Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

Status
Not open for further replies.
Yaani hawa watu hii tabia ishakuwa sugu, vizinga wanavyonipiga ndio maana nimeshindwa kunenepa
 
Ila hii ipo hadi kwa vitabu...
Women are smarter than men.

Mungu alimweka Adam na Hawa bustani ya Eden.. Hawa akawa wa kwanza kula tunda "from the tree of wisdom". The woman became the first person to open eyes.

And that's why even tomorrow is easy for a 16 years girl to clear account of 60 years man. And the time girl says Thank you honey

Man will say don't worry don't worry. Dont mention.

Naskiliza hii clip naona haitaki kukaa hapa.
wao kuwa smarter haimaanishi ndo tuwe wajinga...we have to learn tuepuke akili zao nyingi maana mwisho wa siku familia ikianguka unalaumiwa baba na sio uzembe wa mama.
 
Kwa kuwa lishakuwa janga la kitaifa dawa yao hawa ni kuhakikisha kila anyekuomba pesa anapewa baada ya kuto*bwa, maana hakuna namna nyingine.
mkuu mbona swala la kupewa pesa baada ya kuto*mbwa ndio ustaraabu wenyewe..sema wanaupindisha kwa makusudi na kuifanya kamali...yaan umpe kwanza, then akuombe tena pesa maana akikupa/akikulipa fadhila/ukimla ndo amepoteza mteja maana hutorudi tena
 
Pole mkuu,swala la kununua hatukupingi ila angalia target zako katika maisha.
Angalia na wadada unaowapata pia, mjini sikuhizi wengi ni wapiga Dili(slay queens) namaanisha kwahyo kuwa makini .
You attract what you emit : angalia unawaambia wasifu gani mwanzo wa mahusiano yenu.

Mwisho kuwa makini
Umakini upo mkuu...shida ni makusudi wanayoyafanya hawa wanawake...ni kutuumiza sisi wanaume tulionao mijini. Ustraarabu ni kut*mbwa ndo upewe hela..ndio maana Malaya anayejielewa mkienda guest haombi hela kwanza japo bei mnakuwa mshaelewana, unampa baada...wale wanaoomba mlipane kwanza ni wale wasiojielewa/wasio class au wa short time. lkn km ni kulala ucku kuccha...mwanamke hapaswi kuomba hela. sasa wanajitoa akili kwa kufanya kamali...umep kwanza...je asiponipa yeye? utamdai vp? mwsho wa cku ndo "yaan hako ka elfu 2o kako nayo ni hela!!?
 
of course kama unapesa nyingi kuwapata sio shida. I meana hata kama hujaombwa ukatuma laki, akiomba elfu 30 unamppa 60...hapo husumbuliwi kupewa mzigo mpaka na vya uvunguni...ila kwa sisi wanaume daraja la kati, sio maskini na sio tajiri...ni mtu tu corporate na uko makini finance zako, yaan una budget kila jambo...ndo tunaona shida kwamba wanawake hawatutendei haki na ni kweli,...yaan wanayauza mapenzi. vibabu na wazee wenye hela ni aibu kutongoza vitoto ndio maana wanamwaga pesa..ila to be fiar, wanawake hawapaswi kuapply hilo kwa sisi wa rika lao na watafutaji wenzao.

Hahahaa kupewa na vya uvunguni umemaanisha kupewa tigo au, hlf kibaya zaidi utakuta pesa unazompa anaenda kumpa mwanaume mwingine anaempenda, ambae hatozwi hata sh.10, *k* na tigo anapewa free 24/7 na utakuta huyo jamaa hana mbele wala nyuma na hana malengo na huyo demu. Papaa Mutombo
 
Yaani hawa watu hii tabia ishakuwa sugu, vizinga wanavyonipiga ndio maana nimeshindwa kunenepa
ndo hivyo sasa tumeshtuana...hakuna kuombwa hela kama mahusiano bado machanga, lazima umfahamu vizuri au ujiridhishe ni kweli ana shida na sio kwamba anakupiga mzinga. waache mizinga waone km hatutokuwa tunawapa hela hata zaidi
 
Kweli mkuu. Mfano kuna jidada la mjini jana, linanipigia simu ooh naumwa...nikasema si uende Hospital\' likasema sina hela...nikasema nakuja basi nikupeleke mwenyewe...IKAWA UGOMVI NA PENZI LIMEVUNJIKA JANA kwa njia ya simu na sijutiii. Yaan imefikia hatua bora niitumie pesa yangu on myself; ninunue pamba kali, niongeze mazaga ghetto , nikalewe na washkaji etc kuliko kumpa hela mwanamke bila mm kuridhia...yaan anipige kizinga cha makusudi...ni dalili mbaya
Big up mkuukwa uamuzi huo, yaan hawa watu wapuuzi sana, tabia za kudanga ndo zimewajaa kwenye vichwa vyao.
mnakuwa na appointment ya kukutana sehemu mara unasikia eeeeh sina ngu nzur ya kutokea, nitumie hela ninunue nguo ili tuonane:mad::mad:
 
wao kuwa smarter haimaanishi ndo tuwe wajinga...we have to learn tuepuke akili zao nyingi maana mwisho wa siku familia ikianguka unalaumiwa baba na sio uzembe wa mama.
Ila hii suala ni mtambuka.
Kwanini?

-Kuna kina dada wanajiheshimu, independent, wapambanaji na wanaheshimu kupendwa.

-Kuna wanaume wanaona raha kutumiwa, kuhonga ndiyo sifa yao.

-Hili suala ni personal saana. Maana makubaliano mnayafanya kwa siri aidha huko PM pesa mnaombana siye huku tunakuwa hatujui lolote.

Ni mtu binafsi kujua anataka nini, anataka mwanamke au mwanamme wa namna gani.

Maana sheikh siku hizi zipo kila sampuli. Hamna kazi mitaani mwanaume huna uchumi ulioukalia. Ila mwanamke anajiuliza mara mbili ya tatu..anajisemea yanini nifie hapa...
 
Hahahaa kupewa na vya uvunguni umemaanisha kupewa tigo au, hlf kibaya zaidi utakuta pesa unazompa anaenda kumpa mwanaume mwingine anaempenda, ambae hatozwi hata sh.10, *k* na tigo anapewa free 24/7 na utakuta huyo jamaa hana mbele wala nyuma na hana malengo na huyo demu. Papaa Mutombo
kwanza: kila mwanamke anamtombaji wake...ndo huyo tunaesema unakuta ni boya tu liko mtaani...labda lilisoma nae sec, au wamezaliwa kijiji kimoja...ndo ndo linalokula half of your money...WEWE UNAKUJA KUOA JIDADA LIMESHATUMIKA kwa mjinga flani hivi tu tena asiye na mbele wa nyuma. wanawake bwana
 
Big up mkuukwa uamuzi huo, yaan hawa watu wapuuzi sana, tabia za kudanga ndo zimewajaa kwenye vichwa vyao.
mnakuwa na appointment ya kukutana sehemu mara unasikia eeeeh sina ngu nzur ya kutokea, nitumie hela ninunue nguo ili tuonane:mad::mad:
na ndo maana nimewachana kabisa kwenye thread...warudi kwenye ustaarabu, maswala ya kuombana pesa hovyo iwe mwisho. kwanza pesa inafanyiwa kazi...either utombwe ndo upewe au kweli una janga ndo usaidiwe ila sio kupiga mzinga. ni utapeli
 
Ila hii suala ni mtambuka.
Kwanini?

-Kuna kina dada wanajiheshimu, independent, wapambanaji na wanaheshimu kupendwa.

-Kuna wanaume wanaona raha kutumiwa, kuhonga ndiyo sifa yao.

-Hili suala ni personal saana. Maana makubaliano mnayafanya kwa siri aidha huko PM pesa mnaombana siye huku tunakuwa hatujui lolote.

Ni mtu binafsi kujua anataka nini, anataka mwanamke au mwanamme wa namna gani.

Maana sheikh siku hizi zipo kila sampuli. Hamna kazi mitaani mwanaume huna uchumi ulioukalia. Ila mwanamke anajiuliza mara mbili ya tatu..anajisemea yanini nifie hapa...
Mkuu hili swala wala sio complicated hivyo. Usilikuze, ni kwamba upande mmoja tu ujitambue kustaarabika...wasitake chance ya sisi kuwapenda, na wajue tunajua majukumu yetu....sio kutapeli kwa visingio na uongo. kutongozana na kuombana in private hiyo ni natural, mbona mimba inatafutwa chumbani ila inalelewa sebuleni na kwa wakwe hadi hospitali na sherehe ya birthday inafanyika? so to keep it short...dada zetu wastaarabike
 
Mkuu soma mada ay kwa aya....usichambue kaneno ndo ukatengenezee comment. Hakuna amahali nimesema mimi nataka tu kupiga mzigo..na topic ni ndefu na kila aya ina wazo lake ili kujenga hoja. be serious.
Soma AYA yako ya kwanza..utagundua wee ni mwanaume kicheche na unajisifia ukicheche wako.

Niilo tuu... Ungekua upo serious hao wote ulowakwanyua ungekua umedumu nammoja.

Ndo kusema, Wote hawafai?? ... Ndionmaana kilio chako umekielekeza ktk kupigwa mizinga mwanzo wa mtongozo tu tofaut na zaman uko .
 
Mkuu hili swala wala sio complicated hivyo. Usilikuze, ni kwamba upande mmoja tu ujitambue kustaarabika...wasitake chance ya sisi kuwapenda, na wajue tunajua majukumu yetu....sio kutapeli kwa visingio na uongo. kutongozana na kuombana in private hiyo ni natural, mbona mimba inatafutwa chumbani ila inalelewa sebuleni na kwa wakwe hadi hospitali na sherehe ya birthday inafanyika? so to keep it short...dada zetu wastaarabike
Silikuzi hata najaribu kukupa picture ya pande zote.

Umeoa?
 
wamekusikia mkuu...ifikie hatua kuhonga isiwe sifa wala kigezo cha mwanamke kukupa penzi.
Kwa Sasa KUHONGA ndy UNAONEKANA HANDSOME,,unapewa sifa zote,,,lakini ukiwa huna kitu utawasikia HIVI YULE MM NITAMPELEKA WAPI? kwa maisha yetu ya sasa,,,UKITAKA VITAMU basi na wewe uwe SUKARI ...na SUKARI YAO ni PESA,,,bila hivyo tutaishia KUTAFUNA WANAWAKE WAUZA mihogo na Nazi BARABARANI kwenye FOLENI..na mkuu ujuwe hata hilo TATIZO HALIKO kwa hawa wanawake wasioolewa, PEKE YAO,,,BALI HATA WAKE ZA WATU,,yupo mmoja alinipiga KIRUNGU CHA GESI,,nikashangaa iweje MKE WA MTU anipige KIRUNGU CHA KUMNUNULIA GESI?anasema ,,BABY GAS IMEKWISHA,,,na mboga ipo jikoni,,sijuwi itakuwaje,,na JAMAA hajarudi KAZINI,,,nikajiuliza hivi mumewe akirudi HAULIZI? GESI umenunuaje? duu...hatari sn
 
Soma AYA yako ya kwanza..utagundua wee ni mwanaume kicheche na unajisifia ukicheche wako.

Niilo tuu... Ungekua upo serious hao wote ulowakwanyua ungekua umedumu nammoja.

Ndo kusema, Wote hawafai?? ... Ndionmaana kilio chako umekielekeza ktk kupigwa mizinga mwanzo wa mtongozo tu tofaut na zaman uko .
Mada za mahusiano ni nyingi...wengine humu huomba ushauri amfanyeje aliyemfumania, mwingine anataka kufundishwa namna ya kutongozwa etc, kwahyo kwa leo mm nikaja na hiyo ya wanawake kutrade mapenzi kwa njia ya mizinga...kama huelewi maana mizinga ndio maana unanibishia na kuniattak mm badala ya kupingana na hoja hapo/thread na kuleta ubaguzi kwamba wote hawafai, mm tena ndo nisome aya ilihali mm ndo mwandishi wa bandiko, kwamba "hao wote niliowala" as if kuna mahali nimeandika hivyo...kunipangia nidumu na mmoja...MKUU ARE YOU MENTALLY SICK?? can you stick to the mada iliyopo mezani? au pita kimya kimya kama baadhi ya member wa kike maana wameona n kweli.
 
Kwa Sasa KUHONGA ndy UNAONEKANA HANDSOME,,unapewa sifa zote,,,lakini ukiwa huna kitu utawasikia HIVI YULE MM NITAMPELEKA WAPI? kwa maisha yetu ya sasa,,,UKITAKA VITAMU basi na wewe uwe SUKARI ...na SUKARI YAO ni PESA,,,bila hivyo tutaishia KUTAFUNA WANAWAKE WAUZA mihogo na Nazi BARABARANI kwenye FOLENI..na mkuu ujuwe hata hilo TATIZO HALIKO kwa hawa wanawake wasioolewa, PEKE YAO,,,BALI HATA WAKE ZA WATU,,yupo mmoja alinipiga KIRUNGU CHA GESI,,nikashangaa iweje MKE WA MTU anipige KIRUNGU CHA KUMNUNULIA GESI?anasema ,,BABY GAS IMEKWISHA,,,na mboga ipo jikoni,,sijuwi itakuwaje,,na JAMAA hajarudi KAZINI,,,nikajiuliza hivi mumewe akirudi HAULIZI? GESI umenunuaje? duu...hatari sn
the the...naona ulishtuka mapema, otherwise jamaa angerudi na kuhoji then ndoa ingeingia doa maana hakuacha pesa ya gesi...kaipata wapi? women are too selfish na wanaweza kuhatarisha Amani kirahisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom