Kile kiti kwenye Guest house cha nini?

DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
19,210
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
19,210 2,000
Sijui mi nilisoma vizuri uzi. Jamaa anauliza kuhusu kile kiti cha plastiki kinacho wekwa kwenye vyumba vya guest, ati ni cha kazi gani?? Huleteleza usumbufu aingizwapo kuku wa kienyeji kuchinjwa. Inasumbua sana kwani anawahi kujikunyatia pale kwenye kiti. Inachukua muda sana kumtoa pale na kumuelekeza quiblat!! Sasa wewe unaleta tena tv?? Ongeza sauti ili watu wengine wasisikie kelele zenyu.
Kwani hapo kwenye kitu hatafuniki?
 
Sammo Hung

Sammo Hung

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Messages
1,123
Points
2,000
Sammo Hung

Sammo Hung

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2017
1,123 2,000
Mkuu umenikumbusha siku moja niliingia na mtoto mkali baada ya kusumbuka kwa muda mrefu sanaaaa na aliingia ndani kwa mbinde.. eti akaniuliza hivi wewe umenileta humu kufanya nini? Na mimi nikamuuliza hivi humu ndani unaona kuna bembea tubembee? au kuna bao tupange kete? au unaona kuna vyombo vya kuosha humu? Akacheka sana kisha akaanza kusaula. Sipendi maswali ya kijinga ninapofanya uwekezaji mkubwa wa muda na shekeli.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
13,028
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
13,028 2,000
Kwani hapo kwenye kitu hatafuniki?
Inategemea na saizi uliyoingiza. Kama ni vile vimbaombao sawa ila kama ni scania inakuwa shida hidogo. Mara paa mko chini na kiti kimevunjika. Unadaiwa tena na mtunza guest 15thou
 

Forum statistics

Threads 1,336,569
Members 512,660
Posts 32,543,782
Top