Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Kila ninae Mtongoza Ananiomba Hela. What is this?

Some wanaume wanakuwa proudly kuwahudumia gf zao. Tena anapenda umwambie tu yeye ukihutaji assistance anajiona unampa priority fulani au he is more important kwenye maisha yako. Anajisikia huru na raha zaidi inabidi umsome bf ni mtu wa aina gani first...
 
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!
ubarikiwe na upate ndoa bidada kwani bado hujaolewa?nijibu basi kwa sababu agent wa kuunganisha ndoa niliyo online peke yangu ni mimi mwenyewe na kuna client wangu mmoja alikua anamtaka mtu mwenye sifa kama zako cc Jerrymsigwa ,Asigwa , Kaizer
 
Nakuona una joto hasira, punguza mkuu utaumia,
ukweli ni kamba hawa viumbe waliletwa duniani kwa ajili yenu, hivyo utake usitake pesa utatoa tu kwa namna yoyote ile

kwenye maandiko gani mungu alisema tuwape wanawake ela? tumeambiwa tutakula kwa jasho au mungu kula kwake ina maana hadi hii?????
 
hii hali ni mbaya hapa MMu hapapiti wiki bila sred ya ivi kurushwa!
 
Wanaume wengine ukikaa kimya unapokuwa na shida au u need kitu usipokuwa unamwambia au kuomba akiassist. Anakuona una madharau au unajiona una hela sana au una wanaume wengine.naongelea hili by experience my ex alikuwa ni mmoja wa wanaume wa hivi, am kind of woman ambaye napenda kujishughulisha either kazi or biashara halafu nikiwa nina enough cash/ financial stable huwa sipendi kuomba maana nakuwa nimejitosheleza so wakati tunaanza relationship mimi nilikuwa nimeajliwa so nilikuwa na hela hela kidogo so sikuwa na haja ya kumuomba kumbe hakufurahi akawa anawaambia friends zangu kwamba mimi najifanya nina hela au dharau but the truth at that time mimi nilikuwa naona kawaida. Nilivyoambiwa na rafiki yangu nilimuweka chini nikamwambia sio kuwa nina dharau ila jinsi nilivyonikiwa na hela sina haja ya kuomba nyingine nilimpa all satuation alinielewa. So inategemea na mwanaume
 
Ok Ok wengi walaghai, mi nasema hawafai. Wana mapenzi ya uzushi hapa mjini, mi nasema hawafai kuweni makini hapa mjini, ok ok mapenzi ya town yamekuwa bussness, wake kwa waume wote wana weakness, usiforce love itakupa stress, pigana pampana we zisake cash, mademu wanagombana kwa kugombania mabwana na mabwana wanagombana kwa kugombania wasichana, yes............................

Bonge la Nyau na Ujumbe wake.
 
In the Definition of Most Women, LOVE = CASH or SEX = CASH?. Is it the same thing to Men?




cash_wad-of-money-in-hand.jpg


wpid-ekeh.jpg

Mke mwema anatoka kwa Mungu na mume mwema anatoka CRDB,NBC,BOT,NMB,TRA,M-pesa,TIGO PESA nk.
 
Hata kama ana kazi nzuri. Wengine wanamaisha yao, lakini mizinga haaiishi utafikiri na M23.
ndio mwanamke anahitaji kuhudumiwa, sasa mfano wewe mkeo akiwa kaajiriwa utaacha kazi ukae nyumbani kakua wife anaweza leta matumizi nyumbani, wanaume ndio wenye jukumu la kutunza wanawake, don't you feel something missing kama mtu wako hakusumbui kwa chochote??
 
Girls he was the husband material yan unahudumia kila kitu yan I swell lakini utakoma anawivu hadi keroo yan anataka akumiliki kila kitu...ukipiga simu hujapokea case, hata usiwe na rafiki wa kiume si unajua chuo tena na hata gf anakuchagulia hadi saloon anakupeleka mwenyewe na kukuchukua....serious yalinishinda kuishi kama mtumwa
 
Back
Top Bottom