Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

ila ni kifaa mkuu, ona wewe

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg

Unaonaeee! tena hapo ni usoni tu na kifua. Kama angegeuka je? OK, angalia hapo kifuani panavyochanganya penyee apo, kanfereji hako katikati ya milima ya majibu sahihi na fikra sahihi za Dorothy, suppose angeinua kidogo afute jasho si ungenanihii? Yaani angeshusha picha na akageuka je? Kufia kwenye kidonda hapo ruksa.
 
Ebu tujikumbushe ya Uganda, Kamanda na nyumba ndogo yake:

[h=1]Girlfriend 'kills Uganda general'[/h]
_46701763_kazini226.jpg
People are shocked by the manner of James Kazini's death

Uganda's former army chief James Kazini has been killed at his girlfriend's flat in the capital, Kampala.
A BBC correspondent says Maj Gen Kazini died after being hit on the head with an iron bar during a brawl.
An army spokesman said he had been a victim of domestic violence. His girlfriend has been arrested.
He was sacked as army chief in 2003 after UN accusations that he plundered resources in the Democratic Republic of Congo when leading operations there.
He was in charge of Ugandan troops who clashed with their Rwandan counterparts in the eastern Congolese town of Kisangani in 1999.
The BBC's Joshua Mmali in Kampala says many people are shocked by the manner of his death.
Last year he was found guilty of corruption - charges unconnected to the Congolese allegations.
He went to jail, but was out on bail and facing further charges of subversion at the time of his death.
Denials
Allegations against Maj Gen Kazini were first made in two United Nations reports, at a time when Uganda had a heavy military presence in eastern DR Congo, supporting the rebellion against President Laurent Kabila and later against current President Joseph Kabila.
Although Maj Gen Kazini was withdrawn from DR Congo in 2001, the Ugandan government protested his innocence and appointed him acting army chief.
The government nevertheless set up a judicial commission of inquiry into the UN allegations.
As a result of the inquiry, the government recommended that action be taken against Maj Gen Kazini, and he was removed from his post as acting head of the army in 2003.
An army spokesman said at the time that Maj Gen Kazini's removal from office was unconnected with the UN accusations, and that he was being sent for further training.
Last year he was found guilty of causing the army financial loss, charges that stemmed from irregularities in the army payroll.
He was most recently facing charges that he disobeyed a presidential order, when he was army chief, not to transport large numbers of troops at one time.
Such actions can raise suspicion of coup plotting, our reporter says.

Nukuu: BBC News - Girlfriend 'kills Uganda general'
 
Bado mie nina mashaka na hiyo taarifa ya Polisi,ni kama vile wanalipua ili yaishe na mtu wa kumtupia mzigo awe kapatikana. Subirini mtajionea mchanganyiko utakaotokea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hawa polisi kwanini wasisubiri wakishakamilisha upelelezi ndio watoe taarifa ya kueleweka .Mbona kila siku habari ni tofauti hawana msemaji mmoja
 
cacico tatizo si kei tatizo hapa mwanamke. Na siku zote wanawake ndiyo chanzo cha matatizo katika jamii. Sababu Mungu amempenda mwanamke kuwa msaidizi alimpa uwezo wa kuwa mtendaji, SHETANI alitumia nafasi aliyopewa ya utendaji akampenda aende kinyume moto unawaka hapo. Naamini kama mwanamke ataishi kama alivyokusudiwa na Mungu bila kudanganyika na sauti za ibilisi hakutakuwa na HUZUNI wala KILIO.
 
Hizi kei hizi! Cjui ziliwekwa nini??? Kwa nini usikae na kei ya mkeo tuuuuuuuuuu! Nways rip kamanda!

Hivi alikuwa akiishi nae mkewe kweli? maana mpaka usiku wa manane mkewe yupo peke yake?
 
si rahisi kuamini! huyu kamanda alishindwa kuzuia harakati za vyama vya upinzani mpaka mkoa wa mwanza ukachukuliwa wote na wapinzani, hivyo system haikumtaka, nafasi ilipopatikana, wakamaliza kazi, hayo mambo mengine ni mazingira ya kufunika ushahidi.kamanda wa mkoa ni cheo kikubwa lazima alindwe hata kama anaenda nyumba ndogo,walinzi wake mbona hawajachukuliwa hatua, walikuwa wapi?? wanalipwa kwa kazi hiyo hata kama ni saa 10 za usiku walipaswa kuwa kazini. hebu tujaribu kuwa wadadisi
 
Kweli apumzike kwa amani! Yani binadamu wengine sijui ni mijitu! mtu unamtoa uhai binadamu mwenzio kwa mwanamke ambaye pia si mali yake kihalali! jamani tunakwenda wapi!

nasikia mama alikuwa ameachiwa mavumba ya kutosha na mume wake kwa kufanikiwa kuwa nae kimapenzi kulikuwa na faida nyingi!
 
wakati wa uchaguzi huyu kamanda alikuwa hajahamia Mwanza

si rahisi kuamini! huyu kamanda alishindwa kuzuia harakati za vyama vya upinzani mpaka mkoa wa mwanza ukachukuliwa wote na wapinzani, hivyo system haikumtaka, nafasi ilipopatikana, wakamaliza kazi, hayo mambo mengine ni mazingira ya kufunika ushahidi.kamanda wa mkoa ni cheo kikubwa lazima alindwe hata kama anaenda nyumba ndogo,walinzi wake mbona hawajachukuliwa hatua, walikuwa wapi?? wanalipwa kwa kazi hiyo hata kama ni saa 10 za usiku walipaswa kuwa kazini. hebu tujaribu kuwa wadadisi
 
uTAJUAJE KUWA NDO YA MUHUSIKA?
Nimekariri kifua chake, nitaungaunga mpaka nipatie tu. Picha yake si tayari nimeprint colored na nimeiweka mezani? Huoni ni ua tosha hilo? Afu desktop inapendeza noooomaaaaaaaaaa!
 
Huyu mwanamke lazima atakuwa mlango wa nane mjini huita gundu/nuksi au mkosi sababu kila anayekuwa nae anakufa au anapata matatizo kama marehemu Barlow au jamaa aliyekamatwa Dar.
 
Ebu tujikumbushe ya Uganda, Kamanda na nyumba ndogo yake:

Girlfriend 'kills Uganda general'

_46701763_kazini226.jpg
People are shocked by the manner of James Kazini's death

Uganda's former army chief James Kazini has been killed at his girlfriend's flat in the capital, Kampala.
A BBC correspondent says Maj Gen Kazini died after being hit on the head with an iron bar during a brawl.
An army spokesman said he had been a victim of domestic violence. His girlfriend has been arrested.
He was sacked as army chief in 2003 after UN accusations that he plundered resources in the Democratic Republic of Congo when leading operations there.
He was in charge of Ugandan troops who clashed with their Rwandan counterparts in the eastern Congolese town of Kisangani in 1999.
The BBC's Joshua Mmali in Kampala says many people are shocked by the manner of his death.
Last year he was found guilty of corruption - charges unconnected to the Congolese allegations.
He went to jail, but was out on bail and facing further charges of subversion at the time of his death.
Denials
Allegations against Maj Gen Kazini were first made in two United Nations reports, at a time when Uganda had a heavy military presence in eastern DR Congo, supporting the rebellion against President Laurent Kabila and later against current President Joseph Kabila.
Although Maj Gen Kazini was withdrawn from DR Congo in 2001, the Ugandan government protested his innocence and appointed him acting army chief.
The government nevertheless set up a judicial commission of inquiry into the UN allegations.
As a result of the inquiry, the government recommended that action be taken against Maj Gen Kazini, and he was removed from his post as acting head of the army in 2003.
An army spokesman said at the time that Maj Gen Kazini's removal from office was unconnected with the UN accusations, and that he was being sent for further training.
Last year he was found guilty of causing the army financial loss, charges that stemmed from irregularities in the army payroll.
He was most recently facing charges that he disobeyed a presidential order, when he was army chief, not to transport large numbers of troops at one time.
Such actions can raise suspicion of coup plotting, our reporter says.

Nukuu: BBC News - Girlfriend 'kills Uganda general'

teteteteteteteteteteeeeee! ameuwawa na Vodacom, maafande bana, labda na tigo. Usikute ni Zantel mambo moto hukuuu! hutwangwa kotekote baba! Nimeshaona udhaifu wa maafande sasa. Wakini tishia nitawaonyesha picha ya Voda wanatetemeka hadi kufa. Kumbe ni duniani kote? Unakumbuka Clinton kwa Monika Lewinsk?
 
Hivi alikuwa akiishi nae mkewe kweli? maana mpaka usiku wa manane mkewe yupo peke yake?
Ataweza vipi kukumbuka nkewe kauzoea nkao mmoja kila siku na sasa anapata wa tofauti nkuu? Labda aliyesababisha kifo ni nkewe mwenyewe kule kubana sana kuntoa mme kwendatafuta nkao mwingine. Nkate wa kuiba nchungu nzee, acha tu.
 
Wana jamii tupeni mchango wa kwa nini tusijirekebishe kwa tabia za kupenda wake za watu:spy:
 
nasikia mama alikuwa ameachiwa mavumba ya kutosha na mume wake kwa kufanikiwa kuwa nae kimapenzi kulikuwa na faida nyingi!
Nchaga huyo Dorthy chi mumewe kuitwa Lyimo?
"Chemejichemeji huku mwajimataaaa"
 
Ni mama la haja lakini napata shaka kidogo kama kweli hii picha ni yeye kweli....nahisi ni picha imekuwa downloaded kutoka kwenye blogs,kama mailblog na n.k...

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg
[/QUOTE]
 
k tamu sana,cdhani kama kuna kitu duniani kinazid k,hayo mengine ni usanii tu!!!haya bana ngoja na si tusubiri kuua kwa jins tulivyo na wachumba wazuri kupindukia!!!!!kwa nini unilie k yangu bana?pumzka ila mh!!kama mungu yupo kazi unayo!!!!!!

Mkuu ntogwisangu...! utamu unao mwenyewe,unachotafuta ni utelezi tu,sasa huo utelezi ukiupata kwenye mpapai au sabuni au kinywani utasikia utamu,...........utamu unao uhisi pale au kusikia ni wako wewe na sio K...!
 
Back
Top Bottom