PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje?

Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.

 
Wanafunzi wa chuo wenyewee wanasemajeee Kwan mkuu🤔🤔
 
Back
Top Bottom