Kilaini: uwajibikaji na utawala bora umeshindikana

muhosni

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,108
152
TBC taarifa, Bukoba

Amesema ukiritimba wa maafisa wa serikali umezidi hakuna hata mmoja anafanya kazi. Amesema mkubwa wao anarandaranda na watendaji wanazuga tu maofisini

Amesema siyo lazima ule rushwa ndio uonekane fisadi bali hata usipotimiza wajibu wako. Kila mwenye cheo anajifanya mangi meza. Haijulikani serikali inaelekea wapi
 
true!!! the guys are not fulfilling their responsibilities !! that is why wanaogopa sana chama kingine kushika dola.
 
Commision and ommision mistakes are all the same! kama unajijua ni mzito wa kufanya maamzi ya kutekeleza sheria/ kanuni zilizokuweka katika position uliyonayo kwa nini ulikubali hiyo appointment?wana siasa mnaboa sana, you are too selfish!
 
Waambie hao, wanafanya upuuuzi, wakisemwa eti ooh viongozi wadini wasiingilie siasa! Chamba kabisa!
 
Commision and ommision mistakes are all the same! kama unajijua ni mzito wa kufanya maamzi ya kutekeleza sheria/ kanuni zilizokuweka katika position uliyonayo kwa nini ulikubali hiyo appointment?wana siasa mnaboa sana, you are too selfish!

Wanaenzi amani na utulivu mkuu
 
TBC taarifa, Bukoba

Amesema ukiritimba wa maafisa wa serikali umezidi hakuna hata mmoja anafanya kazi. Amesema mkubwa wao anarandaranda na watendaji wanazuga tu maofisini

Amesema siyo lazima ule rushwa ndio uonekane fisadi bali hata usipotimiza wajibu wako. Kila mwenye cheo anajifanya mangi meza.
Haijulikani serikali inaelekea wapi
Maneno au Neno la msimamizi wa kanisa.
Ukweli umewauma.na nikati ya viongozi wa dini wasiyotakiwa kuonwa na ccm.
Pdr Kilaini usichoke kusema
 
Hivi nini ilikuwa sababu ya kumhamisha askofu huyu kutoka Dar kwenda Bukoba?
 
Hilo swali huwa linanijia ukiangalia kauli za kiongozi huyu wa kiroho zenye mafaa kwa tz! Nahisi kunachembe za fitina za kisiasa zilitumika.
 
mzee hapo yani ata ujamun'gunya maneno,safi sana ''kutimiza wajibu ni muhimu"
 
Kilaini si ndiye aliyetuambia kuwa Jakaya alikuwa chaguo la Mungu; imekuwaje tena? Je , Mungu alikosea?
 
Hivi nini ilikuwa sababu ya kumhamisha askofu huyu kutoka Dar kwenda Bukoba?
Alihamishwa nadhani kwasababu ya kauli zake ambazo wakati mwingine zilikuwa na utata: kama ile ya muungwana kuwa chaguo la Mungu!
 
Huyu baba hajifunzi tu? Ni swahiba mkubwa wa Jk, alimpigia debe sana 2005, kaamishwa bt bado anafanya siasa, duh! Hawa ndio wanaleta udin ktk siasa though siasa zake nikwamanufaa ya chama tawala!
 
Kilaini ni mchovu sana wa mawazo.Lakini si mlaumu.Unajua,ukishakuwa Freemason, mawazo yako yanakuwa tofauti kabisa na wanadamu wa kawaida.Kilaini nampa ushauri wa bure.Kama kweli anataka kumwona Mungu wa Yakobo, atoke huko 'porini' aliko.
TBC taarifa, Bukoba

Amesema ukiritimba wa maafisa wa serikali umezidi hakuna hata mmoja anafanya kazi. Amesema mkubwa wao anarandaranda na watendaji wanazuga tu maofisini

Amesema siyo lazima ule rushwa ndio uonekane fisadi bali hata usipotimiza wajibu wako. Kila mwenye cheo anajifanya mangi meza. Haijulikani serikali inaelekea wapi
 
Kilaini ni mchovu sana wa mawazo.Lakini si mlaumu.Unajua,ukishakuwa Freemason, mawazo yako yanakuwa tofauti kabisa na wanadamu wa kawaida.Kilaini nampa ushauri wa bure.Kama kweli anataka kumwona Mungu wa Yakobo, atoke huko 'porini' aliko.

Mkuu inaonekana mnafahamiana vizuri sana, sasa msitoe siri zenu sasa
 
Kasema ukweli lkn awe na msimamo huohuo sio kubadilika badilika kila mara,maana hakawii kumtetea JK
 
Tupo kama kizee fulani, ukimpakulia ale na wajukuu hataki eti wanampunja, wakimpakulia ale peke yake ooh mnaniona mchafu!
nani amesha muuliza Kilain kuwa alikuwa na maana ipi kuhusu kauli yake kuhusu JK ni chaguo la Mungu!
Mungu mara zote hachagui viongozi wazuri.
Mf,Mungu alimchagua Sauli ili watu watu wajifunze.
Bila JK tungejifunza kwamba bila ccm inawezekana?a
 
.
Ni kweli jk ni chaguo la Mungu kwa ajili ya kuharakisha kuliondoa joka ccm mioyoni mwa watanzania milele.
Ha ha haaaa...
Nimecheka sana kuhusu hiyo kauli kwamba mkuu anarandarana na watendaji wake wapo ofisini kuzuga. Haswaaa wanazuga maana yapo maofisini lakini hakuna yanachosaidia. Gharama za maisha zinapanda kila kukicha na mfumuko wa bei ndio usiseme. Ka nchi ketu chini ya huyu jamaa kamabaki bora liende.
.
 
Huyu ni swahiba wa JK na ndiye aligharimikia matibabu yake nje ya nchi. Hata kauli zake za chaguo la Mungu haikuwa bahati mbaya ilikuwa kampeni za kulipa fadhila
 
Back
Top Bottom