habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Mapenzi sio mchezo kusema weka segere tucheze wala mapenzi sio pesa kusema ukanunue shati
Mechi hiyo wewe ambayo haina mwamuz
MZIMU kwani wewe ungependa uombwe nini haswa??:A S 39:
mkuu just relax wewe mbona unapaniki.......! tafuta pesa bwana mwanamke akikuzidi kipato atakudharau na ukilingana nae kipato si sawa.......... nimtazamo wangu,....
ndo maana sikuoi umenizi millioni 3 lol
mimi nahic tuziweke kwenye variable na fixed cost ili tukifanya kwa njia ya marginal costing tupate contribution margin ya kila k tunayoonjaGharama hazikwepeki kuna direct na indirect cost.
Kuna outing ambazo utakuwa unamtoa au hata zile sehemu ambazo tulivu kwa ajili ya mijadaala ya haa na pale , kuna rooms etc hizo mara nying wanaume hatuzihesabu. Wengi huangalia vitu / pesa tunazotoa kumpa mwanamke au katika kupeleka zawadi.
hutakua tofauti na bepali mnyonyaji!!
most ya wanawake wa mitandaoni ndio too much. Unamtongoza leo kesho utasikia BIRTHDAY yake anataka nguo nk. Mimi sioni tatizo kumhudumia mwanamke hizi gharama hazikwepeki. But kuna ( parasite women ) wao wakiamka ni sina hela ya saluni ,sina hela ya vocha,sina nauli,nimefiwa na mtoto wa rafiki yangu , kuna harusi ya mtoto wa mjomba, baba hajalipwa mshahara naomba ada etc Hawa ndio wakuwafunda waelewa majukumu ya mpenzi na majukumu ya wazazi.
Duh wewe mbaya kweli yaani sikudhania.Ila nowadays nothing goes for nothing k..siyo NGO ,unataka kitu toa kitu.Penye udhia penyeza rupia.sasa na wewe kwanini unatongo zatongoza. tamaa ya ngono ni mbaya sana kama tamaa ya pesa.
Nahitaji huduma yko
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!