kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,976
- 1,975
aisee ni shida..anaweza akawa ni bingwa wa mwandiko. tatizo la kuogopa sana namba yaani kuona kwamba namba na mahesabu ni makitu flani hatari sana ambayo ni watu wachache wenye ujanja wa kucheza nazo. kumbe sio kweli kwani kila kitu ni hesabu ila zina fanyika katika namna tofauti