Kilicho msababisha Joyce kung'ata ulimi wa mpenzi wake ni "orgasm"

Huyu Joyce angekuwa wazi tu kwa mumewe kwamba hamfikishi then either jamaa ajitahidi kukaza buti au watengane kiustaarabu. Kwenda kutembea nje ya ndoa haikuwa sawa. Haya sasa kaaibika kwa kutembea nje ya ndoa na wamemjua kuwa kumbe akifika kileleni anakuwa 'vigorous'!!!!

Wanaume nao wakikamata wake za watu huwa wanatoa maufundi yooote na matokeo yake ndio hayo..KUNG'ATWA!!


Duh, mwana nimeikubali commnt yako) u ril scientist)
 
hapo ndo ninapochukia sheria za tanzania azitendi haki kabisa yani mke kafumaniwa tena kwa aibu alafu anataka wagawane mali pasu pasu how inauma inakera sana sheria zetu zinamapungufu sana
 
mh.. hapo we acha tu... wengine tunacheze makofi, makucha na mangumi mpaka basi...!baada ya hapo eti anasema hajui alokuwa anafanza wakati huo(huku nwe waugulia kipondo)...Yote mambo tu lakini!!!!!!
 
mwanamke hana adabu nyie mnamsifu! hakuna alikuwa hafikishwi wala nni! pengine alikuwa akifikishwa na pesa ya kwenda kusoma juu na kamtenda mumewe akamudhiri kwenye vyombo vya habari!
 
Huyo jamaa nae hajamtendea Joyce haki. Kilichomfanya akatangaze ameng'atwa ulimi wakati alijua kuwa anaiba na maufundi yake ndio yalimponza ni nini!!!

Angeuchuna tu na maumivu yake.
 
mimi naona huyo joyce alikua hafikishwi vizuri na mmewe.Inaonekana anahitaji mtu ambae ni mtundu kweli kweli. Inaonekana huko Tanga watu kwa majambozi ni hatari kwelikweli.
 
Haya ni makubwa mno, ila naona kuna tatizo ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume, kwa mujibu wa maelezo hayo ingawa upande wa pili ulikosa uwazi.Maamuzi yaliyofikiwa na afiki. Nilitegemea huyu mume kuwa wa kwanza kung`atwa ulimi kabla ya huyu wa TA, thats y i found him guilty on this matter. Love is an art, just get into the core of it and be part of it.
 
Duh labda alipata zile za kitafiti, doubledouble maana ake huwezi kujua. maana nasikia unaweza hata kupata mara kumi. sasa ile ya kumi lazima ung'ate popote aisee, duh bidada kaaibika sana jaman
 
Hii ni bahati kubwa kwa baadhi ya wasichana wanaobahatika ejaculation ,kuna baadhi yao hujingata ulimi wake na kuna wale wanaokucharuza makucha ya mgongo nakukuwacha na alama kama chanjo za wamakonde (Anakuwa kama vile pweza mbichi (hajafa)na kumwagiwa maji ya ndimu au limau)

Date:5/27/2009

Mahakama yavunja ndoa ya mwanamke aliyemn’gata ulimi...

Na Colletha Mwangamila

MAHAKAMA ya Mwanzo Buguruni jana ilivunja ndoa ya Deogratus Sangu (34) na Joyce Msilanga (28), baada ya kuridhika kwamba kitendo cha Joyce kumng'ata ulimi mwanaume mwingine wakiwa kwenye penzi ni cha aibu.

Hivi karibuni, kituo kimoja cha televisheni kiliripoti kwamba mwanaume mmoja (jina linahifadhiwa) wa Jiji la Tanga aling'atwa ulimi na mwanamke baada ya kunogewa na penzi.

Kamanda wa Polisi mkoani Tanga alidai mwanamke huyo alimng'ata mwanaume ambaye siye wake akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni .

Kufuatia tukio hilo, mumewe Joyce aliamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuomba kuvunjwa kwa ndoa yao kwa kuwa mkewe amemdharilisha kwa ndugu, jamaa na marafiki zake.

Ombi hilo alilifikisha Mei 13 mbele ya Hakimu, Jamila Massengi kutokana na tukio hilo la aibu ambalo alidai hawezi kulivumilia kwa hali yoyote.

Mkewe alipoitwa mahakamani na kuulizwa kama aliridhika na maamuzi ya mumewe, alikubaliana na maamuzi hayo na kutaka wagawanyishwe mali walizopata wakati wa ndoa yao iliyofungwa Kikristo mwaka 2003 na kujaliwa kupata mtoto mmoja.

Ndipo mahakama ilipoanza kusikiliza maelezo ya kila moja hadi kufikia uamuzi wa kuvunjwa kwa ndao yao na iliamua wagawane mali ambazo walipata wakiwa ndani ya ndoa na kuamua mtoto abaki kwa Sangu kwa kuwa mwanamke huyo hana kazi. Awali, mumewe huyo alidai mahakamani hapo kwamba aliamua kumpeleka mkewe mkoani Tanga kwa ajili ya masomo ya ualimu katika chuo cha Kange, lakini badala ya kusoma alitenda kosa na hakuweza kumaliza masomo yake jambo lililomfanya arejee jijini Dar es salaam.

Mnamkumbuka huyu dada ?
 
mh.. hapo we acha tu... wengine tunacheze makofi, makucha na mangumi mpaka basi...!baada ya hapo eti anasema hajui alokuwa anafanza wakati huo(huku nwe waugulia kipondo)...Yote mambo tu lakini!!!!!!

uwii nimejkuta nacheka gafla..speakn frm xprnce,hahah..
Kumbe wengne na mabandage asubuh asubuh kumbe ucku alichezea kifinyo cha haja..mzuka bana hahah duh kaaz kwel kwel
 
Ha ha ha ah huyo bana ikimpata ni kwenda na uma tu by the time anaanza kupagawa yu just insert the fork in her very buccal cavity......akiutafuna atakuwa kweli chizi mapenzi BUT if she wont then alikusudia kumtia mwana kilema


Ama kweli malipo dunian kwa mungu ni hesabu........................ukware ni noumaaaa
 
Back
Top Bottom