Kila ninapoifikiria Tanzania napata stress. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila ninapoifikiria Tanzania napata stress.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyakarungu, Jul 16, 2011.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu,
  Ninaumia sana kila ninapoiona nchi hii yenye neema sana, inavyopukutishwa na wageni nyuma ya watawala wetu.
  Ninapoutazama mfumo wa utawala wetu usio na fursa ya wananchi kuamua juu ya rasirimali zao, jamii ziishizo maeneo yenye utajiri ndizo zisizo na matumaini kabisa.
  juzi nimekua eneo la mkoa wa Geita, nimewaona wananchi wake wasivyo na matumani licha ya utajiri mkubwa unaotajwa ndani na nje ya nchi.
  Nikaikumbuka serengeti nyumbani kwetu, nikainama na kusema, ''jamii inanidai kuikomboa japo kwa kuwapa elimu ya uelewa'' ambayo itatumika kufanya mabadiliko tuyaotayo.
  kwa mwonekao kama huu kila kona ya nchi yangu, mimi napatwa na psychologicall depression kubwa kwa stress.
  tuna kazi kubwa sana ya kuibadilisha nchi yetu kwa kujikana nafsi zetu wenyewe.
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Tanzania bila CCM imara, itayumba" ......Mwalimu JK Nyerere.

  Watanzania tuiimarishe CCM.
   
 3. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  haya maneno yako si sahihi kwa kujenga nch ndugu,
  Ukiwa mwelewa na mpembuzi, utagundua mwalimu alisema maneno hayo akiwa na maana, tanzania bila chama tawala chenye uimara itayumba.
  Alikitaja ccm kwa kuwa wakati huo hakukua na mfumo wa vyama vingi kama unavyodhani.
  Ni vyema ukiwapelekea ushauri huo viongozi wako, ili watimize ahadi zao kwa wananchi, japo tayari nchi imeshayumba kwa ulegelege wao (kinyume cha neno imara).
   
 4. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I just quoted Mwalimu. Nisingeweza kuongeza maneno mengine nje ya aliyoyasema.

  Pamoja na hoja yako,...So far hakuna chama imara apart from CCM. ... CDM ni usanii mtupu.
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Ssssssssssssshhhh.................................mkuu ukiongea sana kuna watu watazirai kama kule Tabora jana!!
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  aaaisseee.... Pole na stress Mkuu...

  Na afadhali kua hilo tu inaelekea ndio limekuweka hali hio... Frankly
  ukiketi ukatulia na kuanza kutafakari kila sector ya muhimu ilivyo chafu ki uthamani
  (naogopa hata kuzitaja - kama Sherriff alivyosema ukaishia kuzirai...)
  Maana hilo tu lime kustress!! Hali ni mbaya.... kweli ni mbaya...
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  bora mmestuka, tatizo ni kuwa mnaiimarishaje ccm? manake bila kuupata uimara huo, change is inevitable!
   
 8. L

  LUGANO THOMAS New Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania tusiulaumu uongozi uliopo kwn baadhi ya mikataba ilisainiwa miaka 50 iliyopita .je mkapa na kikwete walihusika?
   
Loading...