Kilichonipata leo, nimekoma!!

Mkuu huyu dada watoto wake aliwaacha Mkoani,na kwa namna alivyo huwezi kudhani kama ameshazaa!!
Hata kama angekuwa amewaacha mbinguni, huwezi kutofautisha huyu amezaa, tena sio kuzaa tu tena watoto wawili???

Jitathimini upya kama unadanganywa kirahisi hivyo!
 
Pole Mzee mwenzangu mtafute mama wamtoto ongea nae kistarabu ww uhudumie mtt wako nayy afanye yake mbna ww hikumfanyia fujo ulivyo waleta hao watt wake kaambali nae nahuyo wakalatu pigs chini yy ndie atakutafuta by
 
Mara ya kwanza "mgeni" wa hivyo hakaribishwi nyumbani. Next time ukitaka kufanya hivyo, take note.

Anakaribishwa home ukishajiridhisha kuwa anafaa hata kumtambulisha kwa jirani zako. After a few "hits" ndio waweza kufanya hivyo.
 
Kwahyo sasa hivi unalea mtoto...hakalii!!! Utafanyaje kazi sasa mkuu...kwa hatua hii hauna budi kujishusha...
 
Mkuu, mpeleke huyo mtoto kwa mama yako mzazi huko nna imani atalelewa vema hutokuwa na wasiwasi, na kuhusu hao wanawake neither of the two is an ideal woman for u. Ukishampata mwanamke utakaeona waweza kuishi nae muweke wazi juu ya huyo mtoto uliyenaye mwanzoni mwa mahusiano yenu na mkifanikiwa kuoana kamchukue mtoto kwa mama yako.. Kama ningekuwa mm ningeenda na option hiyo
 
Safi sana, huyo mwanamke ameanzisha kampeni inayoitwa
"mama rudisha mtoto kwa baba, akitaka umlee, akuoe"
Wanawake muungeni mkono mwenzenu.
Hakika mnaweza.
Wanawake oyeeeeeeeeeee!!!
 
Kwanza shukuru kwa imani yako kuwa umeifahamu rangi halisi ya huyo muiraqw wako. Ilikuwa ukatwe kende siku moja au mwanao auawe ukiwa tayari umeshamuoa huyo bibie. Yajenge tu na mzazi mwenzio.
 
hahahahah nmecheka na kukumbuka ule usemi wa single mother sasa Leo semeni single father Lea tuu mkuu
 
hahahahah nmecheka na kukumbuka ule usemi wa single mother sasa Leo semeni single father Lea tuu mkuu
 
Kuna kipindi namkumbuka sana swahiba General Galadudu ndio mtaalamu wa mambo kama haya hapo atakuambia tafuata mguu wa kuku(bastola) ulipe kisasi haaaaa haaaaa
 
Soma vizuri post yangu kwa utulivu kabisa,utaelewa,kumbuka hakuniambia kuwa ana watoto wengine watatu,nilipogundua hilo nikajisepesha tu,na kuamua kuanza upya,ndo yamenifika hayo,kosa langu mimi ni nini mkuu
Hukumfahamisha yeye wala hiyo mu iraq ho ndiyo kosa lako
 
ucwaze sana mkuu. mama mtoto atarudi tu hawezi achaniza mtoto wake hasira zikishuka.
 
hivi nyinyi wanaume mbona mnatudhalau sana? Kila post apa mmu ni kutugegeda, nk!
we ni kuchomeka tu mkuki wako kila sehemu? Kuna siku utagegeda jini wallahi...
Note! Umejiung great thinkers tareh 20Dec 2016?
Kwani mkigegedwa ndo kudharauliwa?
 
Aiseee Mungu niepushie hiyo roho ngumu yani kumuacha mwanangu mdogo kwa mwanaume kisa sijui vitu gani tu
 
Kwani mkigegedwa ndo kudharauliwa?
Ukionjeshwa kaa kimya! Siyo kupiga domo kitaa...ohooo bin fulan mbona wangu, ata nikiweka laud spika nimwite analeta k. fasta....pumbavuuhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…