Kila nitakae mpitia lazima apate Mimba

Kila nitakae mpitia lazima apate Mimba

Utakuwa una zingiziwa tu mkuu , kuwa makini kwa sio wewe mwanaume unaye Mwaga WAZUNGU #weupe .... coz kama ndo hivyo dunia nzima hii ingekuwa imefurika kwa nyomi ya kutisha, na TZ tungekuwa na population zaid ya china na India. kama wanaume wote wangekuwa wana uwezo kama wako.

Wote wanisingizie
 
Hongera baba watoto, fungua kituo cha kuwapa mimba wanaohitaji coz wapo weng sana

haa haa haa kwel kama vipi aanzishe ofisi yake ya kutibu tatizo la ugumba kwa kina mama atapiga hela. Town kila kitu hela
 
Huyu jamaa anajipigia promo hapa ili wadada wajichanganye awalambe
 
naona simulizi yako haijafika mwisho... au unatengeneza kitabu??
 
Ukute hata uchi anaangalia wa watoto tu, manake hata uchi wa mdada hajawahi ona..! Hizi balehe zinaharibu vijana wetu...!!
 
Kila ikikutana na mtu unapata ukimwi
 
no wonder akina Mtambuzi wameamua kutulia tu, hii MMU new generation ni tatizo
 
Last edited by a moderator:
kukumdogo siku ukija kupitiwa wewe lazima utage !
 
Du kuna dada mgumba hapa kasoma habali yako anaomba mawasiliano pls.
 
Back
Top Bottom