Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke. Hali hii inasababishwa na nini?
Mwanamke umependa wewe, akija kuwa mke ni wako wewe, iweje mama na dada yako wakupangie mtu wa kuishi naye? Ukiendelea kuwaendekeza mkuu hutakuja kuoa.
 
Ukiamua kuingia katika mahusiano hupaswi kufuata matakwa ya Watu, hapo ndio unapokosea je jap huwa wanasema umewahi kufanya uchunguzi na ukaona kweli wanayoyasem kuwa ni kwel kama ulikua unachukua maamu bila kufanya uchunguz hap ulikua unakosea mkuu jitafakar upya na ukipata mwingineee kaa tulia na ikitokeaa tenah kabla hujaachukua uamz fanya uchunguz kwanza.
 
Ukiamua kuingia katika mahusiano hupaswi kufuat matakwa ya . Watu hap ndio unapokosea je jap huwa wanasema umewah kufanya uchunguz na ukaon kwel wanayoyasem kuwa ni kwel kama ulikua unachukua maamu bila kufanya uchunguz hap ulikua unakosea mkuu jitafakar upya na ukipata mwingineee kaa tulia na ikitokeaa tenah kabla hujaachukua uamz fanya uchunguz kwanz

Ushaur mzuri.
 
Watakuwa wanataka kujua iwapo akili yako imekomaa ama ukingali kivulana. Akili za kuambiwa changanya na zako. Unaweza kuendelea na ubachela tu, chukua mastaz & PhD kabisa.
 
Back
Top Bottom