Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Jitahidi uwe na kianzio mara ya kwanza mpe lakini hakikisha unamgegeda mapema pia shughulika ipasavyo kitandani. Baada ya hapo ipo siku atamiss mchezo akikutafuta mwambie huna hela atakupa bure hali hii inaweza endelea. Try this strategy...it works.
Note: hakuna cha bure gharamia japo kidogo.
 
hapo umenena mkuu,there's no such thing as a free lunch.

Lakini si hata wao wanahitaji huduma hiyo ya kibanadamu, sasa kwa nini tuwe tuna nunua. Au wao ni Machines hawatuhitaji sisi ila sisi tuna wahitaji wao??
 
Hata kama ana kazi nzuri. Wengine wanamaisha yao, lakini mizinga haaiishi utafikiri na M23.

yani kama mie, nina mshahara mzuri tu

lakini sina mpango wa kuacha mizinga, yani tena ndo nazidisha kabisa

yani kama hutaki kunipa, wee sepa tu, kwani nani mwenye shida na muhogo?

yaani vijana wa siku hizi bana, mnalialia sana.
 
Duh! Mtatuua jamani, Maisha Magumu sio kwenu nyinyi tu. Hebufikiria, wadogo zangu wawili wapo Prive University, watoto Wa shangazi nao wapo secondary, pale FEDHA SECONDARY SCHOOL.

Wajomba zangu wote wamesha staafu, na ndio walio nisomesha, na watoto wao bado hawaja pata kazi. Jamani si Majanga haya
.
 
imagesqtbnand9gcrypfwpy2yrqdswhinejopi351nstgivhczcawbv89u3rxt6phq_1.
 
Duh! Mtatuua jamani, Maisha Magumu sio kwenu nyinyi tu. Hebufikiria, wadogo zangu wawili wapo Prive University, watoto Wa shangazi nao wapo secondary, pale FEDHA SECONDARY SCHOOL.

Wajomba zangu wote wamesha staafu, na ndio walio nisomesha, na watoto wao bado hawaja pata kazi. Jamani si Majanga haya
.

utu uzima jalala
 
In the Definition of Most Women, LOVE = CASH or SEX = CASH?. Is it the same thing to Men?

cash_wad-of-money-in-hand.jpg

wpid-ekeh.jpg

Huyu hapa anasubiri kuchinjwa au?

Tehe! tehe! Kama Mziki wa DOLARI HUO. Bao moja unaweza kununua Bajaji, lakini kitu TBS, UBS, KBS , BBS, UBS ect. Unaweza kuahidi RV4 yako.
 
Hiyo picha imenisumbua sana hapa na ikizingatiwa niko mbali na wife
 
kama una lalamiko peleka TAKUKURU watamtegeshea pesa ya polisi halafu atakuwa na shitaka la kufanya biashara isiyosajiliwa na kutokulipa kodi,
vyenginevyo ukimaliza kupiga dai receipt yako kuonesha kuwa umenunua huduma na umeridhika nayo
 
Back
Top Bottom