tz...

Harafu website ya Taifa nayo kwenye :http://www.tanzania.go.tz/tourism.html
hamna hata number ya simu ..... hivi utalii tunatangaza kweli au malumbano kwenye majukwaa ya siasa na safari za nje zisizoisha kwa madai hayo?

Halafu tunawalaumu Wakenya kwa kutupita.... TANZANIA TOURIST BOARD YOU OUGHT TO WAKE UP!!

SteveD.
 
Hata mimi nimewaandikia na kuwatumia hiyo link ambayo nimeisoma na ni nzuri sana. Tuone kama watabadilisha.
 
gillc20071213112113.jpg

Sarah Jackson prepares for her mountain climb.Photo: HELEN DRAKE.

WAITROSE manager Sarah Jackson is off on her travels next year in memory of her mother Jayne who died after a 10-year battle with cancer in 2005.

Mrs Jackson will climb Kenya's Mount Kilimanjaro in aid of Macmillan Cancer Support.

She is hoping to hit her fund-raising target of £2,000 in time for the big climb on January 24.

If you would like to sponsor Mrs Jackson, go to www.justgiving.com/sarahjackson1.

Huyu angezuiwa kwenda kupanda mlima ndio ingekuwa funzo kwa wengine na tungejitangaza vizuri lakini hatuna Idara ya uhamiaji ambayo inaweza ku-act swiftly katika mambo kama haya.

Akinyimwa VISA kwenda Kilimanjaro ndio itakuwa dawa kubwa.
 
Steve D,
1. Niliwahi kuwaandikia...........hao ma-administrator wa website ya Taifa na kuwapa comments..........nakuambia.......neither acknowledgement nor attendance ya comments zangu was done.

2.Niliwahi kuwaandikia hao tourism Board kuhusu matangazo niliyokutana nayo ndani ya ndege BA ya kwamba eti Mt Kilimanjaro uko Kenya.............again hakuna hatua iliyochukuliwa kwani hata next time nilikutana na tangazo vile vile.

Yaani Bandugu hii inaboa sana.
pamoja na kukubaliana na mawazo ya Mwl.Moshi.............however, je inabidi tusubiri hadi tupate mwanamichezo wa kututoa kimasomaso???............while sports is an important element in promoting our tourism...........again article kama hizi ambazo zinaendele ku-damage our tourism inabidi kuzichukulia hatua za haraka na balozi zetu zinawajibika pamoja na mambo mengine ku-react................hata sisi wananchi inabidi kuifanya hiyo kazi ya ku-counter hizo articles

Kenya wanajua wanachokifanya na wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa.....hivyo nasisi tuamke tutangaze utalii wetu kwa nguvu zote........nimeshuhudia nchi 70% ya uchumi wao inategemea utalii na hali yao ya uchumi ni nzuri sana.

Hawa hawa ma-investor wanaokuja ktk Utalii....watumike kutangaza Utalii wetu kama sisi yametushinda
 
Sarah Jackson prepares for her mountain climb.Photo: HELEN DRAKE.Huyu angezuiwa kwenda kupanda mlima ndio ingekuwa funzo kwa wengine na tungejitangaza vizuri lakini hatuna Idara ya uhamiaji ambayo inaweza ku-act swiftly katika mambo kama haya.

Akinyimwa VISA kwenda Kilimanjaro ndio itakuwa dawa kubwa.

Dua,
Nakubaliana nawe kinamna, lakini aproach sidhani kama italeta manufaa makubwa. Kwani akifanikiwa kufika huko kwa njia yoyote ile, nina imani ataelewa kuwa Kilimanjaro iko Tanzania na siyo Kenya, pia hata vijisenti viwili vitatu atakavyo tumia akiwa kwenye vitongoji vya maeneo ya mlima vitasaidia waliopo maeneo hayo.

Muhimu, ni sisi, taasisi zetu na viongozi wetu ndiyo tumezidi kulala. Habari kama hizi na elimu kuhusu Kilimanjaro ingetakiwa dunia nzima inafahamu kwa sasa. Kwani 'ignorance' kama anavyo iongelea Mwl. Moshi ipo duniani pote. Hivyo basi kuelimisha dunia kuhusu kilicho chetu ni jukumu letu Watanzania na tufanye hilo kwa nguvu zote... NA SIYO SERA ZA: ARI MPYA NA KASI MPYA KUTEMBELEA NCHI ZA WATU TU!!.

Ogah, Good effort, ubarikiwe kwa jina la nchi yako ndugu yangu. Ahsante.

SteveD.
 
Napenda kusema tu kuwa, tutakosoa kila nyanja inayolenga maisha ya Mtanzania kwa nia ya kuiendeleza nchi yetu na wananchi wake.

Viongozi wetu na Wazee wetu wanaokimbilia kusema tumekosa maadili naona wajizatiti tu kwa maana hii harakati yenye nguvu imeanza na sioni kama tutaisitisha hivi karibuni. Kupitia mawasiliano ya kisasa, harakati zetu za kuitangaza na kuijadili Tanzania hazitakoma.

Angalia yafuatayo:

Hii leo; ukurasa wa mawasiliano katika wavuti ya
Tanzazania Tourist Board hii leo: http://tanzaniatouristboard.com/Contact_Us/

Halafu angalia wavuti wa wakenya kama unavyoonekana leo hii:http://www.tourism.go.ke/ministry.nsf/pages/contact_us

Tofauti ni dhahiri!!
Wakati tovuti yetu inapendeza angalau kwa yaliyomo, lakini likija swala la mawasiliano....ni ULAZA mtupu!

Sasa tunatangaza nini bila kuainisha vyema njia za mawasiliano?!

SteveD.
 
History of Kilimanjaro: Kilimanjaro today

The twentieth century witnessed the inevitable but gradual shift away from exploration towards tourism. The most significant change occurred in 1932 with the building of Kibo Hut; name plates and signs were put up too, as the mountain was gradually made more tourist-friendly. With a ready base for summit assaults now established, tourists began to trickle into Tanzania to make their own attempt on Africa’s greatest mountain. In 1959 the mountain became the focus for nationalist feelings and a symbol of the Tanganyikans’ independence aspirations following Julius Nyerere’s speech to the Tanganyika Legislative Assembly.

Nyerere eventually got his wish and, after independence was granted in 1961, a torch was indeed placed on the summit of Kilimanjaro. Independence also provided Tanganyika with the chance to rename many of the features of the mountain; in particular, the very summit, named Kaiser Wilhelm Peak by Hans Meyer, was renamed Uhuru Peak – Uhuru meaning, appropriately, ‘Freedom’ in Swahili.Since this mountain’s moment of patriotic glory, the story of Kilimanjaro has largely been about tourism. The early trickle of tourists of seventy years ago is nowadays more akin to a flood, with visitor numbers still increasing exponentially, from less than a thousand in the late 1950s to 11,000 in the mid-1990s, to the 35,000-plus we see today.

What has been an economic boon to the people of Kilimanjaro, however, has brought little benefit to the mountain itself. With the increase in the number of trekkers comes commensurately greater numbers of pressures and problems. Its soil is being eroded, its vegetation is being burnt or chopped, its wildlife is disappearing and its glaciers are melting. Along with these environmental pressures come challenges to its dignity, as climbers dream up ever more bizarre ways of climbing to the top, whether it’s driving up by motorcycle or walking in fancy dress, as we discussed in the introduction to this book.

Then there’s the problem of fire. In February 1999 a huge blaze swept across the upper slopes of Kilimanjaro. The fires were first discovered on February 6 and over the next five days 70 hectares were destroyed in the fire. Thanks to the combined efforts of 347 villagers, park rangers and 40 soldiers of the 39th Squadron of the Tanzanian People’s Defence Force, the main blaze was eventually brought under control, though not before considerable damage had been done to the mountain.

Evidence of fire can still be seen in places on Kili, particularly in the moorland zone on the Marangu and Machame routes where new plants now grow between the charred remains of branches and shrubs. Further fires, particularly on the Shira Plateau, have caused yet more lasting damage and as recently as September 2006 another blaze, this time on Kilimanjaro’s north-western side, caused further damage.

Depressingly but unsurprisingly, human activity is believed to have been behind the fires. Twenty-two men from the Kamwanga and Rongai districts were arrested for the 1999 fire, having been identified as the culprits by six hundred villagers in a secret ballot. The men were all squatters living illegally in the protected areas of the national park; according to one minister who visited the scene of the devastation, there were up to ten thousand such squatters living in Kilimanjaro’s forests, most of whom made their living by collecting honey. It is believed that a cigarette butt discarded by one of them started the blaze, though others have pointed an accusing finger at local farmers who like to clear their farms by fire before the start of the annual rains the following month.

Yet no matter how many indignities are heaped upon it, Kilimanjaro continues to inspire both awe and respect in all who gaze upon it. And while man will continue to visit in droves and in his clumsy, careless way will carry on defacing and demeaning Africa’s most charismatic place, setting it ablaze and covering it with litter, the mountain itself remains essentially the same powerful, ineffably beautiful sight it always was; perhaps because, while we throw all that we can at it, the Roof of Africa does what it always has done – and what it does best: it simply rises above it all.

http://www.climbmountkilimanjaro.co...aro/history-of-kilimanjaro-kilimanjaro-today/
 
Steve D,

Yaani nimeangalia link hizo mbili, mpaka nimeona kuzunguzungu.

sijui hawa watu wa Utalii wanayaona haya yote???................MKJJ vipi kuhus kumhoji Prof. Maghembe na sekta nzima ya maliasili na Utalii
 
Ogah,
Subiri tu niandike yafuatayo, najua yanaweza kuonekana kama majigambo, lakini ndiyo hivyo tena, hatuwezi vumilia kuona Tanzania yote inapakwa rangi ya UKILAZA!!

Nitasema yafuatayo:

NINGELIKUWA MIMI RAIS, NINGETOA TAMKO KUWA, KILA WIZARA IJIANDIKISHE AU KUTOA MJUMBE KUWAKILISHA HAPA JAMBOFORUMS.COM. NASEMA HILI KWANI NINA IMANI KUWA WIZARA NYINGI ZINA TOVUTI AU ZINA MPANGO WA KUANZISHA. TATIZO NI KULE KUWA NA UWEZO WA KUENDELEZA NA KUHIMILI MATAKWA YA WEBSITE ENDELEVU - KWA KWELI NI VIGUMU.

TUMEONA NA KUSIKIA MENGI KWENYE NCHI ZA WENZETU PALE LINAPOKUJA SWALA LA TEKNOLOJIA. SERIKALI AU VYOMBO VYA UMMA HAVIWEZI KUSHINDANA NA UBUNIFU UNAOWEZA KUPATIKANA KWENYE VYOMBO AU SEKTA BINAFSI. SERIKALI ZA WENZETU ZINAJIUNGA NA KUTANGAZA SERA KWENYE YOUTUBE, MYSPACE, NA WEBSITES NYINGINEZO KAMA HIZO ZINAZOENDESHWA NA KAMPUNI AU WATU BINAFSI.

HIVYO KUONA SERIKALI YETU HAPA TANZANIA INANG'ANG'ANIA WATU KUTUMA AU KUTOA MAONI KWENYE WAVUTI ZAKE TU HUKU NI KUONESHA HALI YA UBISHI USIO NA MANUFAA KWA UMMA KIUJUMLA. KAMA TANZANIA IMEBAHATIKA KUWA NA WATU WENYE FORUM KAMA HII JAMBOFORUMS, BASI SERIKALI YETU IJIHIMU NA KUI-EMBRACE KAMA MWANAWE VILE, MAANA SI WATANZANIA WOTE WATAKAO TAKA KUJULIKANA AU KUTOA MAONI YAO KWENYE WAVUTI ZA SERIKALI. NA HAPO NDIPO UMUHIMU WA WIZARA AU WAWAKILISHI WA WIZARA KUWEPO JF, ILI KUTOA HABARI, KUOMBA USHAURI N.K. WANAWEZA KUJIANDIKISHA KWA MAJINA YA WIZARA, KAMA VILE 'HABARI', 'MIFUGO', 'MADINI', 'WANAWAKE', N.K.

LENGO LA JF SI KUTUKANANA, BALI KUELIMISHANA NA KUKOSOANA KWA NIA NJEMA YA KUENDELEZA TAIFA LETU TANZANIA. NI WACHACHE HAPA JF WANAOLETA MATUSI, HATA HIVYO TUNA BAHATI MAANA UONGOZI BORA WA JF UKO MSTARI WA MBELE KUREKEBISHA NA KUADHIBU MEMBERS KAMA HAO
.SteveD at jamboforums dot com
 
Dua,
Nakubaliana nawe kinamna, lakini aproach sidhani kama italeta manufaa makubwa. Kwani akifanikiwa kufika huko kwa njia yoyote ile, nina imani ataelewa kuwa Kilimanjaro iko Tanzania na siyo Kenya, pia hata vijisenti viwili vitatu atakavyo tumia akiwa kwenye vitongoji vya maeneo ya mlima vitasaidia waliopo maeneo hayo.

Muhimu, ni sisi, taasisi zetu na viongozi wetu ndiyo tumezidi kulala. Habari kama hizi na elimu kuhusu Kilimanjaro ingetakiwa dunia nzima inafahamu kwa sasa. Kwani 'ignorance' kama anavyo iongelea Mwl. Moshi ipo duniani pote. Hivyo basi kuelimisha dunia kuhusu kilicho chetu ni jukumu letu Watanzania na tufanye hilo kwa nguvu zote... NA SIYO SERA ZA: ARI MPYA NA KASI MPYA KUTEMBELEA NCHI ZA WATU TU!!.

Ogah, Good effort, ubarikiwe kwa jina la nchi yako ndugu yangu. Ahsante.

SteveD.

Nitakupa mfano moja rahisi sana. Yule mwalimu aliyefukuzwa Sudan alikuwa top of the story kwenye BBC, SKY na vyombo vyote vya magharibi kwa muda wa siku kama nne au zaidi every hour.

Kweli sio makosa yake kutokupata VISA lakini tutakuwa tumefanikiwa kwani kelele watakayopiga itakuwa imetutangaza tayari na balozi ata-appear kwenye channel zote za UK na kuwaambia ni makosa ya kiufundi jamaa walikuwa wameteleza kidogo lakini katika muda wa siku tatu dunia yote wataelewa Mt. Kilimanjaro iko Bongo. Hivi ndivyo tinatakiwa tufanye, I hope wanapamga mkakati mzito kama huu.
 
Ahsante Dua,

Ndiyo maana nikasema kuwa nakubaliana nawewe kinamna, wenzetu wana kale kamsemo kuwa "ANY NEWS IS GOOD NEWS"!!

Nimekuelewa ndugu.

SteveD.
 
Kinachofanyika hapa ni:
Travellers agency za Kenya zinatoza fedha kwaajiri ya Viza ya Tanzania moja kwa moja wakati wa kushughulikia safari nzima.

Tatizo ni kwamba wanatoza watalii bila kuwaambia kwamba malipo ni ya Viza ya Tanzania, Tanzania kwao wakenya ni sawa na mkoa uliojaa vilaza wa mawazo.

Fedha watoayo watalii kulipia viza hatimaye inaishia Tanzania lakini kwa gharama ya kudumisha usemi na uwezo wa Kenya kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro uko Kenya.

Watanzania tuko Buze kushughulikia mambo yanayoishia viunoni kuliko ustawi wa nchi maendeleo na jamii nzima.
Tunaamini kwamba mambo yatajipiga fimbo yenyewe na kuchanganya mbele ya safari.

Sisi Watanzania tuna njaa kubwa sana na ya kimasikini, twaweza pigana makonde mazito hadi kuuana kwaajili ya sima ya ugali huku tukiachia Wageni toka Ughaibuni wakilamba kila kitu katika Ghala letu la chakula, na pengine wakisha lamba kuwaruhusu wajisaidie haja kubwa humo kwa malipo ya rushwa.
Sijui ni after effect za siasa ya ujamaa au bado tu kama Tembo aliyelala!!!

Tatizo la ujinga huu si tu kwamba ni kubwa miongoni mwa Viongozi wa chama na serikali hasa wale wa Old School;bali pia ni kubwa hata kwetu sisi vijana, kuna vijana wenzetu lundo ambao wana tabia chafu ya kutoona kesho kuliko viajuza na vishaibu wa serikali na chama.
Kijana uachapo kujifunza na kupanua elimu yako na uelewa,haki ya kulaumu wengine inakuponyoka.

Sijui Matongotongo na ujinga huu vitatutoka lini!!!
 
Hivi kwa nini hata wasipige desa hiyo tovuti ya kenya ambayo ina contact zao hadi kwenye matawi yao yaliyopo nchi za nje? Mapesa yote yanayokwenda kutangaza utalii CNN yatasaidia nini kama huku nyumbani ni vurugu kiasi hiki?

jamani JK fanya haraka kubadili watendaji katika serikali yako sasa. Muda ndio unakutupa mkono hivyo mkuu. Ukiendelea kulala utakapoamka it will be too late by then!Shauri yako bwana, sisi tumeshasema!
 
Kinachofanyika hapa ni:
Travellers agency za Kenya zinatoza fedha kwaajiri ya Viza ya Tanzania moja kwa moja wakati wa kushughulikia safari nzima.

Tatizo ni kwamba wanatoza watalii bila kuwaambia kwamba malipo ni ya Viza ya Tanzania, Tanzania kwao wakenya ni sawa na mkoa uliojaa vilaza wa mawazo.

Fedha watoayo watalii kulipia viza hatimaye inaishia Tanzania lakini kwa gharama ya kudumisha usemi na uwezo wa Kenya kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro uko Kenya.

Watanzania tuko Buze kushughulikia mambo yanayoishia viunoni kuliko ustawi wa nchi maendeleo na jamii nzima.
Tunaamini kwamba mambo yatajipiga fimbo yenyewe na kuchanganya mbele ya safari.

Sisi Watanzania tuna njaa kubwa sana na ya kimasikini, twaweza pigana makonde mazito hadi kuuana kwaajili ya sima ya ugali huku tukiachia Wageni toka Ughaibuni wakilamba kila kitu katika Ghala letu la chakula, na pengine wakisha lamba kuwaruhusu wajisaidie haja kubwa humo kwa malipo ya rushwa.
Sijui ni after effect za siasa ya ujamaa au bado tu kama Tembo aliyelala!!!

Tatizo la ujinga huu si tu kwamba ni kubwa miongoni mwa Viongozi wa chama na serikali hasa wale wa Old School;bali pia ni kubwa hata kwetu sisi vijana, kuna vijana wenzetu lundo ambao wana tabia chafu ya kutoona kesho kuliko viajuza na vishaibu wa serikali na chama.
Kijana uachapo kujifunza na kupanua elimu yako na uelewa,haki ya kulaumu wengine inakuponyoka.

Sijui Matongotongo na ujinga huu vitatutoka lini!!!

Mzee hapa naona unateleza kidogo, VISA inatolewa na ubalozi wa Tanzania na kwa huyu mama ni ubalozi wetu UK. Travel Agency wanaweza kumwombea kwa niaba yake lakini hawawezi kutoa hadi waende kwenye balozi wetu.
 
Visa inatolewa mpakani wanapovuka kutokea Kenya kuingia TZ, kwahiyo anachosema Madilu kinawezekana.

Huko nyuma niliambiwa Watalii walikuwa wanaingia Tanzania kwenda kupanda mlima Kilimanjaro bila hata ya wao kujua kwamba wameshatoka nje ya Kenya.

Pia kama sikosei ukiwa na visa ya kuingia Kenya, huhitaji tena visa ya TZ na hivyo hivyo ukiwa na visa ya kuingia TZ, huhitaji visa ya Kenya.

Kuna ujanja Wakenya walikuwa wanatumia kuficha ukweli kwamba mlima Kilimanjaro uko TZ.
 
Kama ni hivyo haya ni makosa makubwa sana. Kwa sababu haiwezekani kuendelea na huo mpango kama upo, inabidi ufanyiwe ukarabati tena wa hali ya juu. Kutokana na Kenya kuwa na watalii wengi siyo nyenzo ya kulegeza sheria zetu. Kama kuna Member ambaye yuko na idara ya uhamiaji atuweke sawa hapa ni nini kinachotokea? Je wanalipa pesa ya nchi gani pale mpakani wanapopata VISA? Je hii haichangii kuona shillingi inaporomoka kila wakati?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom