TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,206
- 25,398
Nilisikia vibaya au Ndivyo ilikuwa?.
Baada ya kupewa nafasi kutoa assessment za uangalizi kwenye uchaguzi siku ya kupewa cheti cha kuchaguliwa kuwa mshindi wa uchaguzi.
Kuna mama mmoja nadhani alikuwa ni wale waangalizi wa uchaguzi, alisifia sana nchi yetu akimtaja Mwl. JKNkuwa kiongozi shupavu barani afrika na ambaye aliipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kwa wkt wake.
Huyo mama alimsifia mteule na kilichoshangaza ni pale alipoamua kupiga vigeregere kwa furaha.
Sasa ndg zangu, toka lini muangalizi wa uchaguzi akamsifia, akashangilia na kupiga mbiu ya furaha, hivi huwa inakuwa hivyo?.