Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

cacico,
A Jamaican Man was making love to his
woman for the first time in his lifr. He then
suddenly screamed and ran out of the
room.. then came back with a glass of water,
and poured it in the woman's vagina.
Frightened, the woman shouted 'Wot da Hell
Ya Do Dat Faw?' ...and the man replied,
'Damn'it woman ... dis ting too sweet man
~me gwan dilute it, rememba me diabetic'
mwl mi nazi kwako...........
 
ila ni kifaa mkuu, ona wewe

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg

Well kwa mustakabali huu naeza sema kamanda kafa kishujaa!

Wanachama Kaizer, Fidel80, RR, Kimey, Teamo, Bigirita, GY, TIMING, Wozoza.... Njooni pande hii muone kamanda alivyokufa akitetea katiba ya chama.
 
Last edited by a moderator:
Hivi alika akiishi nae mkewe kweli? maana mpaka usiku wa manane mkewe yupo peke yake?
MKuu mkewe alilikuwa Dar kule banana alilea watoto aliambiwa atulie kwani kamanda anapata uhamisho wa mara kwa mara mama wa watu akatulia
 
nadhan tungepata picha ya uyo dada tungejua kama ilikua worth it or not!
 
Kaka wa Fumo aitwaye Felix ni mdau wa huyu mama kwa mahaba na kuzaa naye pia. Siku ya tukio Felix alikuwa Dar na Fumo alishikiliwa ili aeleze kaka yake yuko wapi.

Hapa Polisi wanataka kulipa kisasi kwa jamaa huyu wanayamtaja kwa mbwembwe!!!
Ngoja niwape dondoo kidogo.

Mtuhumiwa anayedaiwa kukamatwa Dar ni :-
1.FELIX FELICIAN MINDI kaka yake FUMO FELICIAN MINDI.
2. Ni afisa wa Polisi (kamuua bosi wake)
3. FUMO naye amekamatwa kwa kuwa alikuwa na namba za simu za Marehemu na aliwasiliana na muuaji (kaka yake) muda mfupi kabla ya kuua.
4. marehemu wakati mahuti yana mkuta mtuhumiwa (FELIX) alikuwa Dar zaidi ya wiki kabla.
5. SICHELEI KUSEMA KUWA Mtuhumiwa siyo MUUAJI halisi ila tuseme alishiliki kupanga njama za kumuua RPC.
6. HIVYO kwa maana halisi ya mauaji Huyu (MHAYA) FELIX siye aliyeua kwani He was not physically on the scene of incident.

POLISI TAFUTA MUUAJI TAFADHALI MSILIPE KISASI KWA KUCHANGIA HAWALA.
 
dah kumbe kafa kazini tena kwa sababu ya k. muke ya mutu ni sumu usijaribu..............
 
Kweli nimeamini kua huu msiba haukua wakitaifa! Kwanini? tujikumbushe kua hata mzee wetu wa kule Magogoni huwa hapitwi na misiba iwe ya kitaifa mpaka yakina KANUMBA lakini natumaini baada ya kupewa taarifa kutoka kwa IGP Said Mwema kuwa tumeondokewa na Kamanda JK akiwa Oman anashangaa mahekalu na kuumuuliza chanzo cha kifo ni nini? na Said Mwema kumwambia Mkulu kuwa jamaa kafia kidondani basi hata mzee wetu tuliomzoea wa kuhzuria misiba naona alisema mzikeni tu na pole yenu! Habari ndio hiyo. R.I.P Barlow
 
Back
Top Bottom