Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

Status
Not open for further replies.
unamaanisha nikubali kushidwa au yeye aombe radhi? km ni A hilo sahau...mi sio mwanaume wa Dar na huyu mpiga mizinga ataacha a.
Basi nisaidie namba ya amu nimlee mtoto huyo, mana kwa hasira hizo anaonekana mtamu sana.

Mi shart langu tusizae tu, mana sina mpango wa kuzaa sasa.
 
Nini tena shost? Nani anakuvuruga tumpe za uso now?
soma mada ndo uipe za uso...mada inasema muache kupiga mizinga makusudi...subiri mwanaume aone una uhitaji akupe mwenyewe na sio kudanganya kwa mizinga...au toa papuchi ulipwe km shida ni pesa. hiyo ndo mada. usije kichwa kichwa
 
kumbe na wwe ulishalionaga ilo, utasikia mara babe gesi yangu imeisha na sijui ntafanyeje. Kabla ya kua na mim ulkua unafanyeje ?
 
Morning people,

Kwakweli nashindwa kuelewa kinachoendelea kwenye jamii ya kike kwa ujumla wake hasa ya mijini (Dar, Mwanza na Arusha). Mimi sio mbahiri au nina tabia ya uchoyo na ninajua umuhimu wa kuhonga. Lakini miaka ya hivi karibuni; nimeshuhudia kwamba sipati tatizo la kutongoza...nikimtamani au kumtaka mwanamke, kwa uzoefu wangu katika kuanzisha mahusiano, kwakweli huwa sikataliwi, labda tu nisionyeshe msimamo au kutozingatia misingi ya kutongoza.

ila Changamoto ambayo nimeiona na inaudhi kwakweli na inakera, na ukiiendekeza hutopaa kiuchumi kabisa au kufanya mambo ya msingi: NI HII YA MWANAMKE TAYARI MPO KWENYE MAHUSIANO NA BADO NI MACHANGA, LAKINI ANAWEZA ASIKUULIZE HATA JINA LAKO LA PILI ILA AKAKUOMBA PESA. Wengi wanapiga mizinga indirectly: naumwa, nitumie vocha, mama mgonjwa, nauli etc...kitu ambacho kwa sisi wanaume tunaojielewa tushashtukia hizo mbinu, na kuna wanaume huwa hawajali basi wanatuma au kutoa tu pesa.

Ila kiuhalisia, ni kukoswa aibu na kutoheshimu mahusiano hayo machanga kwa kuanza kulialia shida, ilihali inajulikana mapenzi ni win-win situation...mfano: mtoe dinner, mfanye tendo then kwa wanaume wastaarabu hata bila kuombwa pesa, atatoa tuuu, atampa hela huyo dada indirectly pia: chukua hii ya nywele, au ukafanye ABC, au kaongezee kwenye karo ya mwanao, etc.

Kwahiyo ni ustaarabu wa kawaida kabisa kwamba hamna cha bure. Lakininimekutongoza leo, nimeanza tu kuchat na wewe, kukujulia hali...ghafla "baby nisaidie elfu 10 nina shida nayo ya haraka!" NO....BIG NO.

Hali hii mimi imepelekea kuwa na mahusiano yanayodumu masaa 2 hasdi 24 au wiki tu. Sasa najiuliza kwanini mwanamke mwenye akili timamu, na unajua ana kazi, na ana elimu, au yupo kwao ana wazazi...muda wote amependeza...na wewe mtongozaji ni gentleman, una kazi yako, umestaarabika...ila ukimtongoza na akakupokea anaanza kuomba hela on the instant??

Nikajadili mada hii na mama mmoja, akasema ile ni kukupima kama kweli uko serious. Hiyo hoja nikapangua vikali: Pesa sio kigezo cha kupima userious wa mwanaume, mpaka amekutongoza na kuweka juhudi kupata namba, umzoee, etc lazima atakuwa serious...na wengine huwa tunaingia gharama kabisa ya muda, pesa na umakini hadi kumpata...kwahiyo ati kwamba unanipima kwa kuniomba hela that's big no. hakuna mwanaume asiyetambua kuwa anapaswa kumhudumia mpenzi wake.

Binafsi nataka niachane kabisa na kutongoza kwasababu nipo mjini na wanawake wengi wanaomba hela kupita kiasi asi if sisi hatutambui kuwa wana mahitaji. Lakini siwezi kuhudumia mtu ambaye hata sijala papuchi yake, au kumpa hela ndani ya muda mfupi sana wa mahusiano...najiona ni kujishusha mno, na imepelekea ni underrate sex na wanawake kimapenzi kwa ujumla hasa wa mjini.

Nataka kuanza kununua, japo changamoto ya kununua ni kwamba kunakuwa hamna Emotional Connection...raha ya mapenzi muwe social, muwe na emotional connection, ila hii ya umemkuta hapo basi unampa chake anapanua...mm huwa haina radha, labda niwe nimezidiwa na ugwadu au nimelewa.

Kwahiyo wakuu hebu tuchambue na tusaidiane maoni ili kulinda Amani ya uchumi wetu wa mifukoni...tutahonga wangapi? maana kwa siku wengine tunatongoza wanawake wengi...with hope kwamba mwisho wa wiki kuna 1 au wawili watakuelewa na utakula mzigo au hata kuoa kabisa. Lakini sio kujaribiana kwa nguvu ya pesa, kwamba ili uonekane rijali na unajali, basi utume salio...tena wengine mmetongozana kwa simu tu..hamjaonana, ila anaomba hela. Huku ni kukosa haya, na au ni ujasiriamali flani...maana imagine kwa siku anaomba wangapi na anaingiza ngapi?

So hii tabia tukiendekeza tutakuwa na jamii ya kike ya mjini isiyofanya kazi...kazi kupokea miamala na wanapewa papuchi wawili watatu tu...ila mliosponsor mpo kama 30. Haiwezekani. Lazima jambo hili lipatiwe ufumbuzi.

Nawakilisha.

cc BAK Mshana Jr Shunie ISIS yna4 Numbisa amu by default Ajiapro68 Inna Nyani Ngabu cha mideko GENTAMYCINE lady j Money Stunna
Mkuu usikubali kutoa hela bure, hata mm wananiombaga tena wengine wapo facebook na instagram wanajiremba kweli na kupiga picha nzuri alafu wanakufuata inbox ukichat nao kidogo utasikia "my naomba nisaidie 15,000/=nina shida nayo haraka, ukikataa hachat tena. Ila dawa ya kuwakomesha akikuomba hela muite aje aichukue gheto na akija kula mzigo mpe, mambo mengine yaendelee. MM nimewala sana kwa mtindo huu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom