kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,517
- 17,442
Isack,
Huwezi fanya maamuzi yako wewe kama mwanaume? Mpaka mama na dada wakupangie, seriously? Unakoelekea utapangiwa mpaka siku za kupiga game na mkeo walaqhi!
Imeisha hiyo!
Isack,
Huwezi fanya maamuzi yako wewe kama mwanaume? Mpaka mama na dada wakupangie, seriously? Unakoelekea utapangiwa mpaka siku za kupiga game na mkeo walaqhi!
Hao dada yako na mama yako itakuwa wana jina la mshindi tayari (wamekuchgulia mke) sasa uwaambie wakupatie jina ilo kosha ukajipigie then ukitoka huko una waambia Waliokuchagulia ww humtaki kwa vigezo vyako. Hapo utakuwa umewamalizaKila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Wanataka uendeleee kuwalea,usiishi mbali nao.ila wanachofanya n ubinafsi na roho mbaya,maana utashndwa kuandaaa ukooo wakoKila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Una umri gani niendelee kuchangia!Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Kabisaaaa[emoji108][emoji108][emoji108]Isack,
Huwezi fanya maamuzi yako wewe kama mwanaume? Mpaka mama na dada wakupangie, seriously? Unakoelekea utapangiwa mpaka siku za kupiga game na mkeo walaqhi!
Kweli huwezi kuishi na mwanamkeKila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
hujampenda kweli huyo mshikaji? comments yako inaonesha mahaba.... mpe neema mshikaji basi bi dadaIsack,
Huwezi fanya maamuzi yako wewe kama mwanaume? Mpaka mama na dada wakupangie, seriously? Unakoelekea utapangiwa mpaka siku za kupiga game na mkeo walaqhi!
Inasababishwa na wewe kutokuwa na msimamo na maamuzi yako over!Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Dada yako anataka umuoe yeye.Kila nikiwa na mahusiano lazma dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?