Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

Matukio ya kutengeneza ili kuweka mazingira neutral. Hiyo gari wana ccm wameshapanga watamlipa hao waliovaa nguo za chadema ni wamaccm.
Nakubaliana na wewe kwasababu huyu Juma anasifa zote za unyang'au. Hivyo siwezi kushangaa wakifanya mchezo huo.

Lakini pia, wajinga pekee wanaoweza kuvamia nyumba ya mtu wakavaa Sare za Chadema wkt wanamvamia mtu ni Wanaccm. Yani unajua unaenda kuvamia, kufanya uhalifu, halafu woote mnavaa na Sare za Chama Chenu. Hii Kiki imebuma. Wajipange upya.
 
Juma Raibu ni tapeli wa kutumia nguvu za giza. Ni wale wanaokukopesha laki 2 ila utakuja kulipa milioni 3.

Hii biashara ndio imemtoa. Uchawi uchawi tu, kijana mdogo ila mshirikina.
Na utapeli wake analindwa na Policcm. Kimsingi hiyo movie imechorwa na wenye elimu za Ngumbalu. Wajipange upya.
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392
Kazi iliyotukuka ya uvccm ili waseme ni Chadema
 
Chadema mnatamani saasana kuvuruga amani lakini Mungu atawaumbua na mtashindwa na mtalegea.
 
Ukisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi.

Je ilikuwa ni kwenye viwanja vya kampeni?

Tuache siasa za maji taka jamani.
Unakumbuka hii....

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi.

Aidha Majambazo hayo yametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya

9BF6B891-52C3-4F23-ACCB-DFC7859DA181.jpeg
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392
Ya Chato mbona hujayalaani? Tit for tat. Twendeni mdogo mdogo. Baba yenu si alihubiri huu ushenzi miaka 5 mkawa mnamshangilia? Vumilieni tu.
 
Huyo mgombea ubunge Raymond Mbowe ni mtoto wa Mbowe wa kwake wa kumzaa,Naona Kilimanjaro Mbowe ameamua kuifanya mali yake binafsi na wanawe
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Makamanda tuache vurugu,tunakichafua chama chetu
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Li akaunti FEKI, parody, alafu nyie ni vyombo vya dola mshajua mhalifu ni nani?

Kwa taarifa yako , JUMA NDIO MHALIFU, uliza mahakama ya mkoa hapo , mahakimu wanasema kesi za jinai za wizi wa magari na utapeli wa kukopesha fedha alizonazo.
Juma alihusikika kumkata mapanga diwani wa mfumuni ANTHONY NDEWAWIO LYIMO kipindi cha uchaguzi wa marudio.
Mitaa ya boma Mbuzi na Pasua Juma anakula wake za watu, hili tukio ni mambo ya kutembea na wake za watu na siyo la kisiasa.
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Malalamiko apeleke alikolikatia bima gari lake, watamlipa.
 
Unakumbuka hii....

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi.

Aidha Majambazo hayo yametimua na kutelekeza Bunduki aina ya AK-47 yenye namba 18116428 iliyokuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya

View attachment 1601864
Haii ,,,maweee,,Chadema mnamaghala ya bunduki kumbe?
Haki ya Mungu ampati hii nchi kama mmeshajiandaa kwa vita basi watanzania atutaki vita,atuwapi kura.
 
Back
Top Bottom