Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

Status
Not open for further replies.
Acha kutongoza
ni sawa na ww tukwambie acha kwenda chooni ilihali umekula jana na leo. hapa ishu ni hawa wenzetu waache kutrade sex kwa mgongo wa mizinga....mwanaume atahudumia tuu lkn sio umuibie kiivyo. ndo hoja yangu.
 
nakubali maoni na mtazamo tofauti. kuhusu kuoa nilioa nikafukuza, sababu nilifumani mara 2 nikaona nisije letewa magonjwa
Jaribu kusoma huu uzi Njia nane zitakazokuonesha kwamba mwanamke uliyenaye atakusaidia kuleta mafanikio katika ndoa yako - JamiiForums

Sio kila binadamu mwenye kuitwa mwanamke unapaswa kumtongoza.

Mapenzi ni kama biashara tu... unapotaka kuanza biashara lazima ufanye analysis ya kutosha kama kweli unataka mahusiano ya maisha.

Ila kama ni hizi za kuchepuka ni win-lose game.... kama duck duck goose game.. Tena hazihitaji kujutia maana kwanza Mungu hazitaki.

Gracious.
 
Hahahaaaa mkuu unaongea kwa uchungu sana, ushalizwa nn? Mm kuna mmoja nliishia kupata kiss LA shavu tu hata denda hakunipa, mizinga alkuwa ananipiga (which means hakunipenda) hlf cha kushangaza alikuwa anataka nimuoe just few days baada ya kukutana nae, nikaona huyu ameona Nina miradi ndo maana anataka nimuoe,hlf huyo demu nkiomba mzigo akaniambia hanipi mpaka nimuoe, nikasema mamaae usiniingize mjini, mm naelewa kwa experience yangu kuwa demu asipokupenda inakuwa shida sana yeye kukupa sex, cjui hawa wababu wanatumiaje pesa kugegeda mabinti,mm cwezi aisee kutumia pesa kutongozea mwanamke maana naona unaweza kutoa pesa na *k* usipate mwandende
MKUU Mimi nishapigwa sana,,ndy maana DALILI ZA KUPIGWA nazijuwa,,,,sasa hawanisumbuwi,,nikishaanza kuona VIZINGA,, Nina LIMIT NAVYO... ikifika 50,000 na bado unasumbuwa,,nakupiga chini...
 
Jaribu kusoma huu uzi Njia nane zitakazokuonesha kwamba mwanamke uliyenaye atakusaidia kuleta mafanikio katika ndoa yako - JamiiForums

Sio kila binadamu mwenye kuitwa mwanamke unapaswa kumtongoza.

Mapenzi ni kama biashara tu... unapotaka kuanza biashara lazima ufanye analysis ya kutosha.

Gracious.
mkuu basi ulielewa vibaya...sikumaanisha natongoza kila mtu, natongoza wanawake wa hadhi yangu...and this applies to all men. huwezi kuwa smart, nadhifu ukatongoze mdada mchafu mchafu muuza maembe. ndio mapenzi ni biashara: anatombwa, then anapewa chake...sio Kamari: mizinga, then ndo akupe,,,,hapo kuna uwezekano wa yeye kutokukupa mzigo, so ukiwa mwepesi unahonga tena....so hapo ni Kamari tayari. umeniepata?
 
MKUU Mimi nishapigwa sana,,ndy maana DALILI ZA KUPIGWA nazijuwa,,,,sasa hawanisumbuwi,,nikishaanza kuona VIZINGA,, Nina LIMIT NAVYO... ikifika 50,000 na bado unasumbuwa,,nakupiga chini...
hongera kwa kuelimika na kujikomboa...I wish wanaume wote wa mjini tuwe hivyo...
 
Mada za mahusiano ni nyingi...wengine humu huomba ushauri amfanyeje aliyemfumania, mwingine anataka kufundishwa namna ya kutongozwa etc, kwahyo kwa leo mm nikaja na hiyo ya wanawake kutrade mapenzi kwa njia ya mizinga...kama huelewi maana mizinga ndio maana unanibishia na kuniattak mm badala ya kupingana na hoja hapo/thread na kuleta ubaguzi kwamba wote hawafai, mm tena ndo nisome aya ilihali mm ndo mwandishi wa bandiko, kwamba "hao wote niliowala" as if kuna mahali nimeandika hivyo...kunipangia nidumu na mmoja...MKUU ARE YOU MENTALLY SICK?? can you stick to the mada iliyopo mezani? au pita kimya kimya kama baadhi ya member wa kike maana wameona n kweli.
Mkuu sikuattack.. Wee umeelezea kama experience yako ya mapenzi ..na umesema wazi zamaaan haikua ivo nakwamna siku izi UKIMTAMAN AU UKIMTAKA MWANAMKE ,UZOEFU WAKO WA KUTONGOZA UNATOSHA..... Haya maneno umeyaandika umefumba macho???????????????????????????????????????????????!??.

Nafaham lengo la uzi wako ilikua nijuu ya mizinga.

Namm nikakuambia, hawa wanawake wanaakili, anajua kabisa uyu kaja kuwekeza kwelikweli huyu kaja kula mzigo tu... Sasa kama UMEMTAMAN KAMA ULIVYOSEMA KTK UZI....unataka ule mzigo bure nayeye keshajua UMTAMANI???????

Sasa kati yangu naww na mgonjwa wa Akili??? .
 
the the...naona ulishtuka mapema, otherwise jamaa angerudi na kuhoji then ndoa ingeingia doa maana hakuacha pesa ya gesi...kaipata wapi? women are too selfish na wanaweza kuhatarisha Amani kirahisi.
Hapo mkuu si kama GESI ILIISHA,,ni style tu ya KUPIGWA KIRUNGU,,nikakwepa,,,ukwl ni kwamba HAKUKUWA na tatizo LA GAS wala Mkaa,,ni KIZINGA tu ..
 
Mkuu sikuattack.. Wee umeelezea kama experience yako ya mapenzi ..na umesema wazi zamaaan haikua ivo nakwamna siku izi UKIMTAMAN AU UKIMTAKA MWANAMKE ,UZOEFU WAKO WA KUTONGOZA UNATOSHA..... Haya maneno umeyaandika umefumba macho???????????????????????????????????????????????!??.

Nafaham lengo la uzi wako ilikua nijuu ya mizinga.

Namm nikakuambia, hawa wanawake wanaakili, anajua kabisa uyu kaja kuwekeza kwelikweli huyu kaja kula mzigo tu... Sasa kama UMEMTAMAN KAMA ULIVYOSEMA KTK UZI....unataka ule mzigo bure nayeye keshajua UMTAMANI???????

Sasa kati yangu naww na mgonjwa wa Akili??? .
Mimetamka hivyo upate picha na meseji iwe na mantiki kwamba hoja imeandikwa na kuletwa na mtu mwenye experience...na ndo maana siku zote watu wanaopata kazi ni wenye experience na veti vinasindikiza tuuu. hayo maneno kwamba na wao wanajua mwekezaji na mtaka mzigo ni yupi, inategema na umemtongozaje...ndo maana kumemba hapo juu akauliza msingi ya kutongoza ni ipi nikamfafanulia na ameelewa...kwamba siku zote kila mazingira na kila mwanamke kuna approach yake, na ndio maana kama umesoma vitabu vingi vya mahusiano ya ndoa, urafiki, PR na hata Mass Communication...huwezi kukosa mwanamke yeyote yule hata kama ni Rais au waziri, mazingira yatachangia ofcourse, maana huwezi kutaka dinner Trump towe iliyoko Chicago wakati upo Dar japo bei za vyakula ni sawa...

kwahyo usitumie mawazo yangu kuconlude kwamba I'm speaking of personal...it's not personal, kama ungekuwa msomi na mwandishi hata Title thread inaonekana kabisa sio personal, haulalamiki na na ni ujumbe kwa wanaume wote na maeneo nikayasema...ni a mijini,,,meaning kuna tofauti ya kumtongoza mwanamke wa mkoani na wa mjini...wa mjini wanatubana kwenye mizinga, wana trade a priceless love...sio fair.

kama shida yako ni my personal love adventure, sidhan kama unaingia hata robo maana nimewahi kuoa, kutaraki, kudate rika zote ndani na nje ya nchi. hivyo nilikuwa sahihi kukuuliza if you are mentally sick then nitafute njia ingine ya kukusaidia. So ungekuwa unajitambua ungejibu tu YES or NO....

hebu pangua hizo hoja hapo tena nije na fataki maana unataka naona unataka kupindisha ukweli, ila mm sipingi ww kuegemea ktk kutetea wanawake. labda hujui kupambanua hoja??
 
ningekuwa mm mzee wa kujiongeza ningekula papuchi hapo hapo...ili transaction iwe fair. huwezi kulipa bila huduma.
 
Mkuu MWANAMKE yupi anakuja na style ya kuwekeza na yupi anakuja kwa style ya kula mzigo? BILA PESA mkuu ni BURE,,huyo MWANAMKE hana uhakika na MALENGO YA MWANAMME,,, ni mwanaume pekee ndy anayejuwa ana malengo gn kwa MWANAMKE,, hao WANAWAKE ndy style yao wote,,VIRUNGU...TENA usipomtimizia HESABU NA MAPENZI hakuna,,,hata kama una MALENGO GN kwake,,,umeshaonyesha UMESHINDWA kumpa pesa ya kulipa LUKU,,au KUSUKA,,basi humpati tena,,
 
To cut the story, 'wewe ni nani' kamwe haitokaa itenganishwe na 'umetokea wapi'.

Hivo utapata kile kinachokufaa sawasawa na ulivyo .

Ukiwa mjanja mjanja utapata wajanja wenzako.

Ukiwa namaana utapata wenye maana wenzako.

Uzi mwema.
 
una generalize badala ya kushughulisha ubongo...ndo maana mada zenye akili km hizi zinahitaji thank-tanks otherwise utaishia kukasirika na kuanza kutukana na kuona umezidiwa akili kumbe wala
 
Mkuu MWANAMKE yupi anakuja na style ya kuwekeza na yupi anakuja kwa style ya kula mzigo? BILA PESA mkuu ni BURE,,huyo MWANAMKE hana uhakika na MALENGO YA MWANAMME,,, ni mwanaume pekee ndy anayejuwa ana malengo gn kwa MWANAMKE,, hao WANAWAKE ndy style yao wote,,VIRUNGU...TENA usipomtimizia HESABU NA MAPENZI hakuna,,,hata kama una MALENGO GN kwake,,,umeshaonyesha UMESHINDWA kumpa pesa ya kulipa LUKU,,au KUSUKA,,basi humpati tena,,
asante kwa kumuelewesha
 
Unajua nn mkuu? Mnacomplicate sana , yaan mnayafanya mapenzi kwenu kua magumu magumu magumu.

Sasa km Mnakua Mizinga nikawaida... Kwann mnafungua nyuzi za kulalamika lalamika?? Simmeshawajua?? Kwann msitulie tu ???
 
ningekuwa mm mzee wa kujiongeza ningekula papuchi hapo hapo...ili transaction iwe fair. huwezi kulipa bila huduma.
Utakulaje MKUU,, wakati yeye yupo kwake? Kanitumia text whtsap,,YAANI SIJUWI NAFANYAJE...NIMEBAKI NACHEKA TU,,ametuma text inasema hivyo..nauliza tatizo nn? Anasema GAS IMEKWISHA,,na mzee hajarudi,,nitumie japo nijaze mtungi mdogo,,emergency,, au nitumie nijaze mtungi mkubwa,, nimtilie kwa Simu mkuu,,hatukai sehem MOJA,,
 
Unajua nn mkuu? Mnacomplicate sana , yaan mnayafanya mapenzi kwenu kua magumu magumu magumu.

Sasa km Mnakua Mizinga nikawaida... Kwann mnafungua nyuzi za kulalamika lalamika?? Simmeshawajua?? Kwann msitulie tu ???
Mkuu Mimi sio MWENYE Uzi..Mimi ni mchangiani tu..
 
Utakulaje MKUU,, wakati yeye yupo kwake? Kanitumia text whtsap,,YAANI SIJUWI NAFANYAJE...NIMEBAKI NACHEKA TU,,ametuma text inasema hivyo..nauliza tatizo nn? Anasema GAS IMEKWISHA,,na mzee hajarudi,,nitumie japo nijaze mtungi mdogo,,emergency,, au nitumie nijaze mtungi mkubwa,, nimtilie kwa Simu mkuu,,hatukai sehem MOJA,,
binafsi ningejiongeza hivi: namuambia aijie coz nina cash...p pesa yangu ilikuwa blocked ina matatizo, then akija nakula mzigo....I swear
 
wanakera sana, dawa yao ni kuwapa vibuti vya kimya kimya.
Hakuna mhongaji wa hovyo hovyo aliwahi kuwa tajiri japo kuna matajiri wahongaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom