Simu yako inakua ipo roaming,kama una package ya roaming unafanya mawasiliano kawaida kwa rate za roaming,Redio kushika Frequency za Nchi nyingine ni kawaida sana hasa kwenye maeneo ya mipakani mwa Nchi, Hilo suala la mitandao ya simu ni vigumu sana kunimezesha kwamba inawezekana wakati ukipiga simu unakatwa kodi ya Nchi za Kimataifa sio kitaifa. Bado suajelewa hapo kwa kweli!!
Upo sahihi mkuu...ata mimi huwa inanitokeagaNilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
AhSiasa mingi
Ni kweli kabisa sisi tunaoishi horohoro na wachache wa duga tunatumia sana safari com kwenye internet kuliko mitandao yetuMy dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Duhh Na internet speed Ake vipiNi kweli kabisa sisi tunaoishi horohoro na wachache wa duga tunatumia sana safari com kwenye internet kuliko mitandao yetu
Ya safari com ipo speed sana kuliko ya kwetu , na haikati kati ,Duhh Na internet speed Ake vipi
Basi hapo kuna tatizo. Itabidi wazuie hiyo ishu kama Kenya wanavyofanya. Maana huko kwao haitokea kama huku kwetu. Nimeiona mwingine hata amesema Tunduma pia huwa inatokeaNilipofika vanga ambapo nimekua nimeingia Kenya tigo tz ikakata ikabaki mara safaricom mara tigo Kenya nilipofika mpakani siku ya kurudi ikarudi tigo tz yangu na kitendo cha kufika horohoro upande wa Kenya sms hazitoki Wala kuingia
Vipi maeneo ya mjini minara ni mingi lkn sijawahi kuona mitandao ikiingiliana.Mitandao haina mipaka mkuu mji wa Rombo upo karibu sana na kenya hivyo minara ya simu inaingiliana. Ina maana umeshindwa kuelewa hata ilo jambo dogo kiasi hicho mpk umejiuliza kama Rombo ni Kenya. Be serious lower thinker
Hadi Raha next time nikija nitafta line ya safaricomYa safari com ipo speed sana kuliko ya kwetu , na haikati kati ,
Yaani mpakani mwa tz Na Kenya hapo horohoro network ya tz kushika n kusuasuaBasi hapo kuna tatizo. Itabidi wazuie hiyo ishu kama Kenya wanavyofanya. Maana huko kwao haitokea kama huku kwetu. Nimeiona mwingine hata amesema Tunduma pia huwa inatokea
Duuuh noma sanaYaani mpakani mwa tz Na Kenya hapo horohoro network ya tz kushika n kusuasua
Sijamaanisha minara kama voda na tigo naongelea minara inayoingiliana kama Vodacom na safari com au airtel TZ na Airtel UG kwa kuwa subscriber ni mmoja inapokezana na kuingiliana unapobadilisha nchi sasa kwa kuwa mtandao wa simu sio kama mpaka wa nchi au ukuta lazima iingiliane. Sijui kwa nini uelewi kitu ambacho hata mtoto wa miaka mitano anakielewa kwa kujiongeza tu. We wa wapi hauna hata chembe ya exposure duh taifa letu tuna kazi sanaVipi maeneo ya mjini minara ni mingi lkn sijawahi kuona mitandao ikiingiliana.
Au minara ya huku kwetu ina mipaka?
Be serious lower thinker too...
Na ukiwa unatokea kenya unaingia upande wa laset kenya au loitoktok kama unatumia safarcom itaandika karibu vodacom tanzania.ina maana laset ni tanzaniaNilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
Ufipa imeingiaje hapa we mkatwa mkiaMtoa mada ni mbunifu wa Ufipa yupo mapumzikoni.
Nimeenda tena weekend hii ona nashindwa kuattachDuuuh noma sana