Kilimanjaro is Still in Kenya

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,820
Points
2,000

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,820 2,000
nurujamii
kwi kwi kwiiii
kwamba wapige desa
mimi naona wamefanya ufisadi wa kuchukua server ya bure yenye uwezo wa 100Mb-200Mb ,hivyo ime saturated hawawezi kuongeza vitu zaidi ya hivyo vilivyopo ama wamenunua host ya kulipa $6 kwa mwezi wao wanaandika ktk madaftari yao $60000 kwa mwezi.

Mimi nilipatwa na butwaa nikabaki nimeshika tama bila jibu baada ya kuambiwa ile website ya www.wananchi.co.tz ilitumia Tsh milioni 300.Ni ajabu kweli kweli.
Hako ka web uchwara ka utalii hakawezi kugharimu hata Tsh elfu ishirini lakini nenda ukaulize watakwambia milioni kadhaa.

Hawa jamaa mimi kwa kweli huwa najaribu kuwa define nasipati picha ni binadamu wa kawaida au la!!!
 

Kalamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2006
Messages
874
Points
0

Kalamu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2006
874 0
Dua,
Visa inatolewa mpakani wanapovuka kutokea Kenya kuingia TZ, kwahiyo anachosema Madilu kinawezekana.

Huko nyuma niliambiwa Watalii walikuwa wanaingia Tanzania kwenda kupanda mlima Kilimanjaro bila hata ya wao kujua kwamba wameshatoka nje ya Kenya.

Pia kama sikosei ukiwa na visa ya kuingia Kenya, huhitaji tena visa ya TZ na hivyo hivyo ukiwa na visa ya kuingia TZ, huhitaji visa ya Kenya.

Kuna ujanja Wakenya walikuwa wanatumia kuficha ukweli kwamba mlima Kilimanjaro uko TZ.
And here lies the crux of the matter. Our heads are so thick, such that we are unable to see how deeply dependent we're getting to our northern neighbor! Matters are made worse by this EAC thing, refer Mramba and Mwapachu signing us into EPA; for no reason at all, except to enable Kenya benefit from the arrangement.
Soon, the arrangement is going to be, all tourists to Tanzania, their first point of call is Jomo Kenyatta Airport (under expansion), and through the joint tourist agreement, some of these will then trickle out to our northern tourist circuit. Sijawahi kuona utegemezi wa namna hii popote duniani.
 

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2006
Messages
2,370
Points
2,000

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2006
2,370 2,000
Kenya wanafuata kwa umakini wito waliopewa rasmi na Baba Wa taifa lao (Jomo Kenyatta). Wakati tunatangaza Azimio la Arusha, Kenyatta aliwaasa Wakenya kama ifuatavyo: "Ukiona mutu imelala, nyonya yeye!"

Ili tuamke na kuwa macho, tunahitaji kubadilisha timu. We have NOT RENEWED our leadership in 46 years. Kuweka wasaidizi wa waliotangulia sio kurenew leadership.

Kuamka sasa ni kuwaweka waliopo upinzani kwa miaka michache, na kuwa na viongozi wengine. Hali tuliyonayo imejengwa na CCM. Kutegemea CCM hao hao ndiyo waibadilishe ni kujidanganya. We need to give CCM the opportunity to recharge their batteries. They can do so in opposition.
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,159
Points
1,250

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,159 1,250
Kenya wanafuata kwa umakini wito waliopewa rasmi na Baba Wa taifa lao (Jomo Kenyatta). Wakati tunatangaza Azimio la Arusha, Kenyatta aliwaasa Wakenya kama ifuatavyo: "Ukiona mutu imelala, nyonya yeye!"

Ili tuamke na kuwa macho, tunahitaji kubadilisha timu. We have NOT RENEWED our leadership in 46 years. Kuweka wasaidizi wa waliotangulia sio kurenew leadership.

Kuamka sasa ni kuwaweka waliopo upinzani kwa miaka michache, na kuwa na viongozi wengine. Hali tuliyonayo imejengwa na CCM. Kutegemea CCM hao hao ndiyo waibadilishe ni kujidanganya. We need to give CCM the opportunity to recharge their batteries. They can do so in opposition.

sasa wa kuwaweka ni akina nani?

hawa cha dema? viti hata sita hawajapata wanagombana jee tukiwapa nchi itakuwaje?

wangwe atataka awe makamo wa rais na zitto awe makamo na na...

halafu wapinzani hawana plan ya kutushawishi tuwape nchi
 

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2006
Messages
2,370
Points
2,000

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2006
2,370 2,000
Nimjibu Mtu Wa Pwani kama ifuatavyo:

Zambia walikuwa na chama chenye nguvu cha UNIP, na kuna baadhi ya Wazambia waliojiuliza kama itawezekana kupata viongozi wengine. Imewezekana vizuri tu. Kenya hivyo hivyo.

Kwa kiasi fulani, mtu ambaye hajaona wapishi zaidi ya mama anaweza kudhani hakuna mwingine awezaye kupika.

Tanzania ina viongozi wengi wazuri. Ningeweza kukutajia kumi kati yao hapa. Baadhi yao wako CCM nusu nusu, na watatoka mara itakapokuwa salama kufanya hivyo. Kama wananchi wakitaka (kwa kuwapa kura wapinzani), basi watu hao watajiunga na kuunda serikali.
 

Forum statistics

Threads 1,391,028
Members 528,344
Posts 34,070,814
Top