Kilichonipata leo, nimekoma!!

Kilichonipata leo, nimekoma!!

Maisha lazima yaendelee, kuwa na msimamo kama mwanaume just be straight mwambie huyo mzazi mwenzio kuwa kuolewa afute akilini (kama unavyodai huna mpango wa kumuoa), tafuta mwanamke wa kujenga nae maisha oa huyo wa kateshi hakufai hata kidogo, kama katishia kumnyonga mtoto expect unexpected ukimuoa yeye. Ova
Thanks alot ndugu yangu,nimekuelewa sanaaaa!!!
 
Katoe taarifa Polisi. Kitendo cha mama wa mtoto ni jinai na kinakiuka haki ya mtoto na kuhstarisha usalama wake. Wahi haraka Dawati la Jinsia na Watoto Polisi , na wao kwa kushirikiana na Ustawi wa Jamii watakushauri hatua sahihi za kuchukua kwa manufaa makubwa ya mtoto. Pole lakini kwa kuwa njia panda!!
 
Mtoa post umesema amepata mimba bila makubaliano! Unazungumzia makubaliano ya aina gani wakati hamkuwa mnatumia kinga? je ukipata ukimwi utasema amekupa bila makubaliano? Stupid.
Ahsante kwa mchango wako,lakini umesahau kitu kimoja kuwa haya ni mapenzi,na wakati fulani mapenzi ni upofu
 
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji, huyo muiraq au msirya asikutishe hana lolote na pia huyo single mother asikuongezee mzigo kabeba mimba ili apate kiki ya kolewa cha msingi tuliza akili tufuta msichana anayejielewa sio kama huyo muiraq anayekutishia uchawi au huyo single mother anayetaka kukubebesha mzigo wa wanawe. Ila mpe matunzo usitelekeze mtoto ni dhambi kubwa
 
Ahsante kwa mchango wako,lakini umesahau kitu kimoja kuwa haya ni mapenzi,na wakati fulani mapenzi ni upofu
Sasa usiseme amepata ujauzito bila makubaliano wakati unajua hamkutumia kinga. Au ulimaanisha makubaliano kwa mwanasheria?
 
Sasa usiseme amepata ujauzito bila makubaliano wakati unajua hamkutumia kinga. Au ulimaanisha makubaliano kwa mwanasheria?
Niliingia kwenye mahusiano naye baada ya kupima,na swala la kuzaa kwa watu wanaojielewa ni issue yakujadili, kukubaliana na kuamua,lakini maamuzi ya upande mmoja pekee bila kushirikishana si sawa,that is why mwanamke akiamua kuzaa anazaa tu,lakini asipoamua mwanaume wawezafanya vyovyote ufanyavyo na bado asizae,so,issue si kutumia au kutotumia kondom!!!
 
hivi nyinyi wanaume mbona mnatudhalau sana? Kila post apa mmu ni kutugegeda, nk!
we ni kuchomeka tu mkuki wako kila sehemu? Kuna siku utagegeda jini wallahi...
Note! Umejiung great thinkers tareh 20Dec 2016?
Punguza hasira dada,halafu sipo hivyo ufikiriavyo,ukisoma maelezo yangu kwa kutulia sana utaelewa,na katu hautanituhumu
 
Niliingia kwenye mahusiano naye baada ya kupima,na swala la kuzaa kwa watu wanaojielewa ni issue yakujadili, kukubaliana na kuamua,lakini maamuzi ya upande mmoja pekee bila kushirikishana si sawa,that is why mwanamke akiamua kuzaa anazaa tu,lakini asipoamua mwanaume wawezafanya vyovyote ufanyavyo na bado asizae,so,issue si kutumia au kutotumia kondom!!!
Sasa mwanaamke anaamuaje kuzaa au kutokuzaa wakati mbegu zinaingia? Maamuzi ya kutokuzaa au kuzaa lazima yaendane na kinga za asili au za kisasa.
 
Huyo wa kateshi n muuuza papa kama walivo wengne...umekula mzigo kwa laki mbili? Ww nae bogus kwel
 
Huyo wa kateshi n muuuza papa kama walivo wengne...umekula mzigo kwa laki mbili? Ww nae bogus kwel
Kwa usalama wa mtoto wangu asiye na hatia hata ingekuwa laki tano ningempa tu
 
mchepuko sio dili, Rudi tarehe 25 ukazaliwe na yesu
 
Hiyo ni damu yako.Lea mwenyewe wala usimuludishe kwa mama yake kama anaupendo na mwanae asingethubutu kumtelekeza kwa namna yoyote ile
 
Mkuu huo mchezo simple unakutisha nini sasa.nianze na huyo dem Wa kiirak sijui nae ulikuwa umeingia chaka kama la huyo uliezaa nae tu.alikuwa mpiga dili sema kimesanuka mapema na inabid ushukuru sio mke huyo.kuhusu huyo mama Wa mtoto usisubiri mpaka arudi.kuwa mpole mtafute uwa wanaelewa mana mtoto bado Mdogo.huyo Wa kiirak boya tu hawez Fanya lolote.akikuroga leta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom