Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

Haya mageng ya chadema bwana.

Nashangaa wanachadema wakisema hili jambo ni Cinema.

Likitokea upande wako wanapiga kelele hadi kwa kiingereza.

Haya mambo yafike mahali yawe na kikomo.
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392
Ukajipange, hakuna mtu atavaa sare eti akavamie.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Matukio ya kutengeneza ili kuweka mazingira neutral. Hiyo gari wana ccm wameshapanga watamlipa hao waliovaa nguo za chadema ni wamaccm.
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Hii account ni ya muhuni mmoja wa ccm anajiita chadema kilimanjaro
Screenshot_20201016-010408_Brave.jpg
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392
Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.
 
Mimi mwanachadema ila sijapenda hii tabia ya chadema Moshi kufanya unyama kwa Diwani kijana makini kama Raibu ,Huyu huwa anajali makundi yote ya vijana bila kujali itikadi yoyote.Chadema Moshi nimewashusha vyeo
Ww sio mwanachadema acha kudakia kutia huruma.
 
Jamani so mnajua kusoma.
Hata aliye post kasema, aliye vamiwa(Kama kavamiwa), amevamiwa na walio vaa sare za chadema.

Post haisemi chadema. Hivyo yupo sahihi katika utoaji wake wa taarifa. Wala sio kithibitisho kwamba kavamiwa na CHADEMA. Hivyo hao ambao Ni wavmaizi na mavamiwa watakua wanafahamiana. Watafutane wqkae waongee watakayo yaongea.
 
Back
Top Bottom