Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

Status
Not open for further replies.
Hahaaaa..hatari sana..kuna mmoja nilianza kumtongoza akawa anazingua zingua nikaona ungese nikaacha kumfatiria..kama mwezi umepita nashangaa txt na msd call nyingi anaomba nimsaidie 200k...nikamwambia nampatia mpka leo napiga kalenda..hapati kitua hapa..
 
MKUU UMEZUNGUMZIA MISINGI YA KUTONGOZA NAOMBA NIIFAHAMU TAFADHARI ITANISAIDIA MBELE YA SAFARI
MISINGI YA KUTONGOZA NI KAMA IFUATAVYO:
1.Kama mwanamke ni msomi, ana kazi/mjasiriamali, ana hela zake, anajitegemea, yaani class flani: HAKIKISHA UNAWEKA UKARIBU WA KAWAIDA, PIA UWEKEZE KWENYE MWONEKANO MZURI KIMAVAZI, NA UMTOE DINNER KALI...kwasisi wenyeji we fuuck on a first date, maadam mshatumiana picha in case mmekutana mitandaoni, au mnajuana kimtaa au kazini...siku mnatoka out basi uamue kwamba natoomba siku hiyohiyo au ni mtoko tu...hii inakupa muda wa kuandaa script ya jinsi ya kumtoa kwenye kiti hadi kitandani. au km ni mtoko bila sex basi hakikisha unakuwa ni foundation ya mtoko + sex next time.

2.Kama ni mdada wa Kiswahili, mtaani, bar, wa kawaida...unataka tu kupiga: TUMIA WAKALA..yaan mpe mtu wake wa karibu jukumu apelike ujumbe uletewe na namba, otherwise itakuchukua muda yeye akuzee hadi uingie kwenye social sycle yake...THEN HUYU NI VOCHA ZA HAPA NA PALE THEN MTOKO THEN UNAUA.
 
Hahaaaa..hatari sana..kuna mmoja nilianza kumtongoza akawa anazingua zingua nikaona ungese nikaacha kumfatiria..kama mwezi umepita nashangaa txt na msd call nyingi anaomba nimsaidie 200k...nikamwambia nampatia mpka leo napiga kalenda..hapati kitua hapa..
safi sana. wewe ushakomboa na utumwa wa mizinga.
 
Hivi danga ni nini wazee wa shughuli?

danga kudanga
danga anaweza kuwa mwanaume au mwanamke anayetegemea umpe hela for sex...I meana sex unaweza pata after ameshakula hela zako sana. kwahyo ni mtego mbaya kwasisi ambao tunajali uchumi pia, na ni hasara kwa taifa kuwa na vijana wa kike/kiume wasiojishughulisha Zaidi ya kutegemea mizinga.
 
Shukrani... ngoja nikikoki nichangie mada basi nishajua Danga ni nini.
 
Hao unaokutana nao mkuu wako hivyo maana wewe mwenyewe unatongoza wengi wengi,kwangu iko tofauti sana,mabadiliko yaanzie kwako chief.
Wanawake bana nikama madereva boda boda, kila mmoja anasema hayupo kama mwenzake kwenye swala la kuendesha rough, ila ukipanda utajuta speed yake.
 
Kweli mkuu,,tatizo tunakuqa nalo sisi WANAUME PIA,,unakuta ukishatoa PESA KIASI,,basi unaona Ngoja nizidishe KUTOA PESA ili NIMTAFUNE,,ni kama KAMARI,,kwamba USHALIWA PESA,,bora ULIWE ZOTE,lakini UMPATE,,na wao washajuwa Akikupiga KIZINGA MARA 2/3 UMEMPA,,utakuwa MTUMWA wake kwa VIZINGA,,na PAPUCHI hatokupa,,kwa kujuwa akikupa,,PESA HATOPATA TENA..

Hahahaaaa mkuu unaongea kwa uchungu sana, ushalizwa nn? Mm kuna mmoja nliishia kupata kiss LA shavu tu hata denda hakunipa, mizinga alkuwa ananipiga (which means hakunipenda) hlf cha kushangaza alikuwa anataka nimuoe just few days baada ya kukutana nae, nikaona huyu ameona Nina miradi ndo maana anataka nimuoe,hlf huyo demu nkiomba mzigo akaniambia hanipi mpaka nimuoe, nikasema mamaae usiniingize mjini, mm naelewa kwa experience yangu kuwa demu asipokupenda inakuwa shida sana yeye kukupa sex, cjui hawa wababu wanatumiaje pesa kugegeda mabinti,mm cwezi aisee kutumia pesa kutongozea mwanamke maana naona unaweza kutoa pesa na *k* usipate mwandende
 
Wanawake bana nikama madereva boda boda, kila mmoja anasema hayupo kama mwenzake kwenye swala la kuendesha rough, ila ukipanda utajuta speed yake.
we acha tu. ndo maana wenzake wamesoma uzi na kupita kimya kimya maana watachangia unafiki tu na uongo ni dhambi
 
Ila hii ipo hadi kwa vitabu...
Women are smarter than men.

Mungu alimweka Adam na Hawa bustani ya Eden.. Hawa akawa wa kwanza kula tunda "from the tree of wisdom". The woman became the first person to open eyes.

And that's why even tomorrow is easy for a 16 years girl to clear account of 60 years man. And the time girl says Thank you honey

Man will say don't worry don't worry. Dont mention.

Naskiliza hii clip naona haitaki kukaa hapa.
 
Kiiukwel hawa madem wanazingua...na hasa akiona kama umemuelewa sana mizinga ya hapo utakoma....
 
Hahahaaaa mkuu unaongea kwa uchungu sana, ushalizwa nn? Mm kuna mmoja nliishia kupata kiss LA shavu tu hata denda hakunipa, mizinga alkuwa ananipiga (which means hakunipenda) hlf cha kushangaza alikuwa anataka nimuoe just few days baada ya kukutana nae, nikaona huyu ameona Nina miradi ndo maana anataka nimuoe,hlf huyo demu nkiomba mzigo akaniambia hanipi mpaka nimuoe, nikasema mamaae usiniingize mjini, mm naelewa kwa experience yangu kuwa demu asipokupenda inakuwa shida sana yeye kukupa sex, cjui hawa wababu wanatumiaje pesa kugegeda mabinti,mm cwezi aisee kutumia pesa kutongozea mwanamke maana naona unaweza kutoa pesa na *k* usipate mwandende
of course kama unapesa nyingi kuwapata sio shida. I meana hata kama hujaombwa ukatuma laki, akiomba elfu 30 unamppa 60...hapo husumbuliwi kupewa mzigo mpaka na vya uvunguni...ila kwa sisi wanaume daraja la kati, sio maskini na sio tajiri...ni mtu tu corporate na uko makini finance zako, yaan una budget kila jambo...ndo tunaona shida kwamba wanawake hawatutendei haki na ni kweli,...yaan wanayauza mapenzi. vibabu na wazee wenye hela ni aibu kutongoza vitoto ndio maana wanamwaga pesa..ila to be fiar, wanawake hawapaswi kuapply hilo kwa sisi wa rika lao na watafutaji wenzao.
 
Kwa kuwa lishakuwa janga la kitaifa dawa yao hawa ni kuhakikisha kila anyekuomba pesa anapewa baada ya kuto*bwa, maana hakuna namna nyingine.
 
Kiiukwel hawa madem wanazingua...na hasa akiona kama umemuelewa sana mizinga ya hapo utakoma....
sasa ndo wajue tumeshtuka. penzi halipaswi kuuza...wajiongeze na ujasiriamli mwingine na sio indirect prostitution.
 
Pole mkuu,swala la kununua hatukupingi ila angalia target zako katika maisha.
Angalia na wadada unaowapata pia, mjini sikuhizi wengi ni wapiga Dili(slay queens) namaanisha kwahyo kuwa makini .
You attract what you emit : angalia unawaambia wasifu gani mwanzo wa mahusiano yenu.

Mwisho kuwa makini
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom