MISINGI YA KUTONGOZA NI KAMA IFUATAVYO:MKUU UMEZUNGUMZIA MISINGI YA KUTONGOZA NAOMBA NIIFAHAMU TAFADHARI ITANISAIDIA MBELE YA SAFARI
Tatizo kuna MIDUME sijuwi tuite MISHAMBA,,au LIMBUKENI,,hao ndy wanaosumbuwa,,Kabla HAJAOMBWA kishatia MZIGO tigo PESA,, tena KIBAO,,HYO ndy shidando hivyo sasa tuamke, tushtuane ili kila mmoja aweke strategy mpya za kudate hawa viumbe bila gharama kubwa isiyo na msingi.
safi sana. wewe ushakomboa na utumwa wa mizinga.Hahaaaa..hatari sana..kuna mmoja nilianza kumtongoza akawa anazingua zingua nikaona ungese nikaacha kumfatiria..kama mwezi umepita nashangaa txt na msd call nyingi anaomba nimsaidie 200k...nikamwambia nampatia mpka leo napiga kalenda..hapati kitua hapa..
danga anaweza kuwa mwanaume au mwanamke anayetegemea umpe hela for sex...I meana sex unaweza pata after ameshakula hela zako sana. kwahyo ni mtego mbaya kwasisi ambao tunajali uchumi pia, na ni hasara kwa taifa kuwa na vijana wa kike/kiume wasiojishughulisha Zaidi ya kutegemea mizinga.Hivi danga ni nini wazee wa shughuli?
danga kudanga
wamekusikia mkuu...ifikie hatua kuhonga isiwe sifa wala kigezo cha mwanamke kukupa penzi.Tatizo kuna MIDUME sijuwi tuite MISHAMBA,,au LIMBUKENI,,hao ndy wanaosumbuwa,,Kabla HAJAOMBWA kishatia MZIGO tigo PESA,, tena KIBAO,,HYO ndy shida
Shukrani... ngoja nikikoki nichangie mada basi nishajua Danga ni nini.danga anaweza kuwa mwanaume au mwanamke anayetegemea umpe hela for sex...I meana sex unaweza pata after ameshakula hela zako sana. kwahyo ni mtego mbaya kwasisi ambao tunajali uchumi pia, na ni hasara kwa taifa kuwa na vijana wa kike/kiume wasiojishughulisha Zaidi ya kutegemea mizinga.
Wanawake bana nikama madereva boda boda, kila mmoja anasema hayupo kama mwenzake kwenye swala la kuendesha rough, ila ukipanda utajuta speed yake.Hao unaokutana nao mkuu wako hivyo maana wewe mwenyewe unatongoza wengi wengi,kwangu iko tofauti sana,mabadiliko yaanzie kwako chief.
Carlos jina lako la pili ni Nani vile... ili nikupige kibomu kikubwakubwaSasa kama naww ni kupiga mzigo tuu, unataka upige mzigo usepe?? Nawenyewe wanajua huyi kaja sababu ya nyege tu ,sasa asipoteze nibora akupige virungu.
Lkn wenda tongoza yako huwa ni kujisifia uko vzur, kwann asikupige mizinga???..
Kweli mkuu,,tatizo tunakuqa nalo sisi WANAUME PIA,,unakuta ukishatoa PESA KIASI,,basi unaona Ngoja nizidishe KUTOA PESA ili NIMTAFUNE,,ni kama KAMARI,,kwamba USHALIWA PESA,,bora ULIWE ZOTE,lakini UMPATE,,na wao washajuwa Akikupiga KIZINGA MARA 2/3 UMEMPA,,utakuwa MTUMWA wake kwa VIZINGA,,na PAPUCHI hatokupa,,kwa kujuwa akikupa,,PESA HATOPATA TENA..
the the...mkuu hebu shusha nondo...funguka kama umeguswaCarlos jina lako la pili ni Nani vile... ili nikupige kibomu kikubwakubwa
we acha tu. ndo maana wenzake wamesoma uzi na kupita kimya kimya maana watachangia unafiki tu na uongo ni dhambiWanawake bana nikama madereva boda boda, kila mmoja anasema hayupo kama mwenzake kwenye swala la kuendesha rough, ila ukipanda utajuta speed yake.
karibu sana mkuu.Shukrani... ngoja nikikoki nichangie mada basi nishajua Danga ni nini.
of course kama unapesa nyingi kuwapata sio shida. I meana hata kama hujaombwa ukatuma laki, akiomba elfu 30 unamppa 60...hapo husumbuliwi kupewa mzigo mpaka na vya uvunguni...ila kwa sisi wanaume daraja la kati, sio maskini na sio tajiri...ni mtu tu corporate na uko makini finance zako, yaan una budget kila jambo...ndo tunaona shida kwamba wanawake hawatutendei haki na ni kweli,...yaan wanayauza mapenzi. vibabu na wazee wenye hela ni aibu kutongoza vitoto ndio maana wanamwaga pesa..ila to be fiar, wanawake hawapaswi kuapply hilo kwa sisi wa rika lao na watafutaji wenzao.Hahahaaaa mkuu unaongea kwa uchungu sana, ushalizwa nn? Mm kuna mmoja nliishia kupata kiss LA shavu tu hata denda hakunipa, mizinga alkuwa ananipiga (which means hakunipenda) hlf cha kushangaza alikuwa anataka nimuoe just few days baada ya kukutana nae, nikaona huyu ameona Nina miradi ndo maana anataka nimuoe,hlf huyo demu nkiomba mzigo akaniambia hanipi mpaka nimuoe, nikasema mamaae usiniingize mjini, mm naelewa kwa experience yangu kuwa demu asipokupenda inakuwa shida sana yeye kukupa sex, cjui hawa wababu wanatumiaje pesa kugegeda mabinti,mm cwezi aisee kutumia pesa kutongozea mwanamke maana naona unaweza kutoa pesa na *k* usipate mwandende
sasa ndo wajue tumeshtuka. penzi halipaswi kuuza...wajiongeze na ujasiriamli mwingine na sio indirect prostitution.Kiiukwel hawa madem wanazingua...na hasa akiona kama umemuelewa sana mizinga ya hapo utakoma....