Kilichonipata leo, nimekoma!!

Mkiambiwa msiikaribie zinaa mnajifanya wajuaji sasa hyo ni rasharasha tuuu mvua yenyewe bado kabsaaa
Sijakuelewa mkuu kuiakaribia zinaa kivipi,kumbuka nilipoanza naye mahusiano huyu mama wa mtoto nilikusudia kumuoa kabisaaa,lakini baada ya kugundua kuwa ana watoto watatu ilinikatisha tamaa nikaamua kuanza mahusiano mapya,
 
Usicheze na mtoto wa Kaatesh, labda kama kumeokoka sawa. Tafuta mtu akubembelezee ili mwenye mtoto arudi muyajenge, hatari sana!.... Pole aisee! Wazazi hawaachanagi...huwa wanapumzishana tu
Kiukweli nimejikuta katika wakati mgumu sana,na katika maisha yangu sijawa mtu wa kucheat kabisaa
 
Hivi wanaume ni kwa nn mnapiga kavu na wanawake ambao hmjapanga kuzaa nao?k
una madem wapo ki mitego, yaan anaomba mungu apate hata mwanaume wa kumpa hela ya kula kwa siku,so anabeba mimba maksudi akijua ndo gia ya kuolewa.

BTW humtaki huyo mwenye watt wengi lakin jua hata huyo mu iraq si mwanamke sahihi kwako, ni wazuri kwa sura tu lakin tabia hakun kitu.
 
Maisha lazima yaendelee, kuwa na msimamo kama mwanaume just be straight mwambie huyo mzazi mwenzio kuwa kuolewa afute akilini (kama unavyodai huna mpango wa kumuoa), tafuta mwanamke wa kujenga nae maisha oa huyo wa kateshi hakufai hata kidogo, kama katishia kumnyonga mtoto expect unexpected ukimuoa yeye. Ova
 
Jamani hapo nina kosa kweli???kama ndiyo kosa langu ni nini?😱🙁🙁🙁
Kama mama yako yupo mpeleke mtoto kwa bibi yake au kwa dada zako ambao wanawatoto watamlea mtoto akua,kabla ya kumpeleka huko pitia vyombo vya usalama utoe taarifa juu ya kuterekezewa mtoto maana muda si mrefu utaitwa mwizi wa mtoto,usithubutu kumfuata huyo aliyekuja kukuterekezea mtoto na wala huyo wa katesh hawama sifa ya kuitwa mke,ila jiandae kisaikorojia kupelekwa ustawi wa jamii na mzazi mwenzio akidai mtoto wake
 
Acha kuruka ruka kuwa na msimamo, wanawake ni walewale
 
Hao kama shetani kazi yao kuharibu hamna wa nafuu hata mmoja chunga akili yako.
 
hivi nyinyi wanaume mbona mnatudhalau sana? Kila post apa mmu ni kutugegeda, nk!
we ni kuchomeka tu mkuki wako kila sehemu? Kuna siku utagegeda jini wallahi...
Note! Umejiung great thinkers tareh 20Dec 2016?
 
pole kaka. Siku ingine shika adabu yako na ukome kudharau dada zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…