Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Nenda kachuke buku 7 Lumumba! Utumbo kwa leo unatosha
 
Juma Raibu Ni kiboko ya chadema pale Moshi najua huu Ni mkakati wa Mbowe na lissu kumnyamazisha kiaina ila wamekwama, CCM Moshi msikubali huu uhuni
Mkuu kabla hujapost jihusishe kufikiri kidogo, kama unataka kumnyamazisha Mtu unavunja gari au unamvunja yeye?! Labda ungesema gari ya Juma Raibu ina kelele sana wameivunja kioo ili kupunguza makelele, ingekua pointi ya kijinga lakini inayokaribiana na tukio husika! Tatizo mkikaririshwa kitu mnaenda kichwa kichwa, hamshirikishi ubongo!
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Naona mnatengeneza Sinema ili mumkamate mtu, ushaona wapi waalifu wanakwenda na jezi kabisa.
 
Mimi mwanachadema ila sijapenda hii tabia ya chadema Moshi kufanya unyama kwa Diwani kijana makini kama Raibu ,Huyu huwa anajali makundi yote ya vijana bila kujali itikadi yoyote.Chadema Moshi nimewashusha vyeo
WALA HATUHITAJI HIVYO VYEO WATU WA MOSHI WA CHADEMA,
KWANZA SIASA ZA MOSHI NI ZA KISTAARABU.
 
Huyo mgombea ubunge Raymond Mbowe ni mtoto wa Mbowe wa kwake wa kumzaa,Naona Kilimanjaro Mbowe ameamua kuifanya mali yake binafsi na wanawe
TOFAUTISHA KATI YA MBOWE NA MBOYA, NI KOO MBILI TOFAUTI KABISA, MBOWE NI MMACHAME WAKATI MBOYA SIO MMACHAMW.
 
Hakuna jambazi anaekuvamia akiwa na identity labda kama atakutoa roho ili ukamsimulie Shetani au Mungu Kwa hiyo hii haina tofauti na yale majambia ya CUF ya IGP Mahita.
 
Back
Top Bottom