Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

Hivi sijawahi kuelewa, mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wawili, watu wa nje wanaweza vipi kuratibu suala hilo ki maamuzi.

Ukikua utaacha.
 
Mwanaume utapangiwaje? unatakiwa usimame wewe kama wewe kwenye uchaguzi wako.
 
Wanakupima kuona kama akili zako ziko sawa na unaweza kujitegemea katika miasha na ulivyo Zombi unawasikiliza.Kwani ukiwa unamtafuna huyo mwanamke wanakushauri staili ya kutafuna tunda. Au wanawaone huruma hao wanawake kwani wanaona wewe ni Zombi mkuu unayekaa kule kwa Mnyamani
 
Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.

Hali hii inasababishwa na nini?
Hama hapo nyumbani au karibu na wao hakikisha mnaonana kwa mwaka mara moja au kama kuna sababu za lazima
 
Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.

Hali hii inasababishwa na nini?
Watakaoishi na huyo mwanamke ninwao au wewe?

Au unaishi na Mama yako na dada yako bado?
 
Wewe angalia uchaguzi wako ndani ya moyo wako. Usiangalie makunyanzi. Wewe ndio unaeoa, sio wao.
 
Muombe mama ako akuruhusu kumuoa dada ako sasa tuone kama atasema pia hafai
 
Muoe dada yako uone Kama watamkataa na yeye.
Umeniwah mkuu.Nilitaka kumwambia awaoe wao.aombe kuwaoa wao na wakiona amewakosea heshima basi awaambie na wao waache kumkosea adabu kwa kumpangia mwanamke wa kulala nae
 
Labda wanataka uishi na Mwanaume.

Ila naona wako sahihi, maana hujisimamii kiume.
Hahaa, ila kiukweli ukiwa lege lege Mama na masister zako wanakua very sensitive na mtu wa kumuoa. Hawawezi kubali uwe na mwanamke sharp(Mjanja mjanja).
 
mke wako ni wako kwa manufaa yako mkuu huwaolei wao bana
 
Back
Top Bottom