Mkuu, kwenye ESCROW pia Tanesco walikataa /katazwa kufanya re - calculations.Nisijifanya sijui nini?
Nimekuuliza maswali, hujuwi majibu yake au unajifanya hujui?
Nani aliyesema "majaribio mtambo wa gesi"? Wacha uongo!
Magufuli - # hapa giza tu.

Siwezi kufanya dhambi kuipigia kura CCM, walitetea wezi wa pesa za ESCROW, hawakuwapatia waislam mahakama ya kadhi kama walivyoahidi, Mgao wa Umeme unaendelea wakati Muhongo alisema utaisha baada ya mwaka moja.Msiotaka kuisikia CCM jaribuni kupigia kura kwengine ili mjutie kushindwa katika uchaguzi na mkose pa kushika kwani hao mnaotaka kuwapigia kura wanaenda kustaafu na kupotea katika siasa mapema Nov. 2015.
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.
Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!
Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?

Mkuu, kwenye ESCROW pia Tanesco walikataa /katazwa kufanya re - calculations.
Magufuli - # hapa giza tu.
Hapo kwenye Escrow weka Richmond upate rahaYaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.
Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!
Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?
yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa ccm walivyotokwa mapovu kuitetea escrow naumia sana, naichukulia ccm kama chama cha watu wasiomjua mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa mkombozi bank.
Huyu huyu mgombea urais wa ccm hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za escrow, bora hata mwandosya na mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!
Lakini magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?
Walioitetea ESCROW ndo wanakula nchi mfano Assumpta (Nkenge) aliyeangushwa kura za maoni sasa ameteuliwa kuwa DC