Kilichomuua ‘mtoto wa boksi’ chabainika; wahusika kunyongwa!

Yaani ktk Uzi wako ulitakiwa uainishe sababu ya kifo chake mi sina uhakika Kama hao uliowataja ndo eti wamemuuwa!!

Mtoto amekufa kwa pumu (pneumonia) baada ya kufungiwa kwenye boksi na hao wendwazimu kwa miaka 4! Utasemaje kwamba hawajamuua wao? You can't be serious! Think BIG mkuu.
 
kuna mwingne leo kamfunga mtoto mchanga wa siku moja tena wa kumzaa mwenyewe plasta mdomoni na puani,dah mimi moyo unashtuka kila nikisikia habari za watoto nachanganyikiwa,i love kids hawaelewi chochote then wanauwawa na mateso kama hayo,mmm inauma,
 
Halafu kitu kingine kinachoudhi ni kwamba baba mzazi wa marehemu, na ambaye alikuwwa akishiriki kumtesa, yupo nje kwa dhamana wakati wale walezi wawili (mtu na mkewe) wapo rumande. Nashangaa huyo mjinga eti yupo nje anakula bata wakati yeye ndiye alipaswa kuwa na uchungu na mwanaye--badala yake akampeleka kwa hao wendawazimu wawili wakaenda kumfuga kama paka ndani ya boksi! Inauma sana kwa kweli--yaani inauima sana!

Sijui ni nini hasa kinachosubiriwa kuwanyonga hao washenzy, wanahizaya, wasokuwa na haya! Hakuna haja ya ku-prolong hii kesi kwa kuwa tayari ushahidi umeishapatikana na unatosha kuwanyonga hawa mbwa! Natamani niwahamasishe wananchi wenye hasira waende wakawachome moto huko mahabusu waliko. Halafu watu wa Morogoro ni wa ovyo sana--inakuwaje hata hawajawajeruhi hawa wapuuzi baada ya kugundua unyama huu waliokuwa wakimfanyia malaika asiyekuwa na hatia na asiyeweza kujitetea? Inauma sana!!!!!!!!

Tena baba yake akikuja kuaga maiti na kulia kalia kama mtu vile
 
Kwa wale mnaotaka picha, hawa ndio akina LUCIFER waliomuua mtoto Nasra:
View attachment 162315

Kulia: Lucifer no 2 (Mama mkubwa wa marehemu, Mariamu Said)
Katikati: Lucifer no 1 (Lucifer Mkuu na Baba mzazi wa marehemu, Rashid Mvungi)
Kulia: Lucifer no 3 (Mume wa Lucifer no 2, Mtonga Omar)

Hii ndio timu (Lucifer 1-3) ya kishetani iliyoshiriki kuondoa uhai wa mtoto Nasra. Walaaniwe wote pamoja na shetani wao mkuu wanayemtumikia.

Ukiwaona kwa harakaharaka utadhani watu, kumbe mashetani wakubwa waliokubuhu. Heri ya mchawi kuliko hawa watumishi wa shetani.

Huyo baba alivyo kunja uso utadhani kajambiwa name ng'ombe,Mke sura mbaya kama roho yake ilivyo mbaya,Maskini katoto kawatu kalikuwa karembo kweli r.i.p mtoto
 
kwanza hawa mtu na mkewe wapimwe akili maana si binadamu wa kawaida halafu nafikili hili jambo lina ushirikina kwa sababu eti bibi yake nasra yupo hivi alikua hajui mjukuu wake anaishi ktk mazingira gani kama sio mipango yao ya ushirikina.

Ushirikina 100% hata mazingira ya kifo pia ni yakishirikina mama mlezi kahojiwa kasema neno la mwisho nasra kutamka saa5 usiku alisema bibi msinipeleke huko sitaki kwenda huku alikia hakuzungumza tena inauma mnoo huu ni mchezo wa kichawi
 
Kulingana na taarifa ya habaru ya itv,babake huyo mtoto tayari yupo mikononi mwa vyonbo vya dola,ni vizuri anyongwe.
 
Wewe utaona udhaifu wa mahakama zetu na wapepelezi wetu.
Ushahidi upo wazi
Wakihojiwa mbele ya waandishi washukiwa walikubali unyama huu.
Utaina kesi inapelekwa miaka 10.
Kila siku uchunguzi bado kukamilika
Mahakama zetu dhaifu na zimejaa rushwa.
Kesi kama hii hata mwezi isichukue
 
Lazima vilevile tufikiria makaosa ya kimatibau. mtoto alionakana na sura ya afya usoni lakini nashangaa baada tu ya kuanza hayo matibabu mtoto anatutoka. Ni mara nyingi watu wenye malaria na kisukari au pressure wamekufa kwa makosa ya madaktari pale tu wanapowapokea hospitali huanza kuwadunga drip la quinine bila kupima pressure as result watu wanaaga dunia. Inabidi watu waangalie baada ya kufikishwa hospitali alifanyiwa taratibu gani za kimatibabu ili tujue sine qua non
 
Nasra is so Innocent!!!! Kadri ya makosa yao Mungu awahukumu..... " Mimi ni nani hata kuwahukumu sasa"?
 
Hakika sipati picha mwanamke anayebeba mimba miezi tisa na kuzaa kwa uchungu etu anapata nguvu ya kumtesa mtoto hata kama si wako. Wanyongwe mara mia kuhakukisha hawaamki.
 
Hata kama kungekuwa na kitu nyuma ya pazia, sio kigezo cha kumtesa mtoto mdogo kihivyo. Watu wengine ni wakatili zaidi ya wanyama na wala hawastahili kuishi hapa duniani--ni wa kunyongwa mpaka kufa. Mijitu yenye akili za kinyama kama hii haina nafasi katika dunia hii--roho zao zinapaswa kuwa motoni tu! Hata kama ukiokota mtoto mdogo usiyemjua huwezi kumtesa namna hii--kumweka kwenye boksi na kumsababishia maradhi, ni zaidi ya ukatili. Hao MBWA wanyongwe hadharani ili liwe fundisho kwa matutusa mengine kama wao wanaowanyanyasa watoto.

Halafu kuna watu wanaosema ni wanaharakati wa haki za binadamu, wanadai sheria ya kunyonga ifutwe. Imagine kwa balaa hili; watu hawa hawakuiona haki ya kuishi Nasra wakasababisha kifo chake, vipi kwao???? Imagine sheria hii inafutwa na akili zetu hizi!!!
 
kwanza hawa mtu na mkewe wapimwe akili maana si binadamu wa kawaida halafu nafikili hili jambo lina ushirikina kwa sababu eti bibi yake nasra yupo hivi alikua hajui mjukuu wake anaishi ktk mazingira gani kama sio mipango yao ya ushirikina.

Mkuu jiulize na huyo baba yake aliyekua anatoa hela ya matumizi ya mtoto miaka yote sijui minne bila kumuona mwanae nayo ni hali ya kawaida? Hao walikua na mpango wao wa siri wameumbuka sasa
 
Tena baba yake akikuja kuaga maiti na kulia kalia kama mtu vile

kwanini waombolezaji hawajampopoa mawe huyo ibilisi? mnafiki mkubwa--analia wakati ndiye amesababisha kifo cha mtoto? tatizo mijitu ya morogoro mizubaifu sana. ingekuwa maeneo mengine kama tarime, arusha au moshi, lazima wangempasua! mxiiiiiiii!
 
wewe ndo umeleta u haro kama sio utumbo, mtoto anamiaka 4 kaishi kwenye box miaka 4 kazaliwa humohumo? au alitagwa na kuku? manake kuku ndo tunawawekea mabox watage.

Embu eshimianeni basi ama mpakkaa tumuite mamndenyi kila thread
Loh anafamiliayake na yeye kachoka kusuluhisha
 
Serikali serious inayoguata utawala bora na wa sheria kana China na korea ya kaskazini ungekuta waliomtesa wameshapigwa risasi tangu juzi
 
kwanini waombolezaji hawajampopoa mawe huyo ibilisi? mnafiki mkubwa--analia wakati ndiye amesababisha kifo chake? tatizo mijitu ya morogoro mizubaifu sana. ingekuwa maeneo mengine kama tarime, arusha au moshi, lazima wangempasua! mxiiiiiiii!

Ha haaa ni kweli ila tuache mungu atende kazi yake mkuu.
 
Angalau sasa unesema pneumonia japo nimonia is not chronic dzz,Lakini wengi tu wanalazwa na nimonia lakini hawafi nin kilijiri kwa nasra baada ya kupata chronic pneumonia?
 
Back
Top Bottom