Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Username yako inaonyesha kabisa!! mimi, mwanamke ambaye wazo lake kichwani ni hela kutoka kwa mwanaume sioi, kama hawapo duniani basi, kwani nani alisema lazima kuoa. Ka vipi namtumikia Mungu tu maisha yote wanawake kando.. mambo gani, kila siku ohh mnataka haki sawa na wanaume, siku mkiacha hizo kelele hela tutawapa, afu binti mjanja haombi hela, anapewa bila kuomba, na huyo ndiyo mwanaume anajali, ila sio cha dezo sasa! fanyeni kazi la c hivo mtabaki kuumia daily, hamuwaoni akina Oprah Winfrey au tusiende mbali hapa Nigeria tu Folorunsho ambaye hata oprah hafiki ndani.. yule ndiyo mwanamke sasa, hakuna wa kumchuna mwenzake sio baba sio mama, kila mtu anahela zake hatusumbuani...

hata nikiwa nazo naomba hela ya mwanaume ina raha yake. kumbuka hela haitoshi na nani kakwambia hao hawaongwi pesa.... haya we usioe tu haina shida kama utaweza kuishi bila wife ni sawa tu.
 
wenyewe wanamsemo..... "mwanaume ni pesa, sura tutavumiliana"
 
vya mteremko hamna dunia ya leo!

hahaha ni kweli maana wengi wanaangalia vitu watoavyo kwa wenzi wao kama pesa, zawadi kama karaha ila inapofikia kwenye suala la kwenda lodge etc ndo hawaoni gharama
 
Gharama hazikwepeki kuna direct na indirect cost.
Kuna outing ambazo utakuwa unamtoa au hata zile sehemu ambazo tulivu kwa ajili ya mijadaala ya haa na pale , kuna rooms etc hizo mara nying wanaume hatuzihesabu. Wengi huangalia vitu / pesa tunazotoa kumpa mwanamke au katika kupeleka zawadi.
Na nipe exact reason ya kumpa mwanamke hela ni ipi hasa??
 
mkuu approach yako kwa madem ndo mbaya! ukimuonesha tu siku ya kwanza kuw wew ni mtoaji basi imekula kwako! mpe maneno matam dem mpaka anatoa papuch mwenyewe.., sio oooh! baby upo wapi, chukua tax nitalipa, mara ooh, ushamrushia credit za 50000, utapote kijana!.., maneno matam ndo mpango mzima! kalaghabaho
 
hata nikiwa nazo naomba hela ya mwanaume ina raha yake. kumbuka hela haitoshi na nani kakwambia hao hawaongwi pesa.... haya we usioe tu haina shida kama utaweza kuishi bila wife ni sawa tu.
Mtu ana 3Billion USD utamuonga hela ipi? Najua unasema hela ya mwanaume ina raha sababu inakuja burebure, na anayesema hivi kichwani hua si mzima, hana ndoto za kuchomoka zaidi ya kumtegemea mwanamke... ila kwa mwanamke mwenye akili hatotaka hela kwa matumizi ovyoovyo kama madada wengi wa kibongo, sikatai kumpa mwanamke hela, ila sio kupoteza hela kwa vitu visivyo na msingi, simple things, ntakupeleka salon utarembuliwa wee, we'll travel tutafanya nini, ila yani ifike muda nikupe tu huku huna shida nayo! that's madness....Afu usidhani wanawake wote ni design yako, wapo wengi tu ambao wana mawazo tofauti na yako labda hujawaona, afu nashangaa hili swala limesambaa sana bongo, mbona nje lipo lakini kwa kiasi kidogo sana, huku watu hawawazi mapenzi ya hela kiasi hicho, sijui kuna nini bongo.... Sasa nimekuhonga sawa, nimeoa, umekaa tu nyumbani, siku nikifa?? watoto utalea vipi kama idea yako ya kupata hela ilikua ni kupewa na mimi tu?? si ndio walewale mtauza watoto naacha familia inakufa huku nyuma unasepa kwena kutafuta kwa kuhongwa
 
mkuu naweza sema hao uliokutana nao hukuwapenda kwa dhati, umewatamani tu, ukimpenda mwanamke utamhudumia, kwakua hutataka apate jaribu la kwenda kwa mwingine, utahakikisha mahitaji yake unayatimiza, aishi kwa furaha, ukipenda hutaona tabu kutoa hela, kwani mkuu wewe unaona sawa kukutana na mpenzio kwenye miadi yenu anakuja anatoa harufu ya kwapa hana manukato mazuri si utamkimbia wewe, na kuwafuata wale waliopendeza sasa unafikiri hao waliopendeza nani anawapendezesha kama si wanaume wenzio, kwa hiyo wewe unataka wenzio wakufanyie kazi wewe utumie tu, tafuta hela pata umpendae hudumia..hayo ndio mapenzi
 
wape hela kabla hawajakuomba!!
 
Sikatai kugharamikia mwanamke, ila inategemea na situations zenyewe, mabinti bongo siku hizi wanataka gari, nyumba, uwalipie elimu, kila kitu... ahh bna, hata kama nina pesa binti wa hivi kuna upendo kweli hapa? mwisho wa siku tamaa izidi akuue ili achukue mali, au hujui siku hizi madada wengine huoa watu ili baada ya muda mfupi visa vianze waachane wagawane mali?? sasa mwanaume unakomaa kujenga fortune afu mwisho wa siku mnagawana kijingajinga ati upendo huletwa na hela, hahaha!! upendo hauletwi na hela kama mtu yuko tyr kuoa afu muachane mgawane.. Binti anayependa kweli mbona kumpa hela ntampa tu, ni wa kwangu lazima nimsafishe akitembea wajue kua flani bna ana kitu safi, ila kama upendo wa hela, ukimpendezesha wakishamuona wakifata tayari anaenda kupigwa mishe kule, mwanaume unakaa ohh na hela ananipenda, kumbe mchongo unapigwa pembeni


Bila shaka yasha kukuta pole sana, lkn ushaoa au bado?? nijibu plz
 
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!

Sasa kama nyie ndio hua naongelea watu wananiona chizi!! A woman is independent, mimi kwa mwanamke independent mbona hela ntampa na ntamng'arisha vizuri tu, mwanamke dependent nikifa na watoto ndio akimbie au apeleke kituo cha watoto yatima? that's madness... I had this girl alikua haniombi hela till nilipokua nampa mwenyewe, na hapo alikua hapokei kirahisi, i remember ashapokea si zaidi ya mara tatu, na we had a lot of fun, we meet we go places together ila still hakutaka nilipie, at least alitaka tushare the price since wote ni independent, sasa kwa nini kusema girls wa hivi hawapo?
 
Bila shaka yasha kukuta pole sana, lkn ushaoa au bado?? nijibu plz
Hahaha, sijakutwa na situation ya hivo but imekuta watu wawili nawafahamu wa karibu tu.. Mimi wala hata sijaoa, ntaoa after realizing my dream kwanza, ila am very picky when it comes to choosing a partner wa kuishi naye, sitotaka mwanamke ambaye kichwani si mzima, i believe mwanamke mwenye elimu ni independent na kichwani mwake ni kujenga a good, happy, rich and healthy family, mwanamke wa hivi ndiye tutaendana maana its also my goal, na mwanamke wa hivi hatotaka hela ili achezee, kua msafi sio kuchezea hela, kuvaa vizuri ntakuvalisha huitaji kuomba, si ni upendo bna... sasa kama hayupo wa hivi sioni sababu ya kuoa, ka vipi bora nisome hadi PhD nishinde laboratory niachane na mambo ya kuoa .... bible yenyewe inasema ndoa iwe ya upendo, hahaha inamaana hadi wadada wanaosoma bible siku hizi kushnehi??
 
Kuna vitu vinashangaza sana juzi juzi hapa nimechukua namba ya binti mmoja hivi kigori kigori mtoto mtam kiukweli sa cha ajabu kesho yake tu ananiambia ana birthday ya mtt wa dd ake hivyo anahitaji kama 20elfu hv!yani ata kuonana nae tukakaa na kuongea ili ajue shida yangu bado nikagongwa 20 hahahah ananitafuta kila siku na ule mpango naona nishaghairi tena!ila ndio njia nzuri ya kukimbiza wakware!
 
Back
Top Bottom