Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,302
duh ,na huyu kwao ni mbagala ukielekea chamanzi:suspicious:
same girl
duh ,na huyu kwao ni mbagala ukielekea chamanzi:suspicious:
amazimia sasa hivi mlianza muda gani???
maana ulivyoandika harakaharaka najua ni muda mfupi uliopita umetoka kuzini
Mmh huyo atkufia akaadithie utamu kuzimu.... akikaribia kuzirai usiendeleeeeee
Hapana ,huwa tunazamiana ,tunaanza kuondoka kwa eleven ,tunapitia 33 yaani hadi kwenye dakika ya 69 tatizo hutokeza ghafla humkuta mwenzangu si wa mkono wala mguu hasemi haguni haoni hasikii ,yaani hayupo ,siku ya mwanzo nilizani kafa na vile sijawahi kuona mtu amekufa nikaona kufa ndio huku ,aloo ,nilitoka jasho jembaaamba ,nimeua ,ila kupita ka dakika selasini ,ikanijia akili ya kupiga jicho kwenye tumbo nikaona dalili za uhai.
Halafu mimi sitokei kusini ni mtu wa Murutunguru kunakotoka udaga.
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi kukutana nayo ,au anamatatizo ?
Tatizo mtamwu :rapture: sijui anafikiri anapaa ,huwa akikaribia utamsikia akisema anahisi mwili mzima umejaa vipepeo :shock:
Jamani nimepata kiwewe ,sasa sijui huwa mmekutana nayo kwa wengine ,hadi sasa bado sijaelewa hiri ni tatizo au ni raha ,mdemu huwa anazimia na kupote kupoteza fahamu kabisa ,hii hali kuna aliewahi kukutana nayo ,au anamatatizo ?
huyo atakua ana presha...afu hyo presha yake huwaga inatibuliwa na raha zilizopitiliza..asa angalia kuna siku atazimika mazima..kaa mbali! We fanya tu sifa.Hapana ,huwa tunazamiana ,tunaanza kuondoka kwa eleven ,tunapitia 33 yaani hadi kwenye dakika ya 69 tatizo hutokeza ghafla humkuta mwenzangu si wa mkono wala mguu hasemi haguni haoni hasikii ,yaani hayupo ,siku ya mwanzo nilizani kafa na vile sijawahi kuona mtu amekufa nikaona kufa ndio huku ,aloo ,nilitoka jasho jembaaamba ,nimeua ,ila kupita ka dakika selasini ,ikanijia akili ya kupiga jicho kwenye tumbo nikaona dalili za uhai.
Halafu mimi sitokei kusini ni mtu wa Murutunguru kunakotoka udaga.
Aisee yaani kama unaikumbusha akili ,niwahi kuwa nae wa aina hiyo ,ila yalinishinda !