ndo maana yule form 3 anamjunja mke wake😂Wewe mchokozi.
aah usiseme hivyooUmeshaachana nae, kwanini ulimtafuta?
Mimi nikitafutwa na Ex ni mwendo wa block tu.
Mi sina ex 😅Umeshaachana nae, kwanini ulimtafuta?
Mimi nikitafutwa na Ex ni mwendo wa block tu.
Halafu mke akiingia line ataanza kuwaponda wake za watu, kumbe yeye ndo mharibifu namba mojando maana yule form 3 anamjunja mke wake😂
NAKAZIAndo maana yule form 3 anamjunja mke wake
Kumbe mnajijua akili zenu.....Halafu mke akiingia line ataanza kuwaponda wake za watu, kumbe yeye ndo mharibifu namba moja
aah usiseme hivyoo
Sasa na yeye kama aliachwa,af leo anapiga simu,huko alikoenda haolewi? Au hakolei! Akifukuzwa,eti wanaume wana roho mbaya. Hapo kanona karanga anataka aonje sasaHalafu mke akiingia line ataanza kuwaponda wake za watu, kumbe yeye ndo mharibifu namba moja