Kilichonifurahisha kutoka kwa Billgates ni kuwa hatembei na mabaunsa au walinzi licha ya utajiri wake

Kuna jambo la kufurahisha kama sio la kushangaza Tajiri na multi millionaire na mtu mwenye brand kubwa na ushawishi Bill gates anatembea bila ya kuwa na mabaunsa au walinzi.Tajiri huyu ana utajiri wa Dollar Billion 90

2d40882ac09a85d4e1e84972eb3662d3.jpg


230a5fbe2d314db6f88ae8b2fdd17ed9.jpg


6f63edb33e3599f10497cbcf1eea0427.jpg


2.Steve jobs pia ni Tajiri mwingine lakini yupo kawaida alikuwa hatembei na mabaunsa

12fbb40332a77f4836c5eb36df48494f.jpg


73f592d336c5d38ab9040a31e42d699b.jpg






Kimbembe kipo huku


1.Gwajima huyu Don anatembea na walinzi kibao utafikiri Director wa FBI


3efe6aeea3cfa355e6e3aa5d27677681.jpg
.


2.Diamond huyu naye hajiamini anatembea na baunsa

d18578005f25568d90933abedef6f929.jpg


ffa21089541f14a0871ad4a5c6b0072c.jpg


3.May weather huyu ndio panya kabisa licha ya umashuhuri wake lakini hawezi kutoka nje ya nyumba yake bila ya walinzi na mabaunsa .

3448d7d6015a04c4381f7538b7200aea.jpg






2016 Floyd alivyomshinda Pac alisema yeye ni bora kuliko Mohammad Ali kauli ile ilimkera sana Tyson na Tyson akamtolea uvivu Floyd .


“He's very delusional. Listen, if he (Floyd Mayweather) was anywhere near that realm of greatness with Ali he'd be able to take his kids to school by himself. He can't even take his kids to school by himself, and he’s talking about being great?”

– Mike Tyson


7faf043a77f37b2286ea93a4d05d4604.jpg




Nawapa pongezi akina Billgate ase utajiri wao,umaarufu wao hauwanyimi usingizi
naona unafikisha ujumbe kiaina

n0 r0se with0ut th0rn
 
Kuna staff wa CDC najua huwa wamevaa saa flani inayomonitor na kurecord GPS coordinates kila baada ya dakika kadhaa. Anapokumbwa na hatari yoyote anapaswa kuminya kadude flani tu na mihawk planes with SEALs itatua alipo in no time. Usikute Bill Gates nae ana some sort of similar arrangements.

Ili nyie wabongo mmezidi kwa showoff. Hadi kina Ebitoke wanalindwa na at-least 2 bodyguards:)
 
Sio suala la kushabikia.
Kumbuka wale watekaji wakokuteka wanaomba dau kubwa la pesa
 
Bill Gates hana akili nzuri, si mtu wa kumuiga.

Alishawahi kunywa maji yaliyochujwa kutoka kwenye kinyesi.
 
Huwezi fananisha Celebrity na tajiri wa kawaida.Bill Gates anaweza simama pale kariakoo na watu wasijue kama ni Bill Gates watashangaa tu kumwona mzungu.Ila leo akishuka pale huyo Mayweather nakuapia hata wamachinga wanaijua IMAGE yake.
Celebrities ndio hao cash Kings mtutu yeyote anayekua famous because of his success and accomplishments by general population huyo ni celebrity awe politicians, musicians, business tycoons, actors etc
 
Anao ... Kabla hajaenda mahala kuna walinzi wanatangulia kuangalia usalama
 
mbona picha ya yule bwana hujaweka!
Na yeye ulinzi wake si wa kitoto.
huwa anatukalisha kwenye foleni masaa mia nane
 
Bill gates ulinzi wake ni zaidi ya hao waliozungukwa na sambusa, hizo ni pictures tu ukaona live security ya billgates hakuna mfano wake kati ya hao wote uliowaweka.
 
angalia hapo jamaa hapo alivyopigwa ngwala moja matata

sent from kuzimu
 
Gates lazima ana walinzi (sio lazima uwaone kila wskati) ,ni mtu anaejali sana usalama wake,nyumbani kwake sakafu inauwezo wa kumtaarifu wameingia watu wangapi ndani,alinunua nyumba za majirani zake zote ili aishi peke yake(usalama) ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Si unasema hana ulinzi!?..sasa hapo kajaribu kumkaba au umchane hata kidogo yani ukiweza mfikia na ukaweza toka eneo la tukio nakwambia utapatikana hata ukikimbilia kwa babu yako nanjilinji huko :D:D
 
Back
Top Bottom