Kilichonikuta kanisani leo

Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,431
2,000
Leo nikiwa kanisani mapema sana, ndipo mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"

Sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

Ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

Nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli. Huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
 
Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
515
1,000
Leo nikiwa kanisani mapema sana
ndipo.mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake
"deni langu limelipwa na Mungu"

sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani

paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji..

naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli ..!
huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
Hahaahahaaa pole kalalee kwa rafik subri.hasir zake zitakapo koma mfuate kwa utaratib
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,123
2,000
Leo nikiwa kanisani mapema sana
ndipo.mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"

sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli ..!
huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
2021 Yaani bado tu unaenda kanisani ama msikitini kusali kueneza tamaduni za watu?
 
Albahi

Senior Member
Dec 30, 2020
198
250
Leo nikiwa kanisani mapema sana
ndipo.mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"

sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli ..!
huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
Hakuna vya bure mjin hii we lipa tu kodi aisee.
 
babu gojo

New Member
Jun 10, 2015
4
20
Leo nikiwa kanisani mapema sana
ndipo.mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"

sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli ..!
huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
😂😂😂
 
Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
36,969
2,000
Utani gani tena huu jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom