Kilichonikuta

Esuuu unafanyanini apo maee...em ondoka bibi wee
 
kwa ninj umekubali kwenda kuishi bila ndoa inawezekana tabia yake ya kuzaa na kuacha ipo siku nawe utaondolewa..kaa nae muweke mambo sawa na kufikia maamuzi mapema kabla hajakuzalisha mtoto wa pili
 
Kwani huyo braza ana umri gani? Manake umetoka nae chuo unakuta ana mtoto alieko chuo? Asije akakutongoza aisee

Huyu anajichanganya sana, mtu ambae mtoto wake wa pili yuko form one bado anamuita kijana.
 
ha haaaa, rafiki nyimbo zenye maneno kama haya ungekuwa unauliza kwanza kabla ya kuposti..... wengine tutaishia kulia bure....
mwulize mdogo wangu snowhite kwa nini nasema hiviiiiiiiiiii jamani........
mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!
ah!mi nachooooaka!
miss you big sisssy!
 
Last edited by a moderator:
MIMI PIA!
KHE!sasa haya mautamu ya dunia ndo yangekuwaje!?????????
WE WAWEPO TUUUUUUUUUUUu!
cha!
NAWEZA NKASHINDWA KUPUMUA ATI!lol
ha haaaa, utakuwaje mdogo wangu halafu usi-feel ninachofeel?
ulisika wapi hayo jamani??????????????????
ngoja tukomae nao hivyo hivyo, but life without them!:nono::nono::nono:
 
mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!
ah!mi nachooooaka!
miss you big sisssy!
ha haaaaa..... yaani unashindwa kunitetea dadako ninavyoumia?
ndo nini sasa kuamshana makitu yalikolala?
miss you too lil sis....
 

You are always bright,cjui kama Kuna watu walishaliona hilo kwako.Nataman uwe mzuri pia.
 
Sasa bi dada unachoshangaa ni kipi, maana hata wewe ndani ya maelezo naona umebebwa kama ubwabwa wa shughuli.
Sioni mahali kuwa ulifunga ndoa, bali umesema ulizaa tu na huyu kifanyio dind.a.
Hivyo kaa hapo hapo bi dada lea wana wa wanawake wenzako.
maisha popoote
 

Hangaika nayo wewe mwenyewe. Wakati mnatongozana ulituomba ushauri??

 
Dada mtu analia mdogo mtu analia lol! BAK atabembeleza wote πŸ™‚πŸ™‚...mna machozi mengi eeh!!! :sad:


mh mi ushahidi mwingine uwe unaniepuka tu!manake ntakuwa natoa ushahidi na mi nikiwa nalia!sasa sijui BAK ataelewa!
ah!mi nachooooaka!
miss you big sisssy!
 
Last edited by a moderator:
Mi ww ni singesikiliza la swala wala la mnadi swala maana i think he is not a man enough fo u!
 
Dada mtu analia mdogo mtu analia lol! BAK atabembeleza wote πŸ™‚πŸ™‚...mna machozi mengi eeh!!! :sad:

acha kutuonea BAK LOL!:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Last edited by a moderator:
Ningekimbia.. Nafikiri angerudi huko alikokuwa asingenikuta lol..

BTW inaonekana huyo mwanaume alikuzidi sana umri kiasi kwamba.. Ulipaswa udought kuwa ana familia(mke na watoto) kwao.. Na si mtoto tu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…