Kile kipindi ambacho nilipotea

niliporejea JF baada ya kujiweka kando kwa mda wa mwaka mmoja,nilitegemea ningekuta umebadilika kimaadili na kuwa mtu mstaarabu.

badilika ndg...umri unaenda huo,hujachelewa.
Huu ushauri ungempa huyo Mungu wako wa kishirikina au ingekua umejishauri wewe mwenyewe ingependeza zaidi,

Siku nyingine ukileta madai ya kipumbavu ukatakiwa kuthibitisha jaribu kujibu kwa ufasaha ulichoulizwa kuliko kubadili gia angani na kurukia vitu vingine,nimekwambia uthibitishe hiyo ID unayodai kua ni yangu,

Jaribu kumshauri huyo Mungu mtu wako unaejaribu kumkingia kifua hapa aache upuuzi wa kuganga njaa zake hapa JF kwa kupotosha umma na mada za kusadikika..umenielewa wewe Boya?
 
niliporejea JF baada ya kujiweka kando kwa mda wa mwaka mmoja,nilitegemea ningekuta umebadilika kimaadili na kuwa mtu mstaarabu.

badilika ndg...umri unaenda huo,hujachelewa.
Kwahiyo kwako wewe mtu mwenye maadili na mwenye ustaarabu ni yule anayekubaliana na mada za huyo Mungu mtu wako? Mtu akipingana nae anakua hana maadili?

Siku nyingine jaribu kujitafakari kabla hujaja kuharisha pumba humu kama Bata hapa JF.
 
niliporejea JF baada ya kujiweka kando kwa mda wa mwaka mmoja,nilitegemea ningekuta umebadilika kimaadili na kuwa mtu mstaarabu.

badilika ndg...umri unaenda huo,hujachelewa.
Ifahamu siri ya mchezo observe dead silence!you will drive them like crazy
 
Nyamisati to gezani?
 
Ujinga ni pale ulipojiaminisha kuwa mshana ni muongo ili hali bado unaendelea kutoa comment zako nying za kuonesha unachuki nae juu ya post zake. Ujinga ni kutumia ID kibao ili umshambulie mshana ili hali Tayar umejua kama eti ni uongo.
Ujinga ni kusubscribe huu Uzi wakat unajua kuwa ni story ya kutunga. Ujinga ni kuendelea kuufuatilia Uzi ambao tayar umeamini kuwa ni story ya kutunga.
Siku mtu akijitambua hana ujinga basi kwa kuwa anaamini kuwa ni story ya kutunga na ya uongo ataacha kuufatilia huu Uzi.
Ujinga ni pamoja na kuendeleza chuki dhidi ya mshana Jr kwenye story zake bila kujali kama ni za kutunga au za kweli.
Nategemea baada ya post hii wajinga na mshana Jr haters watakuja kujawa na povu ila kwa kuwa najiandaa kufua itakuwa vema maana watakuwa wamenifanya kuelewa kuwa kumbe ni dhabiri ni wajinga kwa kusubscribe huu Uzi ili hali wanajua ni wauongo.
 
 
Mnasema Mshana ni mwongo na hizi post zake ni za kutunga. Kama ni uongo unajihusisha nazo ya nini? Siku zote ukisikia mtu anayesema hakuna uchawi jua yeye ni mchawi mkuu na Mshana anayoandika ni uovu huo mchawi anaofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…