Kile kipindi ambacho nilipotea

Vip mshana unapata breakfasts nn, au lille jamaa limekuja kukukaba....!??
just joking naomba unitag ukiendeleza simuliz hii
 
Na Je wakati ukifanya tahajudi...hukuweza kutambua dhamira ya jitu refu lililokua likinyatia nyendo zenu?ama vipimo hutofautiana?
Sijapenda jinsi lilivyokusumbua...labda simulizi inavyoendelea huenda ulilishughulikia.
 
Kaa chini, kunywa Maji, vuta pumzi nyingi ndani, then Njoo utusimulie vzr hii episode.
 
Mshana jr kampata mbabe wake uko mafia kila aendapo jitu lefu lipo naona jitu limeingia kwenye hii threat mshana kakimbia
 

Mkuu mshana jr usisahau kuniita ukimwaga vitu humu.
 
Madam mshana katutelekeza, we endelea tu hii story mpaka pale mshana atakaporejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…