Nimempa orodha ya 2016 ya 10 best special forces in the world.🙂🙂🙂 nikiambiwa US navy seals ni moja ya special forces bora sina haja ya kuhoji sababu
Hio taarifa umeipata wapi?
Kama ni kwenye vile vijiwe vyetu ni kweli tunaongoza tukifwatiwa na congo
Ni kweli au Macho yangu?Hii ni Top 10 best special forces 2016 duniani
![]()
Ni kweli, kwa mujibu wa vigezo vilivyotumika (criteria analysis).Ni kweli au Macho yangu?
PAKISTAN? [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
~Cmb
Ni kweli au Macho yangu?
PAKISTAN? [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
~Cmb
Unanikumbusha uchaguzi wa 2010 ilipokua ukikaribia tangazo lao lilikua linalindima kwenye redio kila baada ya muda....sijui walikua wanamaanisha nn??Twaweza, ni sisi 'em'
Huyu anafikiri sisi mahamuma,yaan mrusi hayupo na israel pia, huyu Jamaa chenga sanaNi kweli au Macho yangu?
PAKISTAN? [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
~Cmb
hakikaNimepima ila sijaona kilichoifanya TZ special force iwe bora Duniani. Mimi nachojua hakuna nchi masikini ikawa na Jeshi bora duniani. Yeyote anayejua achangie ili anielimishe Mimi nisiyejua.
MkuuHuyu anafikiri sisi mahamuma,yaan mrusi hayupo na israel pia, huyu Jamaa chenga sana
MkuuIsrael hayupo katika top ten wewe upo katika udini type kwenye yutub utaona
Thanks MkuuSpecial force hazipimwi kwa ubora au uwingi wa vifaa, inapimwa kwa accomplishments ilizofanya