Kilichonikuta

ha haaa, lol!
ngoja ntaongea naye, usikute teja hampi hata sekunde, lol!

yani dada kubwa bana!nakupendaje sasa unaponitetea namna hii!
huyu shem wako nae,si ulishamwambia utatuita kama familia tuyamalize!?
sasa analalamika nini!
 
yani dada kubwa bana!nakupendaje sasa unaponitetea namna hii!
huyu shem wako nae,si ulishamwambia utatuita kama familia tuyamalize!?
sasa analalamika nini!
eti anasema wewe ndo huna nafasi ya kukutanishwa......
najua mdogo wangu tulivyoambiwa kuleeeeeeeeee wakati uleeeeeeeeeeee kuwa teja first
lakini pia hawa mashem unajua tusipowaweka sawa mambo yanaweza kuwa magumu sana.
jitahidi kutafuta nafasi hata masaa machache tuyasuluhishe, maana naona shem Nicas Mtei hapa anataka kuanzisha ya kuanzishwa.... tusimpe nafasi mdogo wangu, sawa?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Mwambie akuelewe
 
Last edited by a moderator:
Mama za hao watoto pia waliwahi kukaa hapo na Mama mkwe kama ambavyo ww leo upo ukiwalea hao ulio wakuta;Ipo siku na ww utaondoka na atadanganywa mwingine kama ulivyo danganywa ww ili kuja walea hao watoto akiwemo na mtoto wako utakaye muachia!

Haiitaji hata uwe na certificate ya sociology kugundua kuwa mmeo akikuchoka atakutimua kama alivyowatimua wazazi wenzie wa hao watoto na ataleta mdada mwingine aishi na MAMA MKWE kama ambavyo unaishi nae sasa AHAHAHAHAHA!
 

Hii hadithi inafundisha vizuri sana. Wadada mmeielewa.???
 
Sasa bi dada unachoshangaa ni kipi, maana hata wewe ndani ya maelezo naona umebebwa kama ubwabwa wa shughuli.
Sioni mahali kuwa ulifunga ndoa, bali umesema ulizaa tu na huyu kifanyio dind.a.
Hivyo kaa hapo hapo bi dada lea wana wa wanawake wenzako.
hahahahahahahahahahahhahaha maneno kuntu aisee nimecheka mpaka bosi wangu kanifuata hapa
 
rafiki ni aje banaaa? hahahaha lol!


umeona mdogo wangu?
mi naona anakwepakwepa tuuuuuuuu.....
bembeleza hawa mabinti wanahitaji kubembelezwa, lol!
 
Last edited by a moderator:
Pole dia..hawa wanaume hawa waone hivi hivi,wengi ni waongo kama kitu gani sijui
Sikulaumu bse ndo mzazi mwenzio ulitakiwa uchunguze nje ndani ndo mfikie mwafaka wa kuishi wote, mapenz ya kukutana masomoni mengi hayazai matunda mazuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…