Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Kuna vitu vinashangaza sana juzi juzi hapa nimechukua namba ya binti mmoja hivi kigori kigori mtoto mtam kiukweli sa cha ajabu kesho yake tu ananiambia ana birthday ya mtt wa dd ake hivyo anahitaji kama 20elfu hv!yani ata kuonana nae tukakaa na kuongea ili ajue shida yangu bado nikagongwa 20 hahahah ananitafuta kila siku na ule mpango naona nishaghairi tena!ila ndio njia nzuri ya kukimbiza wakware!

Hata huja gonga mkuu ulijuaje kama ni mtamu. Hahaaaa
 
Mtu ana 3Billion USD utamuonga hela ipi? Najua unasema hela ya mwanaume ina raha sababu inakuja burebure, na anayesema hivi kichwani hua si mzima, hana ndoto za kuchomoka zaidi ya kumtegemea mwanamke... ila kwa mwanamke mwenye akili hatotaka hela kwa matumizi ovyoovyo kama madada wengi wa kibongo, sikatai kumpa mwanamke hela, ila sio kupoteza hela kwa vitu visivyo na msingi, simple things, ntakupeleka salon utarembuliwa wee, we'll travel tutafanya nini, ila yani ifike muda nikupe tu huku huna shida nayo! that's madness....Afu usidhani wanawake wote ni design yako, wapo wengi tu ambao wana mawazo tofauti na yako labda hujawaona, afu nashangaa hili swala limesambaa sana bongo, mbona nje lipo lakini kwa kiasi kidogo sana, huku watu hawawazi mapenzi ya hela kiasi hicho, sijui kuna nini bongo.... Sasa nimekuhonga sawa, nimeoa, umekaa tu nyumbani, siku nikifa?? watoto utalea vipi kama idea yako ya kupata hela ilikua ni kupewa na mimi tu?? si ndio walewale mtauza watoto naacha familia inakufa huku nyuma unasepa kwena kutafuta kwa kuhongwa
mkuu just relax wewe mbona unapaniki.......! tafuta pesa bwana mwanamke akikuzidi kipato atakudharau na ukilingana nae kipato si sawa.......... nimtazamo wangu,....
 
mkuu just relax wewe mbona unapaniki.......! tafuta pesa bwana mwanamke akikuzidi kipato atakudharau na ukilingana nae kipato si sawa.......... nimtazamo wangu,....
trust me am very relaxed! au andika yangu inakutisha? hahaha!!! Kipato sitoacha kutafta nikiacha si ntakufa njaa, ila ikitokea situation mwanamke akakuzidi kipato pia si mbaya, sometimes hua inatokea kama bahati mtu ana hit, sasa utamuacha kisa kakupita kipato!! kama anakupenda hatokudharau, ila kama alikupendea hela atakudharau!!
 
Username yako inaonyesha kabisa!! mimi, mwanamke ambaye wazo lake kichwani ni hela kutoka kwa mwanaume sioi, kama hawapo duniani basi, kwani nani alisema lazima kuoa. Ka vipi namtumikia Mungu tu maisha yote wanawake kando.. mambo gani, kila siku ohh mnataka haki sawa na wanaume, siku mkiacha hizo kelele hela tutawapa, afu binti mjanja haombi hela, anapewa bila kuomba, na huyo ndiyo mwanaume anajali, ila sio cha dezo sasa! fanyeni kazi la c hivo mtabaki kuumia daily, hamuwaoni akina Oprah Winfrey au tusiende mbali hapa Nigeria tu Folorunsho ambaye hata oprah hafiki ndani.. yule ndiyo mwanamke sasa, hakuna wa kumchuna mwenzake sio baba sio mama, kila mtu anahela zake hatusumbuani...

Nani kakwambia anataka kuolewa? Nenda mtumie, zikkisha kila mtu na hamsini zake.
 
hahaha ni kweli maana wengi wanaangalia vitu watoavyo kwa wenzi wao kama pesa, zawadi kama karaha ila inapofikia kwenye suala la kwenda lodge etc ndo hawaoni gharama

hapo sasa wakitaka kudocha pesa zinamtoka me huwa siwaelewi...................
 
mkuu naweza sema hao uliokutana nao hukuwapenda kwa dhati, umewatamani tu, ukimpenda mwanamke utamhudumia, kwakua hutataka apate jaribu la kwenda kwa mwingine, utahakikisha mahitaji yake unayatimiza, aishi kwa furaha, ukipenda hutaona tabu kutoa hela, kwani mkuu wewe unaona sawa kukutana na mpenzio kwenye miadi yenu anakuja anatoa harufu ya kwapa hana manukato mazuri si utamkimbia wewe, na kuwafuata wale waliopendeza sasa unafikiri hao waliopendeza nani anawapendezesha kama si wanaume wenzio, kwa hiyo wewe unataka wenzio wakufanyie kazi wewe utumie tu, tafuta hela pata umpendae hudumia..hayo ndio mapenzi

Hata kama ana kazi nzuri. Wengine wanamaisha yao, lakini mizinga haaiishi utafikiri ni M23.
 
we unataka mbunye bure unadhani dadako hao..toa hela upewe mbunye
 
Acha kulia lia mwanaume kazi yake ni kuhudumia babe wake iliaishi kwa furaha. It depend na hali lakini ya mwanaume husika. Mfano shemejio kaninunulia simu ya more than laki 7 maana nilipoteza yangu ambayo I bought it by my own cash ilikuwa ya laki 4. Imagine nimepoteza na I spent zat amount kuinunua mwisho wa siku sina ya kununua ingine. So kumsaidia mpenzi wako sio vibaya.
 
Process of exchange of goods,sedvices,commodities is trade which can be external(export) or internal(import) and the media of exchange is through dollari.money ,fedha,chapa,some people use to call honey...lol,Now what type of trade do you do akina dadaz na mbona your business TRA haija be registered??
 
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!

We ni mwanamke bora kabısa. Ana heri aliye/atakayekuoa
 
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!

Yani we ndo unafaa kuolewa. Labda mbunye isiwe inalipa.
 
Kama hauko tayari kuwa na gf wewe tulia subiria right time then utakuwa nae tu. Kama ni babe wako ni una muhudumia sio kumuhonga. Sisi wengine tumezoea kuwa na mwanaume mmoja tu. Wengine wanao wengi so usipo muhudumia wewe basi wakando ana muhudumia.
 
we unataka mbunye bure unadhani dadako hao..toa hela upewe mbunye

Hahaha! haya bwana! Sasa si hata huyo dada ataniomba hela, tena atasema ukikataa na mwambia baba unanitongoza. Sasa hapo siita kua balaa.
 
Nani kakwambia anataka kuolewa? Nenda mtumie, zikkisha kila mtu na hamsini zake.
Unadhani kwa nini bongo kuna approximately 2.6Million HIV+ 15-24years of age?? Ni kwa sababu ya mawazo kama haya,
sleep with a girl, umemaliza umemwaga, umesepa, umempotezea, washkaji wamekusifia wee kua umelala na demu mkali, afu then mwisho wa siku unakua umegain nini?? kumwaga raha inadumu muda gani? ila uliza sasa walio na ngoma wanavyoomba chance ya kupona, i dont find using women as sex toys attractive, sex ni kitu intimate, emotions zinakuwepo, hiyo i believe ni kushare na mtu special sio ovyoovyo ka binadamu wengi wanavyodhani siku hizi...
 
Back
Top Bottom