Kila ninayemtongoza ana mtu

Angalia usije kuwa na nyota ya 'fumanizi', labda ndio inaanza kung'aa.
 
Ujanja kama huu hauwez kukufikish popote kama huna hela mapenzi hayawez kudumu me nadhani jamaa hana swaga za uvaaji fashion mpya kila siku we uwe wa kwanza kuvaa
 
TANGAZO TANGAZO. chuo cha mapenzi jijini tanga kinayo furaha kukujilisha kuwa kinatoa kozi mbalimbali zikiwemo za kutongoza wahi sasa nafasi ni chache
 
Halafu we "MGOSI"
 
Ujanja kama huu hauwez kukufikish popote kama huna hela mapenzi hayawez kudumu me nadhani jamaa hana swaga za uvaaji fashion mpya kila siku we uwe wa kwanza kuvaa
Mambo ya fashoooooni yanahitaji hela mkuu, vinginevyo ukaazime.
Ujanja ujanja ndio mpango mkuu
 
soma we kijana, muda wako bado hao ni wetu sisi wazee, ukifika umri wetu utawapata
 
Hahahahaga
 
niko nao karib sana

Hapo ndipo unapoharibu wanawake wanatabia yakuwagroup marafiki nakutaftia tu namna unakuta umewekwa kwenye frend zone HUPEWI tamuu milele anakuona kaka yake

unakuwa nao karib wa kazi gani ? make sure unamtonesha kila anaekuwa karib na wewe maswala ya mahusiano yanakujaga yenyewe wewe anza na utafunaji huwa wanajiongeza kama anataka kubaki atabaki kama ni one night stand move on tafuna mwingine i wish nirudi chuo kila mwez manzi mkaliiiiii mpya
 
Jamaa uko saw kabisa yalinikuta hayo miez kadhaa. Huwez jua njia za mwanamke miaka yote aise.
 
ngoja nijaribu njia ya kuwaita geto
mkono mtupu haulambwi mkuu tumia pesa ikuzoee hakikisha unamjengea mazingira kwanza kama kumualika lunch au dinner au mpeleke cafeteria mnunulie lunch au dinner mkimaliza kula unamsindikiza kidogo mkiwa njiani unachukua namba ya simu kama huna , baada ya hapo mnaagana remember kulitaja jina lake Mara kwa Mara , ukishapata namba tu mtext Mara kwa Mara kama kumtakia asubuh njema, mchana mwema au usiku mwema make sure unalitaja jina lake unamjulia hali, unajua wadada wanapenda sana kuitwa majina yao hasa wakiwa mbele ya wenzao ukiona hasomeki tumia MBINU YA PESA kama kumtumia vocha kisha kaa kimya yeye mwenyewe atakutext kukushukuru na utamjibu romantic word kama ucjal Fanya hivi hata Mara tatu na sio unamtumia pesa kila siku acha hata kila ya siku nne au tano akielekea vizuri unamngonga mpesa kiasi kidogo akilainika unamuita geto unamla hata bila kumtongoza , ikigoma hapo tafta mwingine ikishindikana ingia chama cha CHAPUTA
 
big up mkuu ntaufanyia kazi ushauri wako
 
hahahh hakika hapo haiwezi shindikana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…