Kilicho msababisha Joyce kung'ata ulimi wa mpenzi wake ni "orgasm" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilicho msababisha Joyce kung'ata ulimi wa mpenzi wake ni "orgasm"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babylon, May 28, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ni bahati kubwa kwa baadhi ya wasichana wanaobahatika ejaculation ,kuna baadhi yao hujingata ulimi wake na kuna wale wanaokucharuza makucha ya mgongo nakukuwacha na alama kama chanjo za wamakonde (Anakuwa kama vile pweza mbichi (hajafa)na kumwagiwa maji ya ndimu au limau)

  Date:5/27/2009

  Mahakama yavunja ndoa ya mwanamke aliyemnÂ’gata ulimi...

  Na Colletha Mwangamila

  MAHAKAMA ya Mwanzo Buguruni jana ilivunja ndoa ya Deogratus Sangu (34) na Joyce Msilanga (28), baada ya kuridhika kwamba kitendo cha Joyce kumng'ata ulimi mwanaume mwingine wakiwa kwenye penzi ni cha aibu.

  Hivi karibuni, kituo kimoja cha televisheni kiliripoti kwamba mwanaume mmoja (jina linahifadhiwa) wa Jiji la Tanga aling'atwa ulimi na mwanamke baada ya kunogewa na penzi.

  Kamanda wa Polisi mkoani Tanga alidai mwanamke huyo alimng'ata mwanaume ambaye siye wake akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni .

  Kufuatia tukio hilo, mumewe Joyce aliamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuomba kuvunjwa kwa ndoa yao kwa kuwa mkewe amemdharilisha kwa ndugu, jamaa na marafiki zake.

  Ombi hilo alilifikisha Mei 13 mbele ya Hakimu, Jamila Massengi kutokana na tukio hilo la aibu ambalo alidai hawezi kulivumilia kwa hali yoyote.

  Mkewe alipoitwa mahakamani na kuulizwa kama aliridhika na maamuzi ya mumewe, alikubaliana na maamuzi hayo na kutaka wagawanyishwe mali walizopata wakati wa ndoa yao iliyofungwa Kikristo mwaka 2003 na kujaliwa kupata mtoto mmoja.

  Ndipo mahakama ilipoanza kusikiliza maelezo ya kila moja hadi kufikia uamuzi wa kuvunjwa kwa ndao yao na iliamua wagawane mali ambazo walipata wakiwa ndani ya ndoa na kuamua mtoto abaki kwa Sangu kwa kuwa mwanamke huyo hana kazi. Awali, mumewe huyo alidai mahakamani hapo kwamba aliamua kumpeleka mkewe mkoani Tanga kwa ajili ya masomo ya ualimu katika chuo cha Kange, lakini badala ya kusoma alitenda kosa na hakuweza kumaliza masomo yake jambo lililomfanya arejee jijini Dar es salaam.
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Makubwa hayo. Ungikuwa wewe ungefanyaje?
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Duh, kumbe ndi maana watu wanakimbilia nje! Je hii inaonesha mume wake alikuwa 'anacheza' chini ya kiwango? au ni tamaa tu za mwanamke?
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ina maana jamaa aliingiza ulimi mdomoni kwake wakati demu anaejaculate au ilikuwaje ? Najaribu kufikiria hiyo scenario Sipati picha. Hasa nikilinganisha ukelele wa utamu na kitendo cha kungangata .Naona haviendani . Kungata kunaweza kuwa ni dhamira .Alidhamiria wala sio bahati mbaya iliyotokana na kujisahau kwa utamu wa kuejaculate.Mara nyingi wanapanua midomo zaidi ya kubana meno. hebu tupe zaidi tuelimike mkuu, yasije yakatukumba bila kujua?
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Joyce angekuwa wazi tu kwa mumewe kwamba hamfikishi then either jamaa ajitahidi kukaza buti au watengane kiustaarabu. Kwenda kutembea nje ya ndoa haikuwa sawa. Haya sasa kaaibika kwa kutembea nje ya ndoa na wamemjua kuwa kumbe akifika kileleni anakuwa 'vigorous'!!!!

  Wanaume nao wakikamata wake za watu huwa wanatoa maufundi yooote na matokeo yake ndio hayo..KUNG'ATWA!!
   
 6. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfamaji, kuna wanawake/wanaume wakifika kileleni mambo mengi hutokea ikiwa ni pamoja na kunyonywa ulimi etc... sasa inawezekana jamaa wakati demu anagonga kileleni,yeye alipeleka ulimi (huenda walifika pamoja?!). sasa demu akajikuta anaung'ata badala ya kunyonya...
   
 7. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Makubwa kivipi ?
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mungu huwa anadhalilisha vibaya waovu. Si unasikiaga wengine mwanaume/mke wa wizi anamfia kifuani wakati wa tendo? tumrudie Muumba wetu jamani.

  Sangu una haki ya kumwacha huyo shori
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hapa ni pagumu kidogo,

  Inawezekana mumewe alikuwa hamfikishi mama, kaenda Tanga kakutana na mtaalamu zaidi. haya ni matatizo ya umbali. uamuzi uliofikiwa ni sahihi kwa sababu issue ilitangazwa kwenye public angeweka wapi uso wake na yeye hajawahi kung'atwa ulimi?
   
 10. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu Joyce angekuwa wazi tu kwa mumewe kwamba hamfikishi then either jamaa ajitahidi kukaza buti au watengane kiustaarabu. Kwenda kutembea nje ya ndoa haikuwa sawa. Haya sasa kaaibika kwa kutembea nje ya ndoa na wamemjua kuwa kumbe akifika kileleni anakuwa 'vigorous'!!!!

  Wanaume nao wakikamata wake za watu huwa wanatoa maufundi yooote na matokeo yake ndio hayo..KUNG'ATWA!![/quote]

  joyce asilaumiwe kwani alikuwa mbali na mumewe (masomoni)halafu inawezekana (she was itching )jamaa akapitisha ufundi joyce akagunduwa mambo ambayo hakuyategemea na hajawahi kufanyiwa.I wish Iwas him lakini sio kwa kungatwa ulimi hapa, kwa hizo actions za kuwa na dada joyce
   
 11. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Babylon, Ejaculation = The expulsion of seminal fluid from the urethra of the penis during orgasm.
  Nadhani unamaanisha orgasm, mwandishi ametafsiri neno la kiswahili lakukojoa ambalo ni misnomer, kwa kuwa inamaanishasha ejaculation, orgasm na kuachia mkojo.
  Lakini inawezekana kwa mwanamke kukojoa (ejaculation) wakati wa kilele, kama ni mtu mwenye sehemu zote mbili (hemophrodite)
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Umesha wahi kuona jinsi mpuga unapofika wakati wa kupwagwa?kuna uwezekanano mkubwa jamaa alikuwa ana vinyumburusha viuno akamgusa joyce sehemu ambayo no one ever touch it B4,huku akiwa anakula denda hatima yake kashindwa kujizuwia na hakuwa na pakushika kilichomsaidia ni kumngata ulimu .
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu naona una-ainisha ishu ktk 3 Dimension na kuichanachana na kuiweka bayana.

  All in all wanawake wengine bana wanasababisha watu wengine wasiwe hata na mawazo ya kuoa.

  Yo bin Yo upo wapi?
   
 14. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Definition

  Female ejaculation, though more elusive and not necessary to human reproduction, is--in other ways--extremely similar to male ejaculation. Female ejaculation is a bodily response in the genitals to sexual arousal, pleasure and release. When it occurs, it is usually in conjunction with an orgasm, but may also precede, directly follow or happen entirely independent of an orgasm. It is a physiological way of expressing sexual satisfaction for the woman ejaculating, as is its believed primary purpose.
   
 15. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Babylon, Nashukuru mkuu, definition yako imenifumbua zaidi.
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh hongera kwa huyo kaka kwa kazi nzuri na pole ya maumivu
   
 17. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dada joyce kama utakuwa unasoma ujumbe nakuomba wasiliana ni mimi kwa faida yako na kwa wengine kwani unaweza ukatowa elimu kwa wengi hapa nyumbani Tz na sehemu nyinginezo. Djfriday@yahoo.com
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yaani wewe unampa mtu hongera kwa kuparamia vya watu? Ngoja na wewe zamu itafika na sisi tumpe hongera mbaya wako.lol
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mzee mboni hueleweki? Yaani unamtafuta huyu dada atoe somo? Ee Makubwa haya!
   
 20. A

  AbbyBonge Member

  #20
  May 29, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  joyce asilaumiwe kwani alikuwa mbali na mumewe (masomoni)halafu inawezekana (she was itching )jamaa akapitisha ufundi joyce akagunduwa mambo ambayo hakuyategemea na hajawahi kufanyiwa.I wish Iwas him lakini sio kwa kungatwa ulimi hapa, kwa hizo actions za kuwa na dada joyce[/QUOTE]
   
Loading...