jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Wakuu na maalwatani wa jukwaa hili nawasalimu kwa salute!!!
nimesikia, na kuisoma methali hii isemayo "kila shetani na mbuyu wake" nimeitafakari sana, tena kwa kina! kichocheo kikuu cha tafakuri yangu ni pale nilipopita kwa kuukatisha mkoa wa dodoma, na kujionea miti aina ya mibuyu.
Hii miti dodoma ni mingi na mingine ni mikubwa sana. nikajipa ufahamu kuwa mbuyu mmoja shetani mmoja, nikajiaminisha lazima huyu shetani atakuwa na umbo kubwa pia ndio maana yabidi awe mmoja tu kwenye mbuyu. nikaikubali hoja kuwa kwa wingi wa mibuyu, basi dodoma itakuwa na mashetani meengi sana, kwa dhana ile ile ya maumbo ya haja!!!! wakati natafakari, sura na umbo la baharia Le mutuz ikaniijia he! nikaona kama ndiyo anatoka kwenye pango la mbuyu vile.
Wadau hebu ikuzeni picha hii muisafishe ili tuione methali hii kwa uhalisia angalau 45%, mwenye picha ya le mutuz baharia aitupie hapa mjadala unoge.
Wabilah tawfiq.