Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea kila mtu anajua.

Sasa sahivi Tanzania Kuna movement ya No reform no election,hii aliibua Tundu Lissu, CCM kama kawaida Yao wakachukulia poa, Sasa hivi hii movement ni hatari sana, imepenya hatari kwenye mioyo ya watu.mitandao yote ya kijamii ni no reform no election.

Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.

Viongozi kamwe narudia kamwe msidharau nguvu ya social media, maana wanaoandika mitandaoni ni watu sio robbot.

View attachment 3360316
Mtumishi kuna Muujiza Hapa
 
ibirisi wa ccm vichwa ngumu lakini ujumbe umewafikia
 
Usitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo huku mtaani, hamjui tu vijana kibao wanaipongeza serikali. Suala la vijana kukopeshwa mikopo isiyo na riba imeainua sana na wanaishukuru serikali kwa upendo huo wa dhati. Vijana wengi wamefufua biashara zao na shughuli zao zingine za kiuchumi. Hawa ndio wapiga kura, nyie endeleeni kupiga zogo huko mitandaoni. Hivi mmewaona wanawake waliokwamuliwa kiuchumi huku mtaani na serikali ya Samia kwa mikopo ya 10%?
Hivyo vimikopo uchwara vitawashawishi wanawake na mivijana milenda milenda ila kijana anaejitambua na kutazam future ya maendeleo ya wengi na nchi Bado ataona CCM na viongozi wake ni takataka kwa Dunia ya Leo yaani miaka 60 ya uhuru Bado Kila kitu shida Leo umdanganye mtu anaejielewa kwa kamkopo ka mil5 au 2 ambayo hata kuhonga Dem miez miwili haitoshi na vijana mnawapa mikopo ni wale wa CCM tengenezeni sera zenye akili watanzania wameanza kujanjaruka
 
Unaongelea watanzania gani we jamaa. Take my words, mtaani base kubwa ya vijana hawana mpango na hiyo taka ya no nini no nini. Msijipe moyo, huu ukweli nawapa
 
kitakacho wapata udom kitakuwa fundisho pia
 
Hivyo vimikopo uchwara vitawashawishi wanawake na mivijana milenda milenda ila kijana anaejitambua na kutazam future ya maendeleo ya wengi na nchi Bado ataona CCM na viongozi wake ni takataka kwa Dunia ya Leo yaani miaka 60 ya uhuru Bado Kila kitu shida Leo umdanganye mtu anaejielewa kwa kamkopo ka mil5 au 2 ambayo hata kuhonga Dem miez miwili haitoshi na vijana mnawapa mikopo ni wale wa CCM tengenezeni sera zenye akili watanzania wameanza kujanjaruka
kumbe hela za walipa kodi wanahonga madem, mngoja tuzifute babazao wawalipie ada shenzi zao
 
Back
Top Bottom