Kiletacho haja kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiletacho haja kubwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sakapal, Feb 29, 2012.

 1. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi najiuliza cpati jibu wana sayansi na wataalam wa baiolojia ya mfumo wa chakula naombeni jibu haja kubwa inatokana na kula chakula tuu je kama hujala chakula huwezi pata jaha kubwa kabisa? Na je ukinywa vimiminika tu yaani pombe au juisi au maji tuu bila kula chakula utapata haja kubwa? Na inakuwaje watoto wanaozaliwa kabla hawajaanza kunywa uji wakiwa wananyonya maziwa ya mama zao tu wanapata haja kubwa? Tena inakuwa inanuka hiyooo mhhh waungwana nisaidieni jibu
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wait ntarudi
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Busy!
  Wait...
  Thnx 4 wait
  Halloooo!!?
   
 4. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jamani mwenzenu tumbo linauma au hamjui ngojangoja yaumiza matumbo? Haya ngoja basi niseme hili ni swali la pili paper ya biology nimepata feki ila jibu ndo cjui na mie narisiti nipate mshahara mzuri wa kustaafia nisaidieni tafadhali elimu ya utuuzima shida bin tabu lol nanyasikanyasika mie lol
   
 5. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  haja kubwa ni suala kubwa kidogo,haliwezi kuja kirahisi rahisi bila sababu ya msingi..................ukihic haja kubwa c bure,ni lazma umeona choo ama kichaka mahali!!
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  no comment
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Kiletacho haja kubwa ni masaburi......no masaburi no haja kubwa.....
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kuhusu watoto wadogo kupata haja kubwa kunatokana na wao tumboni mwao kuwa na enzymes za rennin(chymosin) ambazo kaze zake ni kugeuza maziwa kutoka hali ya umajimaji(soluble milk) kuwa hali ya uyabisi(insoluble milk) na kuruhusu mmeng'enyo wa kawaida, kuhusu watu kupata haja kubwa nisubiri nakuja na majibu ngoja kwanza niende toi
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,670
  Trophy Points: 280
  well said brother...haja kubwa ni utaratibu wa mwili kutoa mkusanyiko wa makapi mwilini ndio maana ktk mfumo wa umeng'enywaji wa chakula yenyewe ni hatua ya mwisho kabisa...sasa huwezi kunywa maji au bia ukajisikia haja kubwa maana hivi vitu huvyonzwa na mwili kabla hata ya kufika kwenye utumbo mpana. Fanya jaribio hili,fululiza kula vyakula visivyo na virutubisho, halafu pia jaribu kufululiza kula vyakula vyenye virutubisho...utagundua kuna utofauti wa kasi ya kwenda chooni ktk majaribio hayo mawili.
   
 10. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nitarudi na jibu baada ya wiki moja leo naanzisha bia na wisky tu.
   
 11. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asanteni waungwana nasubiri majibu ya wengine mchango wenu muhimu sana hasa baada ya jaribio
   
 12. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wasomali wanajua jibu lake maana wale ndio wataalamu wa kushinda na njaa, pita pale lumumba Kariakoo kawahoji kuwa ninyi mkiwa vitani kule kwenu huwa mnaenda haja kubwa kweli?
   
 13. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kaka hapa kdogo kuna walakin.mbona watoto wanaenda haja hata kama hawajaona choo?
   
Loading...