Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,185
- 22,588
Leo nikiwa kanisani mapema sana, ndipo mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"
Sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...
Ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..
Nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli. Huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!