Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
Na ww ulete habari aisee
Ndio maana nimeamua kuingia kundini.Na ww ulete habari aisee
Wabeja sana nkohi.Tolehoi sana nkwingwa.....karibu sana ndugu
Wabeja sana nkohi.
Kumbuka pia humu kuna uhakiki wa vyeti humu.. Maana kila mtu humu kasoma chuo udsm na kila mtu ni maneger/ director wa sehem flan
Wengi wana ela, magari, madem/ waume wazuri

Ahsante, nilishakaribia ndugu.Krb sana JF...